Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,011
- 142,701
... safari nyingine mwezi wa 10 ndipo atakapo onana na Obama na kuweza kujitambulisha kwake!
Kwa wale mlioko Los Angeles mheshimiwa rais Kikwete anawasili huko Tuesday. Atakutana na Watanzania pia. Atawasili Washington D.C jumatano lakini hana mpango wa kukutana na Watanzania kwa kisingizio kuwa Jumuiya ya Watanzania Washington bado ina mzozano wa uongozi. Atakutana na Hillary Clinton jumatano hiyo na Ijumaa anaingia NY.
Huh! mkuu huna hata utani mjomba!..Kama ingekuwa kweli nisingekupa jina la mji... Unaweza kunifahamu tukafahamiana, sina noma mkuu wangu mimi hata siku moja sijifichi na wana JF wanajua hilo.
Jamani mwee huy JK toka aingie madarakani hajaingia mitaa hii kuna nini hasa?..Hivi Tanzania hatuna uhusiano wa karibu na Canada!...
Majuzi tu, Jumatatu wamekuja watu hapa kuitangaza EAC kibishara, wajumbe toka TZ, Kenya, Uganda, Rwanda kwa mwaliko wa watayarishaji ambao walitaka kiingilio kukutana na wakulu hawa. jamani hivi ndivyo tunavyozitangaza nchi zetu kweli?.
Kweli, hata gari la kusafisha maji kama walivyofanya wenzenu wa USasipoenda huku kwingine atapa vipi misaada? Mkandara huko Canada itabidi mtengeneze package fulani ya msaada halafu mumwalike aje kuichukua... hivi hivi haji!
RM,Jasusi,
Rekebisha ujumbe wako maana una contradiction. Angalia maandishi kwenye blue na nyekundu.
Nyani Ngabu said:Mwezi wa kumi? Na mwezi wa tisa si huwaga wanakwenda UN? Kwa hiyo kama asipotuma ujumbe UN mwezi wa tisa na kwenda yeye mwenyewe basi ina maana atakwenda Nyamewzi mwezi wa tisa na wa kumi? Man oh man...
Teh teh tehhh!! I like that Mkuu!!mtumieni email kumuambia kwamba totoz canada bomba...atakuja tu
... safari nyingine mwezi wa 10 ndipo atakapo onana na Obama na kuweza kujitambulisha kwake!
Kwa hiyo atakuwa amevumilia na kumpa muda Obama mpaka baadae mwaka huu. Sio mbaya kuliko angejipeleka White House mapema hivi. Anaweza kuwa na shauku ya kumwona Obama lakini Kikwete ameonyesha ku appreciate the audience and attention afforded Tanzania by America at white house levels in recent times. Hajataka ku push zaidi na zaidi.
Atakuwa pia ameonyesha uelewa kwamba the current presidential agenda ya Whitehouse Tanzania, wala Africa haiko front and center, na kama anataka ku push an African agenda apitie Wizara ya Nchi, kwa Clinton.
Kama agenda ni ziara Department of State tu, nadhani Kikwete ameonyesha diplomatic restraint and maturity.
Nyani Ngabu,
..labda jamaa anajenga.
..sasa ktk kila hatua ya ujenzi lazima atafutiwe safari/fedha.
..siku tutakapoambiwa gharama za misafara ya Raisi, kuna watu watapata heart attacks.
Kwani siku hizi ameamua kutumia kile kicheche cha Mramba???mbinu nyingine.. are you kidding me? Have you ever heard CCM ikisema curbing government spending? kufunga mianya ya extravagances kama iliyoko kwenye ripoti ya CAG au mfumo mzuri wa kodi?
Kwa kadiri misaada inaendelea kutawala hawaoni haja ya kutafuta mbinu mbadala!
On the other hand.. unajua wizi mkubwa wa fedha za umma unafanywa katika trip hizi.? Wakati akiwa anapitia UAE miezi michache iliyopita baadhi ya wapambe walinunua injini za magari yao kuziweka kwenye ndege kwa hela ya walipa kodi wa Bongo.. na JK hajui hilo!