Kila mwanamke ninayetembea nae lazima abebe mimba.

Kila mwanamke ninayetembea nae lazima abebe mimba.

Ndugu zangu naombeni ushauri wenu, kila mwanamke ninayetembea nae lazima abebe mimba nahiyo mimba lazima awe mtoto wakiume nakama sio wakiume basi nimapacha wakike na wakiume, mda mwingine naogopa hata kutongoza.

Sent using Jamii Forums mobile app


Utakuwa govi ww.. Akilini hadi mboroni..!! Certified fool..!!
 
Rejea maagizo ya Mwenyezi Mungu kuhusu adhabu ya zinaa.

Mungu akujalie ufahamu na uelewa wa maagizo na makatazo yake ili upate mwisho mwema na kuiepuka ghadhabu ya walio muasi na pia kuepusha kizazi chako na laana ya uzinzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom