mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,076
- 4,113
Mwenyekiti wa Kamati ya Saidia Taifa Stars Ishinde RC Paul Makonda amesema kamati yake itatoa Sh10m kwa kila mchezaji iwapo timu itafuzu kucheza AFCON
Hizo hela si wawahonge Waganda ili watulegezeeMwenyekiti wa Kamati ya Saidia Taifa Stars Ishinde RC Paul Makonda amesema kamati yake itatoa Sh10m kwa kila mchezaji iwapo timu itafuzu kucheza AFCON
AiseeeeMkuu pesa inatoa kamati ya Makonda sio yeye Makonda, so hapo wanakamati wanachangishana wanatoa milion 200 kwa wachezaji 20 tu. Makonda huwa hafanikiwi na hili litapita tu nipo hapa mpira unachezwa uwanjani sio chumbani.
Dah! Usiongele hili kwa sasa mkuu tungoje tu kesho tuone.Kisanga ni pale ambapo stars itashinda na lesotho wakashinda hapo ndipo zawadi itakapoonekana upuuzi
na hawa CAF wanaangaliaa H2H na sio wingi wa Magoli! Cape Verde wako Home. Naimani watashinda. Na huku napo Tanzania atashinda!Kisanga ni pale ambapo stars itashinda na lesotho wakashinda hapo ndipo zawadi itakapoonekana upuuzi
Tatizo sio 10m!Mwenyekiti wa Kamati ya Saidia Taifa Stars Ishinde RC Paul Makonda amesema kamati yake itatoa Sh10m kwa kila mchezaji iwapo timu itafuzu kucheza AFCON
Naamini tutafuzu kama sio basi bahati mbayana hawa wanaangakua H2H na sio wingi wa Magoli! Cape Verde wako Home. Naimani watashinda. Na huku napo Tanzania atashinda!
Makosa tulifanya pale AZAM COMPLEX Ktk first game! Sasa inatugharimu kumpigia ramli LESOTHO!Naamini tutafuzu kama sio basi bahati mbaya
Kisanga ni pale ambapo stars itashinda na lesotho wakashinda hapo ndipo zawadi itakapoonekana upuuzi