Kikwete: Nimeshindwa Sekta ya Kilimo

Kikwete: Nimeshindwa Sekta ya Kilimo

we shouldnt equate bumper harvests with lack of hunger. several countries in the middle east that grow almost nothing are hunger free. many european countries import food to satisfy local demands.

when a farmer grows food, he needs to be compensated for the cost he incurred and get a small profit on top.

if a government has no money to buy surplus produce from farmers and redistribute it to those going hungry, then market forces take over and export becomes the only economically sensible option.

those who cant afford to buy food therefore remain hungry no matter how much food the country produces.
What exactly do you want to say? Can you express yourself in English! It seems you are thinking in Makonde and trying to translate into English. In a few sentences or just in one sentence say what you mean. Anyway! You have tried to say something😛opcorn:
 
na uprofesa alopewa kule China hauna maana yoyote sasa. kumbe kushindwa kwake kwenye kilimo ndiyo sababu hatumii jina Prof. Kikwete! :sad::sad:
 
hahaha!! FaizaFoxy kaona aibu kwa JK kukiri kushindwa. amekuwa akimsifia-sifia hovyo tu akasahau ya kwamba 'every man has a breaking point'. yani anampenda JK kuliko mume wake!
Mimi nasema nyie waropokaji msingekuwa mnaruhusiwa kuendelea kuchangia. Mambo ya mapenzi yanatoka wapi. Hivi huji kukiri kosa ni uungwana. Mzee JK ameonyesha uungwana kukiri kuwa kwenye kilimo hatujafanya vizuri sana. Au kwa sababu mmezoeamuongo hivyo mngependa Mhe. Rais aongope kuwa kwenye kilimo tuko juu wakati sio. Bravo! Mzee JK
 
Apokonye PHD aliyopewa kwa Wachina wakisema ameboost Kilimo kumbe mwenyewe kakiri ameshindwa. Ukiangalia mikoa mingi ya Kati njaa ni kubwa, kaskazini ndo kilia na baadhi kanda ya ziwa. Hii imepelekea iflation rate kupaa hasa mikoa tajwa kwenye vyakula vya aina zote. Kwa PHD yake alopewa na uhalisia wa kilimo vs kauli yake ya kushindwa, Anyang'anye PHD ya Wachina.
Uprofesseri
 
Wewe kikwete acha kutuaibisha kwa mizungu bwana, wao hawana ndizi,maembe,matunda kwao ni yale ya baridi. Ungeenda kuomba soko la mazao mfano hayo mbona wanatoa ndizi south America mfano Colombia,costa Rica ungeomba soko sio kujidharirisha kwa kupewa ki divai na chias. Wenzako wakija wanalengo narudia omba soko la mazao hasa matunda hawana kabisaaa.
 
Ndooroobo wee! Mhe. Rais ana titles nyingi si lazima atumie kila title vinginevyo jina lake tu lingekuwa para nzima katika habari. Kwa hiyo kwa sababu yeye ni Baba Hassani au Ridhiwan kwa hiyo ulitaka tuwe tunamuaddress kama Mhe. Baba Hassan, Jakaya Kikwete? Kwa hili la uprofesa si lazima alitumie. Pia yeye siye anayejiita nini ninyi mnaomuita Dr. Mhe. Prof. Sio yeye anayejiita ni sis au ninyi. Siku nyingine usikurupuke utadondoka na kung'oa meno.
kwa nature yake ni lazima apende sifa, kuitwa profesa sio jambo dogo ati! kubali tu kachemka, kama yeye alivyokubali. au la, endelea kulamba viatu!
 
What exactly do you want to say? Can you express yourself in English! It seems you are thinking in Makonde and trying to translate into English. In a few sentences or just in one sentence say what you mean. Anyway! You have tried to say something😛opcorn:
kaa pembeni, hapo hutaelewa kitu! kama umezoea mipasho ya gea na dina, hapo huwezi pata chochote!
 
kwa mujibu wa 'The FAO Hunger Map 2015'
United Republic of Tanzania
Proportion of undernourished in total population
2014-16: 32.1 %

Number of people undernourished (millions)

1990-92: 6.4 (millions)
2000-02: 13.0 (millions)
2005-07: 14.1 (millions)
2010-12: 16.1 (millions)
2014-16: 16.8 (millions)

Kenya
Proportion of undernourished in