Kikwete: Pamoja na utoto wake, kijana alifanya kosa kubwa kukojolea msahafu!

hivi kazi yake ni kushauri tu au ? na aliyowashauri wasiposikiliza ushauri wake then what ?

waliofanya fujo ni waharifu na wahuni ningetegemea angesema waliofanya fujo watatupwa ndani na watakaofanya fujo sheria itawabana haya mambo ya ushauri akawape wakiwa gerezani
 
biblia nyingi huchomwa , makanisa mengi yalishachomwa, Tunduru wameua hata nguruwe,lakini wakristo wapo kimya wanajua Mungu wao ndo anaewapigania, Pole sana Mungu hapiganiwi yeye mwenyewe anaweza,
 
Mtoa mada Mignon, mada yako ni nzuri ila nashauri uirejee uweke paragraph na bullets ili kubainisha points. Sasa hapo ulipoiweka ikiwa ni mkuruzo mmoja kama kanzu au gauni la dira, ninashindwa kusoma kwa mfululizo najikuta narudia misitari. Kajipange upya ufanye formating, please!!!
Mnisamehe sana kwani nipo katika wilaya moja ambapo internet ina taabu mno na kwa sasa natumia modem ya airtel ni kila niki edit ninapojaribu ku save net inakuwa imetoka na inabidi nianze upya na imenichukua muda. Kama kuna anayeweza (Moderators,tafadhali anisaidie) aiweke vizuri. Mimi ni Muislamu.
 
Attachments

  • Mtume Hatetewi Kwa Dhulma Na Ujinga.doc
    72.5 KB · Views: 119
Sure!! Elimu ya Paragraphs ilimpita kando!!
In one of my responses I tried to explain what happened and my efforts on making it readable.I had attached it for those who will be able to download. I am very sorry for what happened and please do not use abusive and provacative language
 
Rais kaongea kama muslim na kaongea vema kabisa-Ni vizur sasa kubadilika na kuwa Wa-kristo Yesu na si kwa majina yetu mi nimeshangaa kuona waumin wenzangu machozi yanawatoka! As if hawajui vita tuliyonayo ni ya kiroho si mwili-enyi wa kristo mmesahau habar ya ndege wa angani -hakika tusiangamizwe kwa kukosa maarifa-sitak kuamin vitu vilivyoharibika tumevipata kwa juhud zetu tu -kilio ni kumpa adui ushindi next time haitakuwa kanisan bali ktk miili yetu- hawa watu ni wadogo sana mbele ya Utatu mtakatifu-tuombe uzima tu mtashuhudia jinsi Yesu atakavyojiinua katika makanisa haya-polen enyi Wa-kristo Yesu.
 
JK nae kwanini asingesema watoto wote wana makosa? kwanini hajakemea waislamu kuvamia makanisa na kufanya uharibifu kuwa ilikuwa ni kosa?..mwaribifu namba moja wa amani Tz ndiyo huyo rais, shwain kbs!!
 
Mnisamehe sana kwani nipo katika wilaya moja ambapo internet ina taabu mno na kwa sasa natumia modem ya airtel ni kila niki edit ninapojaribu ku save net inakuwa imetoka na inabidi nianze upya na imenichukua muda. Kama kuna anayeweza (Moderators,tafadhali anisaidie) aiweke vizuri. Mimi ni Muislamu.

Tumekuelewa mkuu. Hata hivo inaelekea una uelewa wa hali ya juu imani yako. Kwa hakika uko vizuri sana pengine ni kwa sababu una elimu mbili kwa ukamilifi wake. Hongera.
 
biblia nyingi huchomwa , makanisa mengi yalishachomwa, Tunduru wameua hata nguruwe,lakini wakristo wapo kimya wanajua Mungu wao ndo anaewapigania, Pole sana Mungu hapiganiwi yeye mwenyewe anaweza,

Nanyi mtakuwa watu wa kuchukiwa na mataifa yote kwa ajili yangu.............tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote,kuwa ushuhuda kwa mataifa yote,hapo ndipo ule mwisho utakapokuja. WATU WA MUNGU TUOMBE HATUWEZI KULALAMIKA KAMA WATU WASIOMJUA MUNGU, TUNAMJUA TUNAYEMWAMINI.
 
Tumekuelewa mkuu. Hata hivo inaelekea una uelewa wa hali ya juu imani yako. Kwa hakika uko vizuri sana pengine ni kwa sababu una elimu mbili kwa ukamilifi wake. Hongera.
itabidi tumuweke kuwa mwenyekiti wa kamati ya mahusiano ya jamii, au mshauri wa Raisi anaye shughulikia masuala ya Dini, by the way nani ni mshauri wa Raisi kuhusu masuala ya dini au mahusiano ya Jamii?
 
Hivi ile kauli ya Mnyika kuwa Raisi Kikwete ni dhaifu ilipata kukanushwa? na Kikwete mwenyewe ama hata wasaidizi wake?
 
