Kikwete to USA (May 2009)

Leokweli,
Lakini Je, ndicho anachofanya?..na matunda yake yataonekana lini!
 

- Ni wazi kwamba huyajui haya na huwezi kukubali kwamba huyajui, pole sana mkuu, muda wa kukupa darasa on this sina kumbe unafikiri vinaelea tu hukujua kuwa huwa vinaundwa?

- Unafikiri Kikwete anaweza akatoka bongo tu na kwenda kumuona Obama bila ma-lobbyist kula hela zetu za kodi? Unafikiri ni kwa nini Mobuttu alikuwa ana free access na Whitehouse?

- Mkuu fanya utafiiti ili ujue jinsi balozi zetu zinawalipa hawa ma-lobbyist kutusaidia na kila kitu, sometiems uache kukurupuka mkuu, kweli unaamini ninaweza kutoka na info kama hizi bila kujua ninachokisema, mkuu tunalipa sana hao ma-lobbyist ndio maana rais wetu kapata access, pole sana kama ulikuwa hujui.

Respect.

FMES!
 
Leokweli,
Lakini Je, ndicho anachofanya?..na matunda yake yataonekana lini!

Sina uhakika, but mapungufu ya Hii strategy ni kwamba , Wanatakiwa wawaandae wafanyabiashara wanyumbani ili wawe na uwazo wa ku forge hizi partnerships na makampuni fanana wanayayopata huko nje, but Tatizo Mheshimiwa huwa anasafiri na list ile ile ya wafanyabiashara , e.g Ali Mfuruki, Nyiti , kina Lukaza kipindi kile kabla ya EPA which end up choose an dump, kuna watu kama ali mfuruki hawezi kuingia partnership ya 500,000 usd anataka from milioni but at the same level unaweza kumpata mfanyabiashara Arusha au mbeya in which that amount is very usefull.

So I think they just need to improve the strategy na wawe wazi zaidi ili wafanyabiashara waweze kujiandaa kwenda kutafuta fursa pamoja na mheshumiwa

Pia wafanyabiashara wetu wamezoea short cart kwahiyo wanpopata opportunity wanapokuwa na mheshimiwa follow up inkuwa mbovu, which end up for them loosing the opportunities
 

Mkuu, hapa umemaliza kila kitu.
 
kuweni wastahmilivu basi kidogo, mpaka sasa majadiliano yalikuwa hivi kabla ya Reporter kukatisha 'kauhondo!'

 
Dah.. mimi inaniuma tuu maana kumkandia JK katika hili nikama kutusi Tanzania in a way. Sishani kama mtu mzima anaweza kutaka kumeet na hawa jamaa kisa kupiga picha. That is just ridiculous.. Lazima kunakuwa na low level discussions before wakuu wa nchi kukutana so that an agenda is set and each one knows the other anakuja kusema nini. Nyie watu mmezidi I'm sorry to say.
 

...pheeeeeeeew! sinema imekwisha...Keshakutana na Obama, that's it!





...I hope 'wapinzani' mnamuona mheshimiwa Mtukufu Rais wa Jamhuri yetu hii ya muungano wa Tanzania anavyoonekana na tabasamu lake pana na sura iliyojaa matumaini...!
 
Hatimaye ! Mheshimiwa Juma Kilaza ndani ya Oval Office !


President Barack Obama meets with Tanzania President Jakaya Kikwete in the Oval Office Thursday, May 21, 2009. This was the President's first meeting with an African Head of State. A bust of Martin Luther King is at far left. (Official White House photo by Pete Souza)
 

Attachments

  • JK&BO.jpg
    25.2 KB · Views: 85
Leokweli,
Binafsi sii mtu wa upande wa kushoto na sipendi kabisa mbinu zao ktk maendeleo ya mtu maskini kwani siku zote tunawajaza matapeli nchini.. Strong leadership kwa nchi maskini hutokana na msimamo unaowekeza kwa wananchi wake kuunda jamii ambayo itaendesha uchumi wetu kwa karne zijazo na sii kutegemea wageni wasiweza hata kupata uraia wa nchi mbili..meaning at one point ni lazima wajikate!
Ukisoma kwa makini mawazo ya Jasusi ni mawazo ya kila Conservative, kwamba siku zote kizuri hujiuza na mwanamke anayejipenda mara nyingi hupata wachumba lakini sio umalaya kama huu unaofanyika.
Na siamini kabisa kazi ya rais kutembea na wafanyabiashara kwa sababu rais ni mtu anakwenda kufunga mkataba wa kibiashara na kukaribisha uwekezaji ktk sekta ambazo ni muhimu kwetu ktk kupata soko la nje..

