H.BABA afanya interview bora ya kufungulia mwaka aweka wazi fitna na roho mbaya ya bwana yule

Huyu aliyesema kaibiwa my numbe one na Mondi,sasa hivi sijui anafanya nini?,kaanza kwa Kiba sasa hivi yupo Kwa Kondeboy,kesho sijui atakuwa kwa nani.
 
H baba abana anatapatapa sana ndo maana ndoa yake imevurugika

Roho mbaya ipo kwa wote sema domo kazidi
 
2257995_f10s103.gif
Umeanza vizuri Ila hapo mwisho umeharibu.
 
Back
Top Bottom