hiyo kitu inakera sometimes, kuna siku jux alikuwa na interview block 89, maswali ni mbona nyimbo yako na diamond haipigwi clouds? jux akawa anajishtukia, mara ooh tumesikiliza albul review clouds hatukusikia wana review nyimbo uliyofanya na diamonds, sasa baada ya siku tatu akapewa interview clouds, maswali aliyoulizwa clouds ilifanya jamaa afunguke sana kuhusu mahusiano yake na kisa cha kuachana na vee, ile interview ilitrend sana. clouds wanajua sana kumu aploach msanii kwenye interview, hao wengine bado wanawafikilia clouds.