Elections 2010 Kikweteee!

Kiherehere

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,806
621
Umeshaoyesha huwaamini viongozi wa CCM, na wa SERIKALI ambao umewateua wewe kwa kufanya BMW campaign, sasa UNAENDELEA KUKAA NAO WA NINI?? Badilika ili kesho na kesho kutwa tukikuuliza swali kuwa tukukumbuke kwa lipi usije ukatujibu "mnnikumbeke kwa kuwatoa pale na kuwafikisha hapa" Ninao uhakika mbele za mungu kuwa hukuwa chaguo halisi la kuwa Raisi wa nchi kubwa kama hii (labda mkuu wa mkoa) kwa kuwa umeprove failure, LAKINI huu ndo muda wako wa kujisafisha msije kunya maji kwa karai. Ondoa washauri uchwara, Wapambe nuksi,Kujipendekeza kwa balozi wa marekani (anakudharau),safari za kuomba vyandarua nk Badilika baba nchi itakushinda..
 
Question. Mr. President....... Why your country is so poor?

ANSWER. I actually don't know why is so poor.
 
Kweli kiherehere wa kweli, mwanaharakati, una kadi ya chadema, anza kuchangisha michango ya harusi
 
Kikwete: Teh teh teh teh!!! Hapa nilikuwa naongea na balozi wa marekani, anasema Obama amemhakikishia ataendelea kumwaga misaada Tanzania.

Utadhani anapewa bure. Nchi imejaa rasilimali cha ajabu anaenda kuomba vyandarua akibadilishana na Madini yetu.
 
Kumkumbuka JK ni kuamsha pressure ambazo zilikuwa dormant huko mwilini!
Kwanza hata jana alipotangazwa mshindi alionyesha sura ya mashaka sana na kutojiamini!
Wizi ni mbaya sana!
 
that's where i tend to not agree with everybody.

huyu jamaa huwa anakwenda kupata matibabu ya maradhi yake 'hatari'

hiyo vyandarua geresha tu.
 
Kumkumbuka JK ni kuamsha pressure ambazo zilikuwa dormant huko mwilini!
Kwanza hata jana alipotangazwa mshindi alionyesha sura ya mashaka sana na kutojiamini!
Wizi ni mbaya sana![/QUOTE]

ndiyo PJ.

Maisha yako yote, ogopa sana kufanya kitu kibachoitwa unafiki
 
Umeshaoyesha huwaamini viongozi wa CCM, na wa SERIKALI ambao umewateua wewe kwa kufanya BMW campaign, sasa UNAENDELEA KUKAA NAO WA NINI?? Badilika ili kesho na kesho kutwa tukikuuliza swali kuwa tukukumbuke kwa lipi usije ukatujibu "mnnikumbeke kwa kuwatoa pale na kuwafikisha hapa" Ninao uhakika mbele za mungu kuwa hukuwa chaguo halisi la kuwa Raisi wa nchi kubwa kama hii (labda mkuu wa mkoa) kwa kuwa umeprove failure, LAKINI huu ndo muda wako wa kujisafisha msije kunya maji kwa karai. Ondoa washauri uchwara, Wapambe nuksi,Kujipendekeza kwa balozi wa marekani (anakudharau),safari za kuomba vyandarua nk Badilika baba nchi itakushinda..

Umeshaoyesha huwaamini viongozi wa CCM (SIO KWELI CCM NI MOJA) , na wa SERIKALI (HEBU WATAJE) ambao umewateua wewe kwa kufanya BMW campaign, sasa UNAENDELEA KUKAA NAO WA NINI (WANAFAA NDIO MAANA YUKO NAO) ?? Badilika (ATABADILIKA KWA MUJIBU WA KATIBA) ili kesho na kesho kutwa tukikuuliza swali kuwa tukukumbuke kwa lipi usije ukatujibu "mnnikumbeke kwa kuwatoa pale na kuwafikisha hapa" ( KWANI HILO SIO JIBU, MWALIMU WAKO ALIKUAMBIAJE?) Ninao uhakika mbele za mungu (MUNGU UNAMJUA WEWE?) kuwa hukuwa chaguo (NI CHAGUO LA WENGI KASORO WW ZEZETA TU ) halisi la kuwa Raisi (AMEISHA KUWA SASA JINYONGE) wa nchi kubwa kama hii (labda mkuu wa mkoa)(WEWE HATA UKATIBU WA KAMATI YA HARUSI HAUKUFAI) kwa kuwa umeprove failure (MBONA WEWE KWENYE FAMILIA YAKO UME PROVE FAILURE,MWAKA WA 10 HUU MKEO HUJAMZALISHA) , LAKINI huu ndo muda wako wa kujisafisha ( WA KUONGOZA NCHI 2010-2015) msije kunya maji kwa karai (KWANI HALIFAI KUNYWEA MAJI) . Ondoa washauri uchwara (TUKUCHUKUE WW?) , Wapambe nuksi (WEWE UKIWEMO) ,Kujipendekeza kwa balozi (ANAONGEA NAO) wa marekani (anakudharau) (MBONA WEWE FAMILIA YAKO YAKUDHARAU?) ,safari za kuomba vyandarua (MBONA UMEVICHUKUA SASA) nk Badilika baba nchi itakushinda (WANANCHI TUPO NAE HAWEZI KUSHINDWA, FIGIRI MAJI WEWE)
 
ridhiwani umeanza hata aibu huna
 
Huyu GeniusBrain nadhani ana tatizo la Ugonjwa wa kuanguka hovyo kama jamaa yake.
 
that's where i tend to not agree with everybody.

huyu jamaa huwa anakwenda kupata matibabu ya maradhi yake 'hatari'

hiyo vyandarua geresha tu.

Jamani!!!! Huu ugonjwa gani wa kutibiwa kwa Madini mengi vile? Amejaa usanii mtupu.
Nachelea kusema ni Rais wa BONGO FLAVA.
 
Huyu GeniusBrain nadhani ana tatizo la Ugonjwa wa kuanguka hovyo kama jamaa yake.

Huyu GeniusBrain (NAAM JINA LANGU) nadhani (AH KUMBE HUNA UHAKIKA) ana tatizo la Ugonjwa wa kuanguka (WEWE MBONA UNA ULE UGONJWA WA AKILI , NISEME NA ULE MWINGINE?) hovyo (WEWE MBONA PUMBA) kama jamaa yake (KAMA SLAA, DUH UMEMKOSEA HESHIMA)
 
quote_icon.png
Originally Posted by khoty
Kweli kiherehere wa kweli, mwanaharakati, una kadi ya chadema, anza kuchangisha michango ya harusi

Hivi siyo vya amoeba tu. Hii ni jamii ya fisi maji anayepanda huku anapandwa. Akizalisha nae anazalishwa.
 
"jini-ass Brain" hamna kitu, hapa tunahitaki mambo ya kufikiria kwa kina, kama wewe ni mmoja wao basi ni vyema mkajipanga upya maana nafasi ya kuchukua tena nchi hii haipo so ni vyema kujiandaa kwa kujibu tuhuma za ubadhilifu kwa kuwa baba yako yuko madarakani.Unahitaji mzazi mwenye maamuzi magumu, umepata bahati ya kuwa Rais ni vyema ukasimamia katiba kwa kufanya maamuzi kulingana na nyadhifa uliopewa sio KUCHEKACHEKA TU!! yeye kaweza kudili na Liyumba, lakini ameshindwa kudili na watu ambao wnaiba kila siku.
 
Baba wa Taifa aliisha sema ' Kutakuwa na wagombea wengi wa URAIS ila Rais bora atatoka CCM' . CCM ipo na itakuwepo forever, wala msitegemee 2015 mtaichukua nchi hii jipeni moyo tu ila hicho kitu halipo mkuu, mtalia miaka yote mpaka mwingie kaburini. Na kiboko yenu Jaji Makame ataendelea kuwa MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI MUDA WAKE WAISHA 2016.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom