Kikwete: Pamoja na utoto wake, kijana alifanya kosa kubwa kukojolea msahafu!

kuna kisa cha rafiki yangu moja alikuwa anafanyia kampuni moja ya kidosi, sasa siku ya kupewa mshahara kijana moja wa kidosi akamringishia huyo rafiki yangu kwamba yeye anapata zaidi, kuliko yeye, rafiki yangu baada ya ku-prove kwamba mdosi anapewa zaidi alimpoka huyo mdosi mshahara wake na kuondoka zake.
jingine la kujifunza ni kwamba Jiheshimu uheshimiwe, sasa wewe kitabu chako wewe mwenyewe huki thamini, unategemea nani zaidi akithamini?
 
Mimi ni muislam tangu nizaliwe sijawahi kusikia msikiti umechomwa moto. Waislam tubadilike. Kuchoma kanisa si suluhu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
pumba tupu, ameshindwa kuzuia hisia zake. kwa hyo angekojolea m2 mzima ndo hasira zao dhidi ya makanisa zingekuwa justified? mambo ya kesi ya nyani kwa ngedere hayo.

Maandiko yanasema Mungu amewanyima waislam hekima na busara!! simple tumechomewa makanisa je, umemsikia mkiristo akiandamana?? na kwambia ukweli hata waislamu wakikojolea BIBLIA tena hadharani na kutukana na jina la YESU hutasikia mkiristo akiandamana ama kuchoma msikiti, maana Mungu wetu wa kweli tunayemuamini anaweza kujitetea mwenyewe, maana tunajua tunamuamini Mungu wa kweli. Unapolazimisha watu waamini unachokiamini,tena na kuwaua ina maana huna huakika na unachokiamini.
 
Una hoja ya msingi sana ambayo ni ya pekee kabisa kwa mioyo ya watu wengi wa nyakati hizi. Nikuombe irudie kuihariri upya kwa ajili ya kutenga aya ili isimchoshe msomaji kwa kuwa walio wengi wanatumia simu za mkononi kama mimi.

Zaidi ya hapo niombe uwe mjadla wenye weledi wa hali ya juu kwa watakaochangia hapa. Wale watakaokuwa maamuma wa jambo hili ni vema wakasubiri kujifunza ukweli utakaoletwa na wana taaluma wa dini ya kiislamu.

Ikumbuke kuwa shehe mkuu wa mkoa wa Dar es salaan alionesha kuwa yeye ni muislamu wa tofauti na hawa wanaokurupuka kumpigania mtume na huku wanakwiba vifaa vya wanawaita makafiri.

Ukisoma changizo za hoja katika uzi ulioanzishwa baada ya kisa cha Mbagala juzi, wachangiaji wa kristo walichangia wao zaidi walisema kuwa Mungu wao wao hapiganiwi na wanadamu bali ana uwezo wa wa kujinesha na kitetea kazi yake mwenyewe ikiwa ni pamoja na kuwapigania na kuwatetea wao.

Naungana nawe kuwa ni lazima kujingalia upya je, ikiwa Mungu wa Wakristo hahitaji kutetewa na mwanadamu yeyote je Mungu wa Waislamu na Mtume wake SAW anahitahi kutetewa na mwandamu yeyote?

Na hawa wanaojitosa katika kuwatetea Mungu ni kwa faida ya nani? au ni kwa maslahi yao binafsi kama alivosema sheikhe wa mkoa na kama walivoonesha wenyewe kwa vitendo vyao vya kuvunja makanisa ya wanaowaita makafiri na kuiba mali zao? Huo ndo Uislamu mtakatifu aloagiza mtume?

Nasubiri maoni ya wanaoijua dini vizuri zaidi kutufungua fahamu zetu. Asanteni.
 
Na Raisi kuanzia leo nafikiri ataishauri redio imani na gazeti la Annur ziache kukashifu dini zingine au watu binafsi wasio wa dini yao kwa nasaba ya dini (Mwl Nyerere) , Issa Bin Maria-Yesu nk inayo elekeana na hiyo kama kweli anaguswa na mambo hayo ya kejeli kwa dini zingine, na kama wao wanataka kuandika au kuchangia chochote kinacho husu Issa Bin Maria basi waanze redio au gazeti binafsi lisilo uhusiana na dini yao, ili isionekane ni ugomvi wa dini mbili au tatu nk nk
 
Swali la msingi "je,? Uislamu unamafundisho kama hayo? Kama wangelikuwa na hasira wangechoma moto kituo cha polisi alikofichwa dogo na sio makanisa'
 
Mtoto hana kesi ya kujibu.. alikuwa anafanya risechi kutokana na kushawishiwa na mwenzie. Wakimpeleka mahakamani patachimbika.. bora wamuachie huru

kila mtu anajua kuwa kumpeleka mahakamani huyo kijana ni daganya toto ili kupoza mambo.after all he is below 18.
 