Mara nyingi tunasahau kwamba Wageni wanapokuwa nchini iwe Saudia kulima mpunga nchini kinachohesabika ni kwamba mchele huo ni made in Tanzania na tunasafirisha nje.. Kodi yetu haiwezi kubadilika kama atakuwa Mtanzania au Mgeni na uwezo wa serikali kukusanya zaidi utatokana na soko tutakalo pata nje..Lakini kama Watanzania wenyewe wana uwezo wa kulima na kinachowashinda ni zana za kilimo nashindwa kabisa kuelewa kwa nini serikali ipo radhi kununua mashangingi na misafara kama hii kutafuta waarabu kuja kulima mpunga ktk eneo ambalo sisi wenyewe tunaweza kabisa kulima na kutosheleza soko la Saudia..
Kwa nini JK asiweke mkataba na Saudia ktk ununuzi wa mchele toka Tanzania na sisi tukajipanga kuweza ku supply demand yao!..Navyofahamu mimi ktk ubepari viongozi wa nchi huweka mikataba kama hakika ya mwanzo ya mauzo ushirikiano wa Kibiashara na sio kutembea na wafanyabiashara wadogo wanaotembea na sample mikononi kutafuta soko nje..Kwa mfano Prime minister wetu alikwenda UK, China na US kuweka mkataba wa kuuza mbao zetu huko jambo ambalo limekuwa likipigwa vita sana na wananchi wa nchi hizo..Lakini sikuona Priminister wetu akiandamana na wanamisitu au wwenyeji kujipanga na wanunuzi ktk zikao vyote.. Prime Minister alijua uwezo wetu ktk kusupply na wao walijua ni kiasi gani cha mbao zetu wanazihitaji ukiondoa supplier wengine..
Hivyo kazi inabakia kwa wakulima (wanamisitu) kuweza kuzalisha kiwango kinachotakiwa na kama ikitokea wamezalisha Zaidi au Pungufu serikali huwapa wakulima subsidy kutokana na hesabu zinavyo fahamika lakini sii kwetu..

Zamani enzi za mwalimu Tanzania ilijulikana duniani kwa mass production ya Sisal, Cotton, Coffee beans, Korosho na kadhalika hivyo hapakuwa na haja kabisa yetu sisi kujitangaza isipokuwa tulipeleka mali zetu sokoni. Utamaduni huo ulikufa baada tu ya Ujamaa kufa na hasa pale bei za bidhaa hizo ilipoporomoka.. Leo hii hatuna bidhaa yoyote ambayo tunaweza kujivunia au kuitangaza nje.. na sidhani kama JK anaweza kutafuta soko la kitu chochote wakati hana uhakika wa uzalishaji wake nchini.

Mimi nashindwa kuelewa kwa nini tumeacha Kilimo kama uti wa mgongo wa uchumi wetu. Sioni ndani kabisa kama alivyosema Jasusi..Unless Muungwana anataka kunambia hata kufua umeme, kusambaza gas yetu tunahitaji msaada au mwekezaji toka nje. Ni kitu gani hasa anacho shop nashindwa kuelewa kwani hao kina Johnson ni wababishaji tu biashara zao za Kariakoo - zinafanyika South East ya miji mingi ya US..
Til now, can't stop wondering kuna kitu gani ambacho sikifahamu kitatokana na misafara hii!..
 
kuweni wastahmilivu basi kidogo, mpaka sasa majadiliano yalikuwa hivi kabla ya Reporter kukatisha 'kauhondo!'


 
Picha zipo ! Hapo kama naumona vile Obama anajiuliza hili nalo Kuuuubwa omba omba ! LOL

Duh !!
 

Attachments

  • JK&BO.jpg
    64.6 KB · Views: 75
Last edited:
Haya tupeni yaliyoajiri... isije tu, JK kaahidi Kigamboni kujengwa jela ya Magaidi kama wataweza kutujengea daraja!
 
Picha zipo ! Hapo kama naumona vile Obama anajiuliza hili nalo Kuuuubwa omba omba ! LOL

Duh !!

M$awa, hakuna Rais asiyeomba. Kunaweza kuwa na tofauti ya wanachoomba ila kuomba ni kitu cha kawaida kwa nchi zote duniani.
 
Picha zipo ! Hapo kama naumona vile Obama anajiuliza hili nalo Kuuuubwa omba omba ! LOL

Duh !!

...safi sana, weka hayo mapicha hapa. Agence France-Presse (washington) walitaka kutunyima 'riwaya' za alfu-lela u lela hapa.
 

Obama's spokesman Robert Gibbs said "I think the president obviously will continue his outreach in the lead-up to his speech in Cairo with continued outreach to elected Muslim leaders like the president."
Aya yaya yaya..... kumbe calculation ya Whitehouse ndio hii kumualika Rais wa Tanzania kumtumia kama ki token cha kuwafurahisha Mujaheedena wenye bifu na US wanao waomba undugu?

Huyu Obama nae should know better, Rais wa Tanzania hawezi kuwa painted as ``Muslim leader,`` udini hauna political prominence katika jamii ya Tanzania. Mtu kama Kambarage angeitwa kidini dini hivyo angemfurumusha huyo Obama na kisafari angeki call off hapo hapo. Kikwete hata hajijali kama katumiwa, utasikia ``liwa ule.``
 
Last edited:

- Yaaani sasa una akili kuliko hata CIA, una maana White House na CIA ni wajinga kumtumia huyu kama chambo chao kwa Muslims, yaani kweli unaamini wamekurupuka tu bila home work ya wanachokifanya? Mengine uwe unakubali kwamba huyajui mkuu.

Respect.

FMES!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…