Kikwete, sasa umemwelewa Sumaye?

Siyo siri ndugu LUSUNGO. Nakipa salute kwani pandiko lako limekwenda shule na linafikirisha sana kama siyo kutafakarisha. Na mimi naomba nirudie kwa msisitizo tu "....rafiki yangu JK JE, UMEMUELEWA SUMAYE..."?


Nashukuru Mkuu.
 
" Kenge haishi vituko ... akinyeshewa mvua hukimbilia majini" - By JF GT ... My take: Vituko vua CCM kwasasa vimezidi, wanaomba kurakwa style ya kuponda uozo wa CCM! Wanadesa kila kitu cha UKAWA/CHADEMA ... Mikakati yao ya kununua Shahada zimegonga mwamba, kutembea na wasanii kibao hakujawasaidia, kugawa noti za 10,000/- hazijabadili Upepo wa Mabadiliko, Kutumia Star TV, TBC na Radio kibao hakujawasaidia, Kuwatisha akina mama eti nchi itaingia kwenye machafuko ikiwa CCM itaondolewa madarakani hakujawasaidia ... yote Tisa! Kila wafanyalo linawageukia kwa kasi ya ajabu...
 
Watu wa Ukawa kwa kujifariji bwana!!! wamo.
 


Halafu vijana wao wa Masaki nao wameanza kuona nyota...

Wanasema wanatumika bila mafanikio...
 
Honorable J M Kikwete nampenda sana na sana. Ni mstaarabu ndiyo maana hata jibu lolote ila atakuwa amemuelewa maana yule si PHD holder? Alafu kama kuna mtu anaweza kuwa karibu na raisi wangu amwambie akishamaliza kutuongoza baadae october anitafute naomba kuonana nae nimwambie kitu changu kama wakati huo akiwa raisi mstaafu au nitamfwata kwake. Pamoja na shida ninazopata kama mtanzania bado nampenda J K na sitakaa nimchukie milele. Ila mwaka huu nitamchagua lowassa.
Jk kama ukiweza kupata namba yangu naomba unitafute napenda kuongea na wewe kama raisi wangu kwa sasa.
 


Haha natumai amekusoma mkuu...
 
Tena bora jiwe kamuonea huruma jiwe lina afadhali kuliko huyo mwenyekiti wenu

Unapomuita binadamu mwezako 'jiwe' wakati wewe na yeye (unayemuita jiwe) ni Mwenyezi Mungu mmoja aliyewaumba kuwa binadamu kwa namna moja ni kumdhihaki Mwenyezi Mungu, msione sifa, ushabiki wa vyama utawaangamiza!!
 
Unapomuita binadamu mwezako 'jiwe' wakati wewe na yeye (unayemuita jiwe) ni Mwenyezi Mungu mmoja aliyewaumba kuwa binadamu kwa namna moja ni kumdhihaki Mwenyezi Mungu, msione sifa, ushabiki wa vyama utawaangamiza!!


Ila nyinyi CCM mnapomdhihaki Lowassa ni sawa kwakuwa si mwanadamu aliyeumba na Mungu si ndiyo?
 
Hakuna wasichokijua - HUKUMU OKTOBA ndo watamwelewa vizuri
 

Hivi Kikwete yuko wapi?
sijamsikia siku mbili tatu hivi
Teh teh aaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…