Kikwete Niuzie mimi shamba lile | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete Niuzie mimi shamba lile

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Malila, Aug 9, 2011.

 1. M

  Malila JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Nilipita ktk bank moja mjini Dar na nimemwona graduate wa SUA akitoa huduma kinyume na masomo yake ya kilimo. Mheshimiwa Rais naomba kwa huruma yako uniuzie mimi lile shamba la mifugo la Kitulo Makete ili niweze kuutumia ujuzi wangu wa mifugo pale. Ukinipa shamba lile, naamini mimi na vijana wenzangu tutafanya yafuatayo. Moja, ni lazima tutajenga kiwanda cha kusindika maziwa pale, vijana wa SUA watapata ajira palem vijana wa food science watapata cha kufanya pale kiwandani kwetu. Shamba lile lina umeme wa grid na ng`ombe wachache wapo.

  Mheshimiwa Rais, ukitupa sisi vijana wako dhamana hii hatutakuangusha, najua mimi na wenzangu hatuwezi kupambana ktk njia za kisheria ili kulipata shamba hili kwa sababu ya kitu kidogo, lakini sisi ndio watalaamu wako, je unataka twende Botswana, hapana. Nimeona nikuombe badala ya kukaa kijiweni na kulalamika kana kwamba nimeomba nikanyimwa.Naamini kwa huruma yako utatusikiliza.
   
 2. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #2
  Aug 9, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  mkuu pole sana hii ndo TANZANIA, NYINGINE PHOTOCOPY. HILI SHAMBA LITAKUWA SI LA PRINCE KWELI?
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu Malila ..... nenda kapige kazi .... mimi nimekuruhusu
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Duh! Mi naomba anipe ofisi ikulu.
   
 5. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  ha ha ha ha ha ha ha
   
 6. F

  FUSO JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,806
  Likes Received: 2,291
  Trophy Points: 280
  Malila hii ndiyo Tanzania, wakati nchi nyingi zinafanya mageuzi ya kilimo sisi Tanzania wataalamu wetu hasa wa Certificate na Diploma za kilimo wameajiriwa kama makalani, Cashiers etc...

  Inatia uchungu sana kumkuta graduate wa kilimo anafanya eti sales katika benki. JK hawezi kutupatia lile shamba, cha msingi ni sisi wenyewe kupiga front.
   
 7. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  nAKUHESHIMU SANA MKUU MALILA LAKINI KWA HUYU JAMAA ATAKUAMBIA HUNA MTAJI NA TUTAWAPA WAZUNGU NA VIFAA WANAVYO HALAFU BAADAYE WANABADILISHA MATUMIZI KAMA WALIVYOFANYA KAPUNGA EETI WANAJALIBISHA KULIMA SHAYILI (NGANO)!
   
 8. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,594
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  ila mkuu SUA kuna kozi nyingi zingine zinahusisha biashara inaitwa agro-business zimetoa watu wengi sana kwenye ma bank hapa nchini kama loans officers nenda NMB ukaone walivyo wengi
   
 9. M

  Malila JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Hapana, prince hajachukua bado.
   
 10. M

  Malila JF-Expert Member

  #10
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Mkuu,Henge salama?
  Ni wakati wa wasomi waliobobea ktk kilimo kuandamana ili tulipate shamba hili na kuliendesha. Hivi vijana wa SUA waliobobea ktk taaluma ya mifugo tukijikusanya na kuandamana kwa amani kuiomba serikali itupe shamba lile itatupiga na maji ya upupu kweli?
   
 11. M

  Malila JF-Expert Member

  #11
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Tayari nimeshapata eka mia moja kando ya shamba lenyewe,jirani yangu kesha weka boran watano.
   
 12. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #12
  Aug 10, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  riz1 kakuwahi....pole..
   
 13. M

  Malila JF-Expert Member

  #13
  Aug 11, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Usinikatishe tamaa,nimefuatilia sana,bado liko serikalini.
   
 14. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #14
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Najua watu wa Intelejensia kila kukicha wapo humu JF.na WaPAMBE wa Mh.Raisi Dokta Jakaya kiKwete kila siku wanapitia JF,please chonde chonde wakilisha kilio cha Malila kwa Dokta JK, ili Vijana wa SUA wapate sehemu ya kazi ya ukweli na siyo kuwa makarani na afisa mikopo benki.
  USA na Nchi za uchumi Juu ,huwa wanazingatia sana swala la food Security.hivyo basi nasi tuliomkiani mwa uchumi wa Africa litakuwa jambo la busara kwa wazee wa Intelegensia kuangialia kituo hiki kwa mtazamo wa kisecurity security zaidi.na kuweza kujenga hoja kwa mkulu kuwa kuna umuhimu wa kuendeleza vituo vyetu vya Kilimo.
  Malila Ondoa Shaka swala lako litakuwa limeshaanza kufanyiwa kazi.i hope isije kuwa Kauli Mbiu ya CCJ 2015 :)
   
 15. M

  Malila JF-Expert Member

  #15
  Sep 14, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Baada ya kufuatilia sana jinsi watu wanavyonunua mashirika ya umma,nikagundua bora nianzishe shamba langu mwenyewe la mifugo. Kwa sababu ardhi ya kuanzishia ipo na si ya kununua. Ng`ombe wa kuanzia wapo, watalaamu wapo. Angalia hoja hizi hapa chini;

  Posho ya hao jamaa ili wanisikilize inatosha kununua ndama kadhaa waliopandishwa,
  Posho yangu na nauli ya kufuatilia mambo haya wizarani inatosha kununua dawa za mifugo karibu mwaka mzima,

  Kwa hiyo bora nianze, naamini watalaam mtaniunga mkono ktk hili.
   
 16. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #16
  Sep 14, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Malila Mkuu nakukumbushia tu! Safari ya mabana ikiwa tayari usisahamu kunitumia email ili tuingie tuanze wote from scratch.
   
 17. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #17
  Sep 14, 2011
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,894
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  afu utasikia wakisema tumeweza tunasonga mbele kilimo kwanza...shamba lile likiwa linakufa!!
   
 18. M

  Malila JF-Expert Member

  #18
  Sep 14, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Mkuu usikonde, nitakujulisha tu,na sehemu nyingine murua kabisa ni Kiroka Morogoro.
   
 19. O

  Old Member (Retired) JF-Expert Member

  #19
  Nov 4, 2014
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 3,449
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 0
  Vipi mkuu alishakuuzia shamba Kikwete?
   
 20. M

  Malila JF-Expert Member

  #20
  Nov 6, 2014
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Aniuzie wapi,

  Baada ya kupiga kwata sana, ndio nimeweza kupata mwanga kijiji fulani, kijiji hicho kinaweza kunipa eneo safi la kufugia, niliamua kuanzisha Malila ranch yangu kwa kuanzia chini kabisa. Ila kupata vibali nchi hii inabidi uwe mvumilivu mkuu.
   
Loading...