Kikwete: Pamoja na utoto wake, kijana alifanya kosa kubwa kukojolea msahafu!

Mtoa mada Mignon, mada yako ni nzuri ila nashauri uirejee uweke paragraph na bullets ili kubainisha points. Sasa hapo ulipoiweka ikiwa ni mkuruzo mmoja kama kanzu au gauni la dira, ninashindwa kusoma kwa mfululizo najikuta narudia misitari. Kajipange upya ufanye formating, please!!!

Mama mdogo umkuwa mkali ghafla mno kuwa mpole. Kanzu na dira za nini tena hapa. Ushauri wako wa kuedit habari ni mzuri. Nia yake ni njema sana. Please my small mama.
 
Too soft, hamna hata karipio au order.

Mh. Rais kaishia kuongelea ushauri aliowapa.

Amewataka waislam kutochukua maamuzi haraka wanapokuwa wamekasirika.

Amesema, pamoja na kuwa kijana ni mdogo lakini alifanya kosa kubwa kukojolea msaafu.

Chanzo: Leo hotuba ya Nyerere day
Ah tumeshamzoea huyo,ngoja amalize muda wake akapumzike,Naamini hata Askofu Kilaini anajutia kauli yake ya "Chaguo la Mungu"
 
Mama mdogo umkuwa mkali ghafla mno kuwa mpole. Kanzu na dira za nini tena hapa. Ushauri wako wa kuedit habari ni mzuri. Nia yake ni njema sana. Please my small mama.

Kanzu na dira ni nguo zinazoshonwa bila marinda, ni free formating. Na mada yako haina marinda (paragraph, itemization of points etc). Je nimesomeka vizuri???
 
Zanzibar wana UAMSHO walikuwa wanadai Zanzibar yao lakini hasira zikaelekezwa kwenye makanisa, Mbagala mtoto amekojolea Msahafu, hasira kwenye makanisa, hivi RAIS wa nchi angekuwa MKRISTO si wangemfuata huko IKULU?

Naona haya mambo yanapata msukumo kutoka ngazi za juu ili kupoteza fikra na mawazo ya WATANZANIA kuhusu hali ya kiuchumi ilivyo kwa sasa pamoja na ugumu wa maisha unaowakabili.
 
Japo sijasoma ulichoandika kutokana na urefu wake, mi kesho nataka kununua yangu niikojolee mkojo wa kikubwa bafuni nione ntakuaje.
 
Kanzu na dira ni nguo zinazoshonwa bila marinda, ni free formating. Na mada yako haina marinda (paragraph, itemization of points etc). Je nimesomeka vizuri???
Mweee,
Mada si yangu ni ya MIGNON. Miye mchangiaji tu.
 
Too soft, hamna hata karipio au order.

Mh. Rais kaishia kuongelea ushauri aliowapa.

Amewataka waislam kutochukua maamuzi haraka wanapokuwa wamekasirika.

Amesema, pamoja na kuwa kijana ni mdogo lakini alifanya kosa kubwa kukojolea msaafu.

Chanzo: Leo hotuba ya Nyerere day
Kulaumu kitendo cha kijana huyu bila kufikiria nani katufikisha katika siasa za udini ni usanii.Huyu mtoto mdogo sawa je hao wakubwa (Viongozi wa chama tawala CCM serikali na Mh.JK)Walipokua wakiiimiza siasa za udini na ukabila na kukaa kimya wakati vitendo hivi vikiendelea kushamili kutokana na kukosa hoja ya kupambana na CHADEMA pamoja na viashilio na maonyo wa Baba wa taifa katika hotuba zake za mwisho ambapo alikemea na kuonya kuhusu siasa hizo,mlikua wapi.MH. RAIS JK HAYA TUNAYOYAONA YANATOKEA NI MATUNDA YA UDINI NA UKABILA MLIYOYAPANDA NYINYI CHAMA TAWALA PAMOJA NA WEWE BINAFSI SASA TUNAVUNA MLICHOKIPANDA PASIPO KUA NA MAGHARA YA KUIFADHI MAZAO HAYO.MAANA KAULI ZENU KUENEZA UDINI NA UKABILA ZILIKUA ZIMEKAA KISANII HAKUYAPIMA AU KUFIKILI MADHARA YAKE YA BAADAE,KAMA ZILIVYO KAULI NYINGI ZA VIONGOZI WA CHAMA TAWALA,POROJO NYINGI AHADI NYINGI ZISIZOTEKELEZEKA KUWARUBUNI WANANCHI ILI KUBAKI MADARAKANI.KUJIVUA MAGAMBA,ARI MPYA MAISHA MAPYA,KILIOMO KWANZA N.K.HILI LA DINI NA UKABILA LINAWEZA KULIPELE TAIFA PABAYA DALILI ZIMEISHA ANZA KUONEKANA.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
????.??????????????????????????????????????
?

