‘Kikwete’s remarks on FDLR shocking’

Hivi nimesikia Rais Wa Rwanda kapigwa mayai visa Uingereza ni kweli mwenye data atudadavulie
 
Mr.Preseident,wherever you are,plz never apologize to these low class animals..they either take it or go to hell
 
We better go for war than apologizing,My president will apologize to to them b`se what he said was right,and we as Tanzanians we are so ready to support em no matter the costs,why they are so so angry with the statement,is there any unrevealed truth?...ok we are in Congo now let them come and confront us as we are chopping off their channels that brings to them something they have never naturally entitled......either take it or go to hell...rubbish!


 
apige magoti na kuomba msamaha mara moja ..kwanza wampe ultimatum akikataa washambulie tanzania

Wajaribu waone!


Labda hawa WanyaRwanda wanadhani wanayo hati miliki ya hasira hawa. Kuchezea Rais wa nchi yoyote ile ni kuchezea nchi hiyo yote. Kwanini wamekazana sana kututafuta? Wanatutafuta hawa.... eti? Nina mashaka tatizo wala si hii kauli ya Kikwete. Tatizo nadhani litakuwa ni Ule mwiba tumepeleka DRC.
 
EMT
Hapo nyuma tumewahi kufanya mazungumzo kupitia kwa Balozi Mulamula (Mrs) kujaribu kutanzua mzozo unaondelea lakini hatukufikia muafaka mpaka Mama Mulamula alipomaliza muda wake!

Kupeleka majeshi huko mashariki mwa DRC (Ngoma) ni ombi la UN kwa serikali ya JMT katika kuongeza nguvu ya kuwanyang'anya silaha waasi wa M23 wanaonendeleza vitendo viovu vya dhidi ya Bin-adamu.

Ikumbukwe kua sio Tanzania pekee ndio imepeleka jeshi huko mashariki mwa DRC.

Kwahivo sio kosa kwa Rais Kikwete kuangalia upande mwingine wa shilingi katika kutafuta suluhu ya AMANI katika ukanda huu wa nchi za maziwa makuu!.

Ni mawazo yake na yenye kama Mkuu wa nchi ameyatoa kwakuona inaweza kusaidia kupunguza kadhia inayoendelea nchini Congo.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: EMT

Ni kweli wahutu walikuwa wengi zaidi ya watusi. Lakini kwenye majeshi watusi walikuwa wengi sana zaidi ya wahutu, hata maofisa wa serikali yao wengi zaidi walikuwa ni watusi. Wahutu walikuwa ni kama 2nd class citizens. Na ukumbuke Habyarimana alikuwa ni muhutu, na baada ya kulipuliwa ile ndege hapo ndipo mapambano yalipokolea, na mipango ya kundondoshwa kwa ndege ilifanywa na watusi, hivyo basi watusi ndio walioanzisha/kukoleza moto wa mapambano baina ya wahutu na watusi.
 
Kumbe ni kitu hakiwezekani sio? so sasa wanafanyaje? unalo jawabu na ndicho Kagame anafanya.

Hicho kikao alikaa kagame na hao jamaa halaf hawakuafikiana ilikua lini? Kama kila kiongozi angefikia maamuz ya kufyekana bila usuluhishi hiyo aman ya angola, msumbiji, sudan na kwingineko ingetoka wap unadiriki kusema imeshindikana wakat hakuna atempt?
 
Mkuu umewaza nilichowaza? Nilimua lert Salva juu ya hili muda tu humu humu jf. Sijui kama anapita. Kwingine kote kuna waandishi wa kupambana na international propaganda,yeye yupo wapi? Kalala?

Mkuu international propaganda+politics+diplomacy inahitaji uelewa wa mambo wa hali ya juu na akili ya ziada sana kuweza kuzimudu walau kwa uchache wake. Labda aende kupiga tuition kwa madam Condoleeza Rice manake ndo mtu walau anayeonekana anaziweza sana hizo makitu.
Kazi ipo na safari bado si fupi ati.
 

Kabla ya kuyaongelea hayo mawazo kama mkuu wa nchi alishakutana na mkuu wa nchi ya Rwanda na kujadiliana nae uwezekano wa kugegotiate na hao FDLR?
 
I dont see what is wrong with Jk suggestions unless if some people have their own matters with him. what he said is right because fighting does not solve the problems, more people are dying and neither of the sides is gaining.
watanzania wengi hatumpendi raisi wetu lakini kwa hili kikwete yuko sawa sana sema watu wanajaribu kumnukuu tofauti na alichokisema.
 

sasa wewe ulitaka hayasemee wapi, ule ulikuwa ni mkutano wa AU hivyo pale ndipo pa kujadili mambo yanayohusu AU kwa ujumla ikiwemo uchumi, ulinzi na kila kitu hajaingilia mambo ya watu pale ndipo mahala pake.
 
