Kila mwanamke ninayetembea nae lazima abebe mimba.

Ndugu zangu naombeni ushauri wenu, kila mwanamke ninayetembea nae lazima abebe mimba nahiyo mimba lazima awe mtoto wakiume nakama sio wakiume basi nimapacha wakike na wakiume, mda mwingine naogopa hata kutongoza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu . Mwalimu Nyerere alisema upumbavu ni kipaji sawa na urefu au ufupi...
 
Ndugu zangu naombeni ushauri wenu, kila mwanamke ninayetembea nae lazima abebe mimba nahiyo mimba lazima awe mtoto wakiume nakama sio wakiume basi nimapacha wakike na wakiume, mda mwingine naogopa hata kutongoza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana na ijulishe ikulu kwa kuwa mstari wa mbele kuunga mkono agizo la rais la kuzaliana.
 
Umesoma? Namaanisha umeenda shule?
Darasa la sita umesoma somo la Sayansi Form 2 na form 3 umesoma Topic ya Reproduction?
Unataka tukushauri nini? Hebu hata kama wewe ni mjinga jisitiri mbele za watu.
Kwani dhumuni la kupandana nilipi?! Kupandana ni kwaajili ya kuzaliana tu siyo starehe.
Sijawahi kuona hata ng'ombe wakipandana kwa starehe. Hivyo mumuelimishe aongeze kuzalisha kwa wingi.
 
Nenda hospitali ya Wilaya iliyo karibu nawe waambie wakate mirija yako isitoe chochote
Hahaha yeye katoa taarifa,akate mirija sasa akioa si hatopata watoto kabisa. Maana haya bado majaribio.
 
Basi acha kutembea nao anza kuwa unatembea peke yako ukiona wanakukaribia kimbia kabisa.!
Ndugu zangu naombeni ushauri wenu, kila mwanamke ninayetembea nae lazima abebe mimba nahiyo mimba lazima awe mtoto wakiume nakama sio wakiume basi nimapacha wakike na wakiume, mda mwingine naogopa hata kutongoza.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu naombeni ushauri wenu, kila mwanamke ninayetembea nae lazima abebe mimba nahiyo mimba lazima awe mtoto wakiume nakama sio wakiume basi nimapacha wakike na wakiume, mda mwingine naogopa hata kutongoza.

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha uongo wewe. Wataka kuvuta Dada zetu ili ukamilishe malengo yako ya kuharibu.

Je, ukiitwa wakala wa ufalme wa giza utachukia?
 
Back
Top Bottom