?????

???
????????
Kojolea uone patachimbika kama mbagala
 
Kuna time niliona mama mmoja anatoa salam na nchimbi alikuwa nyuma yake,yaani jamaa alivyokosa mvuto mpaka nilimsahau,afadhali sikumuangalia kumbe ameendeleza udhaifu wake...dah kazi ipo.
 
1. Napenda kujipongeza kwa kua MUISLAM
2. Napenda kumpongeza raisi wetu kwa kutupendelea sisi WAISLAM
3. Napenda kuwapongeza walimu wetu wa madrasa kwa kutufundisha kuwachukia WAKRISTO
4. Napenda kuwapongeza polisi kwa kutuogopa sisi WAISLAM
5. Napenda kumpongeza MUNGU wetu kwa jinsi tunavyomtetea vizuri
6. Napenda kuwapongeza kwa kutochukua hatua kila tunapochoma makanisa yao

NATUMAINI RAISI AJAYE ATAKUA MUISLAM ILI AENDELEE KUTULINDA WAISLAM KATIKA HARAKATI ZETU ZA KUMTETEA MUNGU WETU.

Mungu gani asiyeweza kujitetea mwenyewe?
 
Waislam wenye akili timamu hawawezi kuchoma makanisa, bali wenye akili kama za nguruwe ndio waliochoma makanisa na kuiba. Kisa kulipiza kisasi. Hao sio waislam bali manguruwe
 
Watanzania ni hodari wa kujaribu kila kitu, SIKU AKITOKEA MGANGA WA KIENYEJI na kusema quran ni dawa ya utajiri, HATA HAO WANAOJIDAI KUCHOMA MAKANISA Watakuwa wa kwanza kupeleka za kwao kwa mganga!
Nilikua napita, lakini hii nimeipenda. Kama ilivyokua kwa babu wa Loliondo haikuangaliwa suala la dini pamoja na kuwa yule babu ni Mkristo lakini hata waislam walipiga foleni kupata ''KIKOMBE''
 
mkuu dr. Ulimboka ni
mkristo ndio maana hatuliongelei, lakin tulilaani vikali kifo cha osama
japokuwa ni gaidi koz osama ni muislamu mwenzetu pia huwa tunalaani
kitendo cha wanajeshi wa UNO kuwaua alshababy koz ni waislamu wenzetu.

Thakbir......................

Mkuu, kuna ka ukweli fulani kwenye maneno yako.
 
????.??????????????????????????????????????
?

?????

???
????????
Kojolea uone patachimbika kama mbagala

mungu atawarehem na atawabadl Km Sauli alitesa kanisa na bado Mungu alimponya,ije kuwa mbagala,wote watalipokea jina la Yesu!
 
hivi uislam ni uadui? sijawai kusikia kamwe wakizungumza amani wao siku nzote ni fujo tu, hivi hii dini imetokea wapi? huwa nampongeza sana mama yangu kwa kubadili dini, kwa kweli amepata ukombozi. sijui kama ningemdhamini kama angekuwa anafuatilia ujinga kama huo.