Shida wenzetu hawa wanapandisha jaziba kabla ya kufuatilia chanzo cha tatizo ni nini
 
Nimeishi na waislam wengi tangu nikiwa mdogo,nimesoma boarding school miaka sita nikiishi na waislam tofautitofauti bwenini,nimesoma nao chuo kikuu na na katika vyumba nilibahatika kuishi nao. Ukimkuta muislamu anaeujua uislam ni nini na anayefuata mafundisho vema,ni mtu mwelewa,hana jazba na ni mtu ambae yuko tayari kujadiliana nawe katika kile unachoamini na yeye anachoamini na mwisho wa siku anabaki yeye na imani yake na anaheshimu wengine,nilichokiona mimi (samahani kwa watakaokereka kwa kauli yangu) kuna wanaojiita waislam ilhali hawaujui uislam vema na nini uislam unamtaka mtu atende,hawa ndo wamekuma watu wa JAZBA,MIHADHARA YA KASHFA,MAJINA MABAYA KWA ASIYE MUISLAM na WAENDEKEZA MARUMBANO. Kutokana na aidha kutojua QURAN inawataka watende vipi au uvivu wa kusoma wamekuwa watu ambao wanaushushia hadhi UISLAM kwa kutokujua kwao.

WITO:Waislamu swafi wasiruhusu wahuni wasiojua hata Uislamu kwa undani wachafue sura ya Uislamu, pia kwa Wakristu kama mlivyoachiwa amri mpya PENDANENI,msiuchukie Uislamu kwa sababu ya wahuni wachache ambao hata katika uislam hawana nafasi,waombeeni!
 
Japo sijasoma ulichoandika kutokana na urefu wake, mi kesho nataka kununua yangu niikojolee mkojo wa kikubwa bafuni nione ntakuaje.

Na ulaaniwe habith bin majinun wewe Kama unajiamini Fanya ivo wewe mwenyewe usimtume mtoto piga picha uweke hapa tuone Kama hatujakosa comment ***** zako hapa na hii I'd isahaulike jf Dah wewe kweli ni kirusi I wonder una knowledge gani
 
Kosa kubwa ni la yule anayefahamu thamani ya Kuran aliyempa mtu akijua analokusudia kufanya ni kuikojolea. Je huyu kweli alikuwa anaithamini hiyo Kuran? Na je alikojolea wapi? Ilikuwa darasani, kichakani au chooni? Je inaruhusiwa kuipeleka Kuran chooni???
Naongezea, alimvamia na kumnyang'anya hiyo kuran? Kwanza imeonesha hilo li kitabu halina thamani maana limekula mkojo na dogo hajachanganyikiwa!! Sema mijadala ya dini si jambo jema kulifanya (Ingawa hawa mashetani-baadhi wanaendekeza huu ujinga wa mijadala ya kijinga). Hivi sisi wakristu tungeamua kuwachana chana kuhusu ushetani wao wangebaki? Mi naona bora wakristu tuchukue hatua ya kujilinda, ni muhimu sana. Kuanzia sasa mliopanga nyumba za waislamu muwe makini, na kama jirani yako ni muislamu kuwa naye makini!
 
In one of my responses I tried to explain what happened and my efforts on making it readable.I had attached it for those who will be able to download. I am very sorry for what happened and please do not use abusive and provacative language

I sensed your wisdom right from the beggining of your post,do not let anyone spoil your day on silly accounts.you are smarter than that
 
Mpaka sasa cjaona mtoa mada kama kinajadiriwa alichokiomba, watu mnataka kuuteka mjadala na kua mwngine kabsa!.....cjui kwa nn waislam hawatoi maoni yao kwa wingi hapa, pengne ntaanza kuamin kuwa huenda wana upungufu pia wa elimu ya mbingu na elimu dunia! Fungukeni jaman tuone ukweli huu....
 
mungu atawarehem na atawabadl Km Sauli alitesa kanisa na bado Mungu alimponya,ije kuwa mbagala,wote watalipokea jina la Yesu!

Wewe ukinikuta nakojolea biblia utanifanyaje? Kuna mtu kachangia APo juu eti anaenda kununua msahafu akojoleee aone itakuawaje Ayo ndio bibilia inatufunza ivo? Wacheni kauli chafu
 
Mpaka sasa cjaona mtoa mada kama kinajadiriwa alichokiomba, watu mnataka kuuteka mjadala na kua mwngine kabsa!.....cjui kwa nn waislam hawatoi maoni yao kwa wingi hapa, pengne ntaanza kuamin kuwa huenda wana upungufu pia wa elimu ya mbingu na elimu dunia! Fungukeni jaman tuone ukweli huu....

Just do a revision of your post and you I'll realized why they can't put their comments I'n here. I prefer their silence than your provoking. I got a feeling that your the one who have luck of education nyamaza ufiche upumbavu wako
 
Japo sijasoma ulichoandika kutokana na urefu wake, mi kesho nataka kununua yangu niikojolee mkojo wa kikubwa bafuni nione ntakuaje.

Ntakuona mjajanja kama utatupostia picha hapa ukiwa unafanya hilo tukio..please sura yako ionekane katika hizo picha...video itakuwa nzuri...

Baada ya masaa mawili utakuwa mkimbizi humu nchini
 
Back
Top Bottom