Kila mwanamke ninayetembea nae lazima abebe mimba.

Kila mwanamke ninayetembea nae lazima abebe mimba.

Acha kuihalalisha zinaa. Maana naona unajipa kibali cha ngono.

Unaona kutumia condoms ndiyo dhambi ya kutupa watoto; sawa ni kweli ila kama waiogopa dhambi why usiache kabisa ngono na ikiwezekana uoe kabisa?!!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri wako nitaufanyia kazi, lakini kumbuka swala lakuoa sio lakukurupuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ulipolala nimeamka Mimi, kabla yakufanya yote hayo chakwanza nikupima sikurupuki, halafu sjajisifu Bali nimeomba ushauri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua ukipima leo unatakiwa upime mara mbili tena ndani ya miezi sita ndo unaruhusiwa kutafuna mzigo. Kwanza kama mtu kama anatumia ARV akipima ukimwa ukimwi vipimo vinasoma neg sababu vipimo vyetu huwa vinapima antigens, hivyo huyu cd4 huwa zipo juu. Sawa na mtu mzima sababi wadudu hiwa wameshawekwa kwenye comma hawashambulii chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una Pepo La Ngono, Unajisifia Umalaya Wa Kutembea Na Kila Mwanamke, Kapimwe Ukimwi Hutakuwa Umeupata
 
Jamii Forums inavyozidi kuwa popular ndivyo inavyozidi kufubaa,sio home of great thinkers tena bali ni jalala(kuna mkusanyiko wa kila aina ya takataka).
 
Back
Top Bottom