upo sawa kabisa waliikuwa wanatafuta nitoke vipi. Maana siku zote ule mwiba wa Kongo walikuwa wanausemea chinichini. Kwelii wanakwambia fadhili mfadhili mbuzi binadamua atakuudhi wema wote tuliowatendea na bado ming'ombe yao imejazana huko Karagwe inaharibu mazingira, bado wanatuchokoa tu. Hivi hawajiulizi Jumuia za kimataifa ziwalalamike wao kila kukicha, Waliokuwa nao pamoja wanawakimbia wanatorokea SA. wakishatoroka wanawaita ni wauwaji wa kimbari kisa wameonyesha kutofautiana na Mkulu, yepi yalimpata bizimungu, yepi yamepata sijui nyamwasa, yepiyepi na yepi yataendelea kuwa yepi! mwisho wake nini si bora kupatana kwani kuna mtu ana guarantee na alipo, mbona wote tunapita tu duniani, kwani nini wengine wajione wao ni bora? Yaani ukikaa na watusi kweli wana dharau, wanajiona wao ni bora utafikiri hawanyi? Kha!

Naona tulifanya haraka kuwaingiza EAC hawa bado hawajatulia. Hainiingii akilini mtu kuambiwa upatane na fulani mgonvi wako kisha kama hutaki si unasema sitaki basi kuna lazima gani kumwambia aliyekwakwambia ukuombe msamaha? si hutaki acha kwani amekulazimisha.

Mimi naona hawa wana ajenda nyingi? Suala la Congo kwa kuwa wabongo wamo. Suala lingine lile la wahamiaji haramu na mang'ombe yao yaliyojazana kule karagwe na ngara kwa sababu serikali imesema wote waondoke? Sielewi kwa nini wanapenda kung'angania kwa watu. Yaani mwenye nyumba anakukaribisha anakupa hifadhi wakati wa shida bado unataka umpindue ili uwe wewe ndiye mwenye nyumba? hapa kuna walakini Wabongo tujitafakari we si unaona walivyojazana bongo wengi hawana hata hivyo vibali vya kuishi nchini kihalali wakiambiwa warudi yanawauma so wamepata pa kukoholea.
 
The other side of the Rwandese opinion is provided here.

OPEN LETTER OF SUPPORT TO PRESIDENT KIKWETE

OPEN LETTER OF SUPPORT TO PRESIDENT KIKWETE'S WISE STATEMENT ON RWANDA'S FDLR

May 30, 2013 by Rwema IT Webmaster 2 Comments
The Rwandan dream youth backs President Kikwete's idea with fully support


Tanzanian President Jakaya Kikwete, urged the Governments in the great lakes region to work together and end the war which has been going on for nearly 20 years, President Kikwete stressed that the only way out of that situation the region is facing was to speak to the rebels. This has caused different versions and the war of words between Rwanda and Tanzania however The Rwandan Dream Youth welcomed the idea of Mr Kikwete contrarily to the Rwandan Government.
Enclosed is the letter to the secretary General Ban Ki Moon from the Rwandan dream youth in support of President Kikwete's idea.
UN Secretary General
Ban Ki-moon
United Nations
New York, NY 10017 USA
212-963-5012fax: 212-963-7055
Email: ecu@un.org

May 29, 2013

RE: OPEN LETTER OF SUPPORT TO PRESIDENT KIKWETE'S WISE STATEMENT ON RWANDA'S FDLR AT 50TH ANNIVERSARY OF AFRICAN UNITY, ADDIS ABABA
On May 26, at the AU summit in Addis Ababa, Tanzania's President Jakaya Kikwete made a statement that will go down in history as the wisest ever. Speaking during the meeting for the parties concerned by the regional Peace Security and Cooperation Framework for the Democratic Republic of Congo, President Kikwete urged local Governments to address issues they have with armed opponents, including the Rwanda's FDLR based in Congo.
We, The Rwandan Dream Youth Worldwide, wish to ask the UN to support Hon. Kikwete's statement and call for negotiations between the Rwandan Government and the FDLR in order to put an end to the sufferance caused by two decades conflict.
Since it came to power in the wake of the 1994 genocide, Paul Kagame's Government focused on wiping out the Hutu rebels who desperately took up arms after the massacre of hundreds of thousands of refugees by the Rwandan army in the forests of Congo. We have to make it clear that the settlement of the FDLR issue is an absolute prerequisite to secure stability in the East of Congo.
In order to achieve and sustain peaceful cohabitation between DRC and Rwanda, it is crucial to address once for all the issue of the Rwandan refugees who are still on Congo's soil. The troubling fact is that the Rwandan Government is enthusiast to the cause of Kinyarwanda speaking Tutsi Congolese claiming to be excluded in their own country while the same government keeps ignoring the issue of Rwandan refugees who have spent decades in wretched conditions in DRC.
Thousands of Rwandan refugees are reluctant to return due to political intolerance prevailing in the country. Opposition politicians, human rights activists and journalists are permanently in danger of being murdered, put in jail or forced to exile.
In our opinion, it is not possible to address Congo's M23 issue and ignore Rwanda's FDLR issue. We are convinced that Hon. Kikwete's statement could be a stepping-stone to a stronger commitment from all the stakeholders. Tanzania has always been part of all processes meant to bring peace, justice and democracy to Rwanda, that is why we urge the UN to consider talks between Rwandans hosted by Tanzania.

Faithfully.
The Rwandan Dream Youth
Cc

  • Office of the United Nations High Commissioner for Human Rights (OHCHR)
  • EAC Heads of States
  • The President of the United States of America
  • The African Union
  • East African Legislative Assembly (EALA)
  • All Embassies Accredited to Rwanda
  • The National Assembly of Tanzania
  • The Rwanda Civil Society Platform
  • Ibuka
 
Sidhani kwa hali ya sasa kama mazungumzo baina ya Rwanda na waasi wa FDLR yanaweza badili chochote. Hata leo Wanyarwanda wakipatana,yataibuka makundi mengine na vita itaendelea. Viongozi wa nchi za Maziwa Makuu na Jumuiya ya Kimataifa wajikite ktk kuisaidia DRC ipate serikali imara yenye jeshi lenye nidhamu na uwezo wa kulinda mipaka ya Congo na wananchi wake.
 

Tanzania imetoa msimamo wake kwamba inapendekeza mazungumzo badala ya njia nyingine za kumaliza mgogoro (njia za kijeshi etc)

Hilo halitegemei kama mazungumzo yana nafasi ya kufanikiwa ama la, na mara nyingine, pale mazungumzo yanapoonekana ni lazima yafanikiwe, huwa hayafanikiwi, na pale ambapo yanaonekana ni lazima yasifanikiwe, hufanikiwa.

Waswahili wanasema "mwanzo wa ngoma lele", na "haba na haba hujaza kibaba".

Kwa hivyo, msimamo wa serikali ya Tanzania umekuwa mazungumzo, na hatujui mazungumzo yatakavyoenda. Yakishindwa angalau tutajua yalianzishwa, na yameshindwa wapi, tutajua pa kufanyia kazi zaidi.

Waungwana hawakatai mkutano, wanaweza kukataa neno katika mkutano.

Hizi habari hakuanza Kikwete, Kikwete anafuata a core principle of the so called "Tanzanian Foreign Policy" ambayo iko hivyo tangu enzi za Nyerere, Mwinyi na Mkapa.

Wanyarwanda kusema hawawezi kufanya mazungumzo na genocedaires ni hadaa tu, kwa sababu wao wenyewe wameanzisha system ya gacaca court ambayo imejikita katika mazungumzo ya watu waliouliana ndugu zao katika mauaji ya kimbari.

Sasa kama majirani wanaweza kuzungumza katika gacaca system ili kusameheana na ku move on, kwa nini serikali na FDLR wasiweze kuzungumza katika ngazi ya juu?

Especially kama mazungumzo yako open ended?

Nimeuliza swali hili mara kadhaa sijapatiwa jibu.
 
Kikwete is right, and I will say this 1000 times. Retaliation, revenge will not solve the Rwandan issue, and this is a fact proven by history since time immemorial. It is disgusting and utterly despicable to hear the so-called "genocide survivors" (I doubt this status) asking Kikwete to apologize for suggesting PEACE to them! So they want WAR! This is more than absurd.
 


Analysis yako nimeipenda. Hapa hasa pamenikuna zaidi: watusi kweli wana dharau, wanajiona wao ni bora utafikiri hawanyi? Kha!

Tunaweza kuwa na madhaifu yetu kama taifa. Tanzania ni taifa limeundwa na binadamu. Sikubali hata siku moja mtu anatuzalilisha kwa hoja ya kijinga kama hii. Watusi wana kasumba ya kudhani wao wana vinasaba vya anglo saxon kwa sababu ya urefu na vipua vyao vyembamba; na kwa fikara zao wanadhani vinasaba vya anglo saxon vina ubora kuliko vinasaba vya bantu. a bunch of bull shit! binadamu wote wameumbwa kwa nyama, mifupa, damu na roho.

Sifa kubwa ya anglo saxon ni upeo mpana wa kufikiri--reason! Ni mtu gani mwenye akili nzuri atakataa kupatanishwa?
Hawa wanaumwa. Anglo saxon nimeishi nao katika mazingira ya familia. Wanalia, wanacheka, wanakasirika, wanafurahi kama mimi na wewe. Kikubwa kuliko vyote wanafikiri na ku-reason things out. Ni mtu gani mwenye akili timamu atakataa kupatanishwa na adui yake? Labda kichaa.... They must be subdued. Militarily.
 
Kabla ya kuyaongelea hayo mawazo kama mkuu wa nchi alishakutana na mkuu wa nchi ya Rwanda na kujadiliana nae uwezekano wa kugegotiate na hao FDLR?

EMT
Sina hakika kama alishawahi kumwambia ana kwa ana. Lakini hicho cha kutokukutana uso kwa macho hakimzui JK kutoa maoni yake, ikizingatiwa pale walikua katika hafla ya miaka 50 ya AU
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…