Kikwete: Pamoja na utoto wake, kijana alifanya kosa kubwa kukojolea msahafu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete: Pamoja na utoto wake, kijana alifanya kosa kubwa kukojolea msahafu!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mjenda Chilo, Oct 14, 2012.

 1. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Too soft, hamna hata karipio au order.

  Mh. Rais kaishia kuongelea ushauri aliowapa.

  Amewataka waislam kutochukua maamuzi haraka wanapokuwa wamekasirika.

  Amesema, pamoja na kuwa kijana ni mdogo lakini alifanya kosa kubwa kukojolea msaafu.

  Chanzo: Leo hotuba ya Nyerere day
   
 2. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Hueleweki.
   
 3. S

  SAGANKA JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 9, 2012
  Messages: 313
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mbona hajasema pamoja na ukubwa wao wamekosea kubomoa/kuchoma kanisa.
   
 4. I

  IKORI Member

  #4
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ungekuwa ni wewe ungeliongeleaje? amekosea kuwashauri waliofanya hivyo?
   
 5. C

  Concrete JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Ila Lulu alifanya kosa la kawaida sana!!!!
   
 6. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Funguka vizuri basi!
   
 7. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  amekemea nyumba ya mchungaji na nguruwe waliochomwa huko kusini?
   
 8. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Kama kweli JK hajakemea hiki kitenda atakuwa anaiharibu nchi yetu..inapofikia hatua ya watu kuvamia nyumba za ibada kama ishara ya kuonyesha hasira zao na Rais anakaa kmya ujue tunajitafutia laana kwa nchi.
   
 9. O

  Omulangi JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2012
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 1,026
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kosa kubwa ni la yule anayefahamu thamani ya Kuran aliyempa mtu akijua analokusudia kufanya ni kuikojolea. Je huyu kweli alikuwa anaithamini hiyo Kuran? Na je alikojolea wapi? Ilikuwa darasani, kichakani au chooni? Je inaruhusiwa kuipeleka Kuran chooni???
   
 10. J

  Juma. W Senior Member

  #10
  Oct 14, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Waliobomolewa makanisa hata hawamjui yule mtoto. Hiyo kesi ilimuhusu huyo dogo na familia yake iliyokosea kumlea. Haikumhusu Askofu Marasusa. Wale waliovunja makanisa ni wenye akili timamu zaidi ya yule mtoto kwa makusudi walishuka mno na kuamua kufikiri kwa kiwango cha chinii sana kama yule mtoto. Jaziba zikitawala akili hushindwa kufanyakazi yake ipasavyo.
   
 11. A

  August JF-Expert Member

  #11
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  huko madrassa, hawa vijana washauriwe kuvitunza hivyo vitabu na sio kufanyia biashara ya kuwaringishia wenzao au kuwatia majaribuni. kama ni kuwa adhibu hao vijana basi wote wawili kwa adhabu ile ile, ili iwe fundisho kwao.
   
 12. G

  Gulwa JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 2,784
  Likes Received: 1,963
  Trophy Points: 280
  Mwenye kosa kubwa ni yule alitoa "aya" zake zikojolewe na aliyumdanganya kuwa mtu anaweza kugeuka mjusi, mtoto alikuwa anafanya experiment
   
 13. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #13
  Oct 14, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Hotuba ya JK leo wakuu kwenye Nyerere day, ameongelea hii saga ya wazee wa vi dont touch. Ila sijamsikia akipiga mkwara amesema amewashauri waislam wasifanye maamuzi wakiwa na hasira ila kwa yule mtoto amesema alifanya kosa kubwa sana pamoja na utoto wake kukojolea kitabu kitakatifu.
   
 14. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Ivi aliekojolea ni mkristu?wa if angekuwa muislam?
   
 15. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #15
  Oct 14, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Sijaelewa hasira za waislam zimetokana na nini, ikiwa mazungumzo yanatolewa kwamba wale vijana/watoto walibishana bila shaka wote ni wakosaji.

  Ikiwa yule mtoto muislam ndiye aliyeanzisha uongo kwamba ukikojolea msahafu unageuka na akaruhusu kuiweka iliikojolewe basi naye anastahili adhabu, je ni adhabu gani amepewa?

  Sasa suala la hasira ni la nini, iwapo msahafu wenyewe una uwezo wa kumgeuza mkosaji awe mjusi kwanini wasingeacha huyo mtoto ageuke?

  Kama si kweli kwamba msahafu una uwezo wa kugeuza mtoto atakayeikojolea, basi uongo umedhihirika.
  Je hasira ya kiwango kikubwa hivyo imesababishwa na nini?
   
 16. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #16
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  i wish heavens got ghettos
   
 17. J

  Juma. W Senior Member

  #17
  Oct 14, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kuna mlinzi nje ya geti
   
 18. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #18
  Oct 14, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,266
  Likes Received: 1,197
  Trophy Points: 280
  jk hana jipya na cc wakristo tuamue kuchukua hatua....
   
 19. a

  artorius JF-Expert Member

  #19
  Oct 14, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 758
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  swali:ni kweli dini ya uislam ilienezwa kwa njia ya upanga ndo maana waumini wake wana jazba sana?
   
 20. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #20
  Oct 14, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  Kesho dhaifu anaenda zake sijui oman hapo anawaza safari tu.mi nipo mlimani na akina mtatiro na easter wassira ,nitarudi baadae
   
Loading...