Johnsecond
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 1,076
- 211
- Thread starter
- #61
Kingereza sio kipimo cha mtu makini, hizo ni fikra za kitumwa kumbuka luga yako ya taifa ni kiswahili!!! Watanzania walio wengi wanajua kuandika ki english bt hawajui kuongea kwasababu english ni 3rd language kwa walio wengi..kuhusu kuongea ni jotiada binafsi za mtu na sio shule...ndio maana ukimkuta engineer wa ki tz utakuta akiongea ki engineer zaidi na ma doctor nao ivyoivyo...tupende luga yetu ninauhakika tutafika mbali tuki ithamini luga yetu..wa tz wengi hawajui kuongea ila ukimpa paper ya english na mzungu anamshinda, ndo maana ata kiswahili watu wana ongea bt ukimpa mtihni ana feli... So funguka kwa ilo kaka...
Hapa swala si kupenda lugha wala nini, elewa kama imekugusa pole sana ila ukweli unabaki pale pale unafundishwa kingereza toka sekondary i mean form one mpaka unapata phd sasa iweje ushindwe kuongea kingereza vizuri, ni upumbafu tu kuforge mpaka lini?