Diamond Platinumz punguza uongo na kujikweza, wadanganye hukohuko Insta

aka2030

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
2,630
3,579
42C0FD2F-0D3A-4C30-BFA8-D9434940DAC7.jpeg


Umeenda kwenye fiesta ya Sierra Leone now unasema show ilikuwa ya peke yako?
 
Huyu amejaa mashauzi. Show Ina wasanii zaidi ya 8 utasemaje wewe ndo umejaza uwanja? Tena hao waandaaji wangemwalika Naira Malley tuone kama angepiga uwo wimbo wa Babalao mbele yake😅😅😅😅
 
Sasa promota mwenyew wa hilo Tamasha anasema hajawah kuona kijiji kama kile,,bado unakataa Mond ndio aliejaza ?
 
View attachment 1278757

Umeenda kwenye fiesta ya Sierra Leone now unasema show ilikuwa ya peke yako?

Kwanini watanzania hatupendani. Kwanini kwetu anguko la mtu ambaye hata hahusiani na maisha yetu tunamwonea wivu na kuwaza mabaya. Kwani mtz mwenzetu akijisfu au kusifia tunapungukiwa nini ?

Watanzania tujifunze kupendana na kuheshimiana. Hate inakula afYa zetu. Gute Nacht.
 
mbona mawingu mmeumia hivo jaman, ukiacha alichoandika mondi wao wenyewe wanakiri hawajah pata nyomi lile na aliekua reason ni mondi...
now mnachoweza nikupunguza viingilio tu burudan waachieni wasafi
 
Mungu ambaliki kijana huyu anaepeperusha bendela ya nchi yetu
 
Kiingilio 850 Tsh
Ukibisha kaangalie thamani ya pesa yao
Sibishani na ww,bishana na hiyo hapo
LE 1 yao = 0.24 Tsh
Sasa turudi darasani
LE 30000=7,112 Tsh
LE 100000=23,707 Tsh
LE 120000=28,449 Tsh
LE 300000=71,123 Tsh

TATIZO LAKO UMEKIMBIA HESABU na mvivu wa kufanya tafiti unapenda kusimuliwa umbea.
74901082_1263898433780498_2769360697457853934_n.jpg

Mr MAIN ACT anaendelea kuwaumiza mpaka mnaongea uongo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom