kuna kisa cha rafiki yangu moja alikuwa anafanyia kampuni moja ya kidosi, sasa siku ya kupewa mshahara kijana moja wa kidosi akamringishia huyo rafiki yangu kwamba yeye anapata zaidi, kuliko yeye, rafiki yangu baada ya ku-prove kwamba mdosi anapewa zaidi alimpoka huyo mdosi mshahara wake na kuondoka zake.
jingine la kujifunza ni kwamba Jiheshimu uheshimiwe, sasa wewe kitabu chako wewe mwenyewe huki thamini, unategemea nani zaidi akithamini?
jingine la kujifunza ni kwamba Jiheshimu uheshimiwe, sasa wewe kitabu chako wewe mwenyewe huki thamini, unategemea nani zaidi akithamini?