Kikwete, Unatuchanganya bwana!

Kikwete, Unatuchanganya bwana!

Inakuwaje uteuzi wako wote ukanyooshewa vidole? Unamwakilisha nani hapo? kama ni wananchi mbona watu tuliowakataa kwenye kura wewe unawapa madaraka?

Mimi kwa kweli inaniuma sana hasa kipindi hiki cha huyu jamaa.

Basi bwana; weye mshindi . . . .
huna hata chembe ya aibu kidogo!!!! yaani hao uliowachagua baada ya kulambishwa vijisenti kiduchu, fulana, kofia na masufulia ya pilau ndo unawaona wa maana??? watu wenye sifa hawachaguliwi kwa vidole!
 
huna hata chembe ya aibu kidogo!!!! yaani hao uliowachagua baada ya kulambishwa vijisenti kiduchu, fulana, kofia na masufulia ya pilau ndo unawaona wa maana??? watu wenye sifa hawachaguliwi kwa vidole!

Wewe siwezi bishana na wewe hata kidogo. umesomeka
 
There is no seriousness at all. Let him do away with his tenure and find another strong, committed and responsible candidate who will take this nation to the next level. For over six years in power the living standard of majority Tanzanians is still in limbo, and he is neither bothered for that worse state of life nor take any action in helping out these civilians who in October, 2005 voted for (his party).
 
Mi naona kama analipa fadhila.... japo zaweza kuwa ni kwa faida binafsi, nchi au wananchi. Tusubiri tuwaone..
You can't make an omelet without breaking Eggs
 
Mmewakataa kwenye ubunge ila si ktk nafasi nyingine za uongozi. Wengine ni wazuri ila walikosa ubunge kwa fitina.
 
kwakweli hata mimi nimeshangazwa sana na utawala wa mkuu wetu wa nchi. wale kina mramba walikuwa na kesi za ufisadi, lakini walipogombea ubunge alienda kuwanadi kwa wananchi! Baba Ridh kwakweli unatuangusha
 
We unashangaa haya madogo?.................mbona ni kikwete huyuhuyu ambaye watz hawawataki mafisadi lakini yeye ndiye mlinzi waoi mkuu...............kifupi tumuombe mungu atuepushie hili balaa kikwete kwani ingekuwa mtoto basi tungesema si riziki

hahahaaaa!
 
Inakuwaje uteuzi wako wote ukanyooshewa vidole? Unamwakilisha nani hapo? kama ni wananchi mbona watu tuliowakataa kwenye kura wewe unawapa madaraka?

Mimi kwa kweli inaniuma sana hasa kipindi hiki cha huyu jamaa.

Basi bwana; weye mshindi . . . .

unaumia umekuwa Mama Salma?
punguza wivu kwa waume wa wenzio, utashikishwa ukuta.
 
Kwani kukosa ubunge tena kwenye ngazi ya kura za maoni ni disqualification ya kwamba mmuhusika hafai kwa kazi au uiongozi wa ngazi yoyote.Tuache siasa za maji taka na fitina . Mbunge katika jimbo ni mmoja hivyo haina maana watu wote kayika jimbo hilo hawafai kuwa viongozi. Pia tusichanganye suala la mtu kuchaguliwa na kuwa na sifa. sio lazima wale wanaochaguliwa kuwa wabunge ndio the best materials

Ujue mkuu kuna wengine wanakashfa kabisa na yeye Jk zimemfikia lakini bado kawakumbatia hebu afanye kutuconvice kuwa yeye nae sio fisadi kwa maneno na vitendo. Kwani kuna usemi unasema utawajua kwa vitendo vyao so kwa vitendn Jk anavyofanya tumemjua yeye ni miongoni mwa mafisadi
 
wewe john kujua kiingereza hakuna uhusiano na kuwa Dr. kule china, Ufaransa na Japani kuna maprofessor wengi sana ambao hawajui kiingereza. Au wewe ndo wale wa yes yes mzungu kala mafenesi? English is just a language, the same as Kiswahili et al.
Naona uko kazini! lakini jua mishahara inayumba.
 
mtu wa hivihivi lazma tachagua watu wa hivihivi.
kuna kosa gani hapo?na wengine wanaochangia huku ni wa hivihivi.
 
kwani yule dogo wa mwanza aliyetaka kumkata mitama jukwaani baada ya kutaka kuvishwa uchifu wa wasukuuma alikuwa amekosea? dogo alishayajua haya yote na badochamoto tutakiona
 
ushkaji kwenda mbele, kwani hata wewe tukikupa madaraka utawatosa washikaji zako?hutowapa mashavu jamani? utawaweka watu usio wajua wala kuwaamini?
 
Tatizo letu kubwa lipo kwenye katiba ya nchi, huu upumbavu wote usingetokea, ilipaswa kuwa kama umekataliwa na wananchi basi kusiwe na namna nyingine ya kupewa ulaji kienyeji hivyo, vinginevyo bunge lihusishwe
 
Jamaa maisha yake yote ni kudesa hajitegemei kimtazamo wala nini, anaweka watu wa kumtetea sasa hivi huko mbele
 
djwabongo tuache kulalamika.hizo ni chuki binafsi.au mlitaka ndugu zenu wateuliwe ndo mfurahi?wale mnaowachukia nyie mkiona wanapata furSa ya kuitumikia nchi yetu mnanuna,acheni r
oho mbaya wakubwa.let me ask u friends.wat exactly are problemz wit those pple u r blaming.toeni mapunguf apa km hamjaaibika.kukoSa kuRa haina mana kuwa hauwezi kazi.siasa na utendaj ni vitu viwili tofauti
 
Back
Top Bottom