Mkuu, Rais Bush Jr aliwahi kusoma Quran nzima iliyo tafsiliwa kwenye kingereza, alikua na shahuku kubwa kusoma kitabu hicho kitakatifu baada ya kushtuliwa na kitendo cha vijana Waarabu kubamiza ndege zilizo jaa mafuta na abiria kwenye majengo pacha pale New York; alishangazwa sana na kitendo cha watu wasomi kuamua kujitoa muhanga bila ya kujali KIFO, wengi wa vijana hao walikuwa ni Raia wa Saudi Arabia.

Bush alichokua anatafuta mle alifikili labda kuna juzuu zinazo washinikiza wahumini kuua watu, kujilipua au kuchukia dini za watu wengine! Bush alishangaa alipo kuta KORAN inazungumzia mambo ya amani, kupendana na kusaidiana bila ubaguzi - mzee wa watu akuamini macho yake; alichanganyikiwa akawa anajiuliza: Sasa inakuwaje baadhi ya Waislaam wanafanya mambo ambayo yako tofauti kabisa na maagizo ya KORAN - in short KORAN inazungumzia mambo ya AMANI sio ugomvi mkuu.
 
Kijana aliyekojolea kur,an ana umri gani kiasi kwamba JK anasema kafanya kosa kubwa?Je ingelikuwa ni waislamu wamekojolea Biblia wakristo wangeandamana na kuharibu msikiti?kuna upendeleo usiovumilika,
 
Mkuu, Rais Bush Jr aliwahi kusoma Quran nzima iliyo tafsiliwa kwenye kingereza, alikua na shahuku kubwa kusoma kitabu hicho kitakatifu baada ya kushtuliwa na kitendo cha vijana Waarabu kubamiza ndege zilizo jaa mafuta na abiria kwenye majengo pacha pale New York; alishangazwa sana na kitendo cha watu wasomi kuamua kujitoa muhanga bila ya kujali KIFO, wengi wa vijana hao walikuwa ni Raia wa Saudi Arabia.

Bush alichokua anatafuta mle alifikili labda kuna juzuu zinazo washinikiza wahumini kuua watu, kujilipua au kuchukia dini za watu wengine! Bush alishangaa alipo kuta KORAN inazungumzia mambo ya amani, kupendana na kusaidiana bila ubaguzi - mzee wa watu akuamini macho yake; alichanganyikiwa akawa anajiuliza: Sasa inakuwaje baadhi ya Waislaam wanafanya mambo ambayo yako tofauti kabisa na maagizo ya KORAN - in short KORAN inazungumzia mambo ya AMANI sio ugomvi mkuu.

Bukyanagandi, kufanya kosa sio kosa bali kurudia. Huyo mtoto alifanya kosa kukojolea kuran, lakini kitendo cha watu wazima (wazazi) kuchoma majengo ya kanisa kinadhalilisha (a)utashi wa wazazi katika jamii yetu (b)inaharibu kabisa uislam. Naamini uislam ni mzuri kabisa ila kuna watu wameiteka hii dini kwa sababu zao.

Hadi sasa sijaelewa ni utashi gani huo kwa watu wazima kutaka kumkamata mtoto wa miaka 14 ili wamuue kwa sababu amekojelea kitabu cha dini? Hivi kuna kufilisika kwa hekima zaidi ya hapo?

Lakini kubwa ambalo nadhani ndugu zangu waislam wanatakiwa wajiulize ni hili, watoto wao wanafundishwa nini kwenye madrass zao? Chanzo cha ugomvi huu tunaambiwa ni mtoto mmoja alimwambia mwenziwe kuwa akikojolea kuran atageuka mjusi. HuyO (mwenye kuran) alipata wapi hayo maneno? Nani alimwambia kuwa mtu akikojolea kuran anageuka mjusi? Na huyo mtu atakuwa amefundisha uwongo kiasi gani?

Hapa unaweza kuona kizazi kinavyokuzwa na mafundisho yaliyopinda. Na hawa ndio watoto tunaotegemea wawe taifa la kesho!
 
Back
Top Bottom