Tofauti ni kwamba ukristo unakufundisha kuwa mvumilivu, mpole na uislam (Sidhani kama ni wote) unasisitiza kupigania dini ikiwezekana kwa vita. Kama yule mtoto kweli angegeuka mjusi, wakristo wangechoma misikiti?
 
inaonekana polisi akiua raia si hoja bali raia akiua polisi hoja, nguluwe kupigwa mchale ushujaa,ila nguruwe kuua mtu story, imechomwa quran mwanza kimyaa,imetumbukizwa chooni muleba kimyaa,imetumbukizwa chooni bagamoyo kimya,kauwawa muislamu KAKOLA na wapendekost kimyaa, cd imetoka kakola ya kukashfu uislamu kimyaa, kijana wa miaka 15 wa form two kakojolea QURAN, kaonekana ni mtoto, waislamu kuchoma kanisa hoja, haya acha tusikie na tusubiri.
 
maandiko yanasema mungu amewanyima waislam hekima na busara!! Simple tumechomewa makanisa je, umemsikia mkiristo akiandamana?? Na kwambia ukweli hata waislamu wakikojolea biblia tena hadharani na kutukana na jina la yesu hutasikia mkiristo akiandamana ama kuchoma msikiti, maana mungu wetu wa kweli tunayemuamini anaweza kujitetea mwenyewe, maana tunajua tunamuamini mungu wa kweli. Unapolazimisha watu waamini unachokiamini,tena na kuwaua ina maana huna huakika na unachokiamini.

absolutely you are right
 
Wakristo hawaamini kwenye kulipiza kisasi.. Maana mungu halipizi kisasi na wakristo wamefundishwa kusamehe. Waislam wanawaita wakristo makafiri.. Wakristo hawana jina baya la kuita waislam. Waislam wanaona wao dini yao ndio bora kuliko zingine. Kila mtu na imani yake lakini mungu ni mmoja wote tunamuabudu huyo huyo
 
Huyo dogo aliyekojolea qur an aliitoa wapi?
Mbona mnakuwa wapofu kiasi hicho?

Kama mtoto aliyekojolea kurana ana makosa,
Je huyo aliyempa aikojolee kwa mabishano ya kugeuka chizi au nyoka yeye hana makosa?

Ndivyo alivyofundishwa kuitumia quran?

Dont be that low.

Mkuu, ukiangalia kisa kizima mtu unaona wazi wazi kwamba tukio hili ni la kupanga - si bahati mbaya wala nini sijuhi! Kilicho fanyika pale ni kumtegea bwana mdogo afanye kosa, hivi mtoto atakuwa na interest gani ya kubeba quran iliyo andikwa kwenye lugha ambayo ni ngeni kwake, walikuwa na uhakika gani kama mtoto si mpagani? Kwa nini hawakwenda kulalamika kwa wazazi wake? Makanisa yanahusika kivije na michezo ya watoto wadogo, repeate "watoto WADOGO?"

Wote tumepitia phase ya utoto, ni jambo la kawaida sana watoto kuwa Curious/inquisitive hasa wakielezwa jambo ambalo linaonekana ni kama mihujiza kwao, watafanya lolote wanalo ambiwa ili wa-quench kiu yao ya kuona mahajabu, katika mizingira kama hayo watoto wanakuwa wahanga wa kutumiwa vibaya na watu wazima wenye ajenda zao za SIRI.

Hizi vurugu za Mbagara zilikuwa zinafukuta kwa ndani kwa muda (juzi juzi walikuwa wanagombania sijuhi makaburi sijuhi ya kuzika mtoto mdogo kama sikosei!).

Walicho kuwa wanatafuta kwa muda mrefu ni kisingizio TU cha kuanzisha ZALI kwa kusingizia matendo ya watoto wadogo wasio tafakali MAMBO, walifikili Wakristo watahamaki na kutaka kulipiza kisasi hivyo kuwapa mwanya wakutimiza hidden agenda walizo kuwa nazo kwa muda mrefu! Ukweli wa mambo ni kwamba lengo lao limeshindwa miserably.

Labda nimalizie kwa kusema kwamba si waislaam wote wenye fikila za kutaka kuvuruga amani ndani ya TAIFA letu, bahati nzuri ni kwamba Marais Waislaam walio wahi kuongoza TAIFA letu ni wazalendo na weledi wanao tafakali mambo hawa-entertain fanatism zisizo kuwa na MSHIKO, oh yes "akili za kuambiwa wanachanganya na za KWAO" - matokeo yake TAIFA linabaki shwali bila labsha na ma-fanatics wanahishia in a SLAMMER.
 
inaonekana polisi akiua raia si hoja bali raia akiua polisi hoja, nguluwe kupigwa mchale ushujaa,ila nguruwe kuua mtu story, imechomwa quran mwanza kimyaa,imetumbukizwa chooni muleba kimyaa,imetumbukizwa chooni bagamoyo kimya,kauwawa muislamu KAKOLA na wapendekost kimyaa, cd imetoka kakola ya kukashfu uislamu kimyaa, kijana wa miaka 15 wa form two kakojolea QURAN, kaonekana ni mtoto, waislamu kuchoma kanisa hoja, haya acha tusikie na tusubiri.

kweli nimeamini waislamu mko biased sana katika kuongelea maswala ya dini. hebu fikiria ni maandamano na vurugu kiasi gani zingetokea kama msikiti ungechomwa. usiwe biased jibu ukiwa neutral
 
Mi nataka kesho nijaribu kukojolea mkojo wa kikubwa. Si ntanunua kwa hela yangu¡¡? Au vinapatikana bure?
Nataka niprove nitageuka kua nini.
 
Nadhani wakati umefika tuwafunze watoto wetu kwa njia za ukweli.....na si kwa njia za ukali na kuwatia hofu......huyu mtoto alifundishwa kuwa ukikojolea msahafu unageuka mjusi badala ya kufundishwa kuwa msahafu ni kitabu kitukufu hivyo kinatakiwa kiheshimiwe na kutunzwa katika mazingira safi......
 
Mtoa mada Mignon, mada yako ni nzuri ila nashauri uirejee uweke paragraph na bullets ili kubainisha points. Sasa hapo ulipoiweka ikiwa ni mkuruzo mmoja kama kanzu au gauni la dira, ninashindwa kusoma kwa mfululizo najikuta narudia misitari. Kajipange upya ufanye formating, please!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom