Kila akifika kilele ananing'ata meno

Tatizo unamshughulikia ndio maana nae anakushughulikia.
R.I.P Ngwair,Langa-habar wana jamvi
Nautandika uzi wangu huu hapa kuomba ushauri nifanyaje au dawa yake ni nini katika tatizo hili linalonisibu!
Nina mpenzi wangu niko kwenye mahusiano mwezi wa tisa sasa hivi,tatizo ni pale tunapokuwa ndani ya sita kwa sita huwa ananing'ata .Hii hali humtokea mara nyingi sana hasa hasa kipindi kile ambacho anakuwa anafika orgasm(female),hapa nilipo ukinikagua vizuri kifuani nina makovu kadhaa hadi kuwa chest game inakuwa aibu
Yani inakuwa shida kiasi natakiwa kujihami mara nikiwa namshughulikia hasa pale anapokuwa anakaribia orgasm kwa kutafuta stail ya kujiweka mbali na mdomo wake-lakini kama unavojua kipindi hiki mtu anaongezeka nguvu mara 100 so mara nyingi mimi naishia maumivu,na nimekuwa type ya wanaume ambao na last long in bed (enough stamina) hivo basi katika one shot naweza hata ng'atwa mara 3
Nikimuuliza mwenzangu anasema yeye hua hajitambui anapofanya kitendo hiko(biting) na kuishia kuni promise atajitahidi kujizuia next time lakini wapi -game inaishiaga vilevile.Kwa hali hii mimi naona kero hadi nafikiria kumuacha hali nampenda tena sana,sasa kabla sijafanya hivyo naombeni ushauri nifanyaje au hii hali inatibika na dawa yake nini?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Itabidi ubuni ka mbinu ka kijeshi kidogo:) Yaani kabla ya kuanza shughuli uwe unavaa ka-vest ambako (ni bite proof) kama ilivyo dezaini ya vile vi bullet proof:) walau u save makovu kifuani.

Otherwise, kila demu ana staili yake akifikia kilele kwani wenzio tumeshawahi kuwa na wanaotupiga makofi bwana:) Na wengine wakiwa nia wapandisha maruhani:) Inabakia kazi kwako kila mmoja lazima ubuni mbinu zako za ki-intelejensia:)

Kwa kuwa ushauri wako una mwelekeo wa kiintelijensia, kuna haja ya kumshirikisha Afande Kova hasa kwenye suala la vikoti vya bullet (pia teeth) proof!
 
Nishabadili siku hz naanza kuona effect yake na kung,atwa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Piga mbuzi kagoma kwenda shika shingo nitakupa style nyingi nami yamewahi nikumba
 
Mpige staily ambazo hatoweza kukung'ata! Kama staily ya V" yan unambinjua kichwa chini ------ juu juu! Then hatoweza kukudhuru! Or staily ya mbinjuko! Yan man tatizo lako wew hujui staily nyingi! Yan hana nguvu mbele yako! Mastaily kibao yapo! Plz" jus jarib hata kuangalia porno ujifunze! Ustadi na ujuzi zaidy! N usimwache! Coz itaonekana umeshyndwa tibu tatizo wakaty kitu chepesy! Dow! Pole mabuoy!
 
kung'atwa ni ishara ya kumridhisha sasa nashangaa unataka kumuacha mbona si tunang'atwa na bado tumo tu
 
mmh!!,midadi gani ya kuumizana hyo,atakuwa na element za kivampire tu huyo,mchunguze vizuri asili yake anaweza kukudhuru hata kupelekea kifo siku moja
 
R.I.P Ngwair,Langa-habar wana jamvi
Nautandika uzi wangu huu hapa kuomba ushauri nifanyaje au dawa yake ni nini katika tatizo hili linalonisibu!
Nina mpenzi wangu niko kwenye mahusiano mwezi wa tisa sasa hivi,tatizo ni pale tunapokuwa ndani ya sita kwa sita huwa ananing'ata .Hii hali humtokea mara nyingi sana hasa hasa kipindi kile ambacho anakuwa anafika orgasm(female),hapa nilipo ukinikagua vizuri kifuani nina makovu kadhaa hadi kuwa chest game inakuwa aibu
Yani inakuwa shida kiasi natakiwa kujihami mara nikiwa namshughulikia hasa pale anapokuwa anakaribia orgasm kwa kutafuta stail ya kujiweka mbali na mdomo wake-lakini kama unavojua kipindi hiki mtu anaongezeka nguvu mara 100 so mara nyingi mimi naishia maumivu,na nimekuwa type ya wanaume ambao na last long in bed (enough stamina) hivo basi katika one shot naweza hata ng'atwa mara 3
Nikimuuliza mwenzangu anasema yeye hua hajitambui anapofanya kitendo hiko(biting) na kuishia kuni promise atajitahidi kujizuia next time lakini wapi -game inaishiaga vilevile.Kwa hali hii mimi naona kero hadi nafikiria kumuacha hali nampenda tena sana,sasa kabla sijafanya hivyo naombeni ushauri nifanyaje au hii hali inatibika na dawa yake nini?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Ukiona anakaribia orgasm mtie kidole kwenye 0713...Hatakung'ata!
 
Back
Top Bottom