Habari zenu,
Mimi nina kero yangu ambayo sijui wenzangu munaionaje. Hawa wamarekani sikuhizi wamezidi walianza kwenye malaria, wakaja kwenye hiv and then uzazi wampango(family planning) utasikia tu "kwahisani ya marekani" sasa wamehamia kwenye ndoa zetu, eti wanasema tuvunje ukimya na mayenje wao halafu mwisho wanamalizia kuwa lile tangazolimeletwa kwa hisani ya marekani kwanini isiwe ya wachina. Jamani hawa wamarekani watafadhili mpaka makalio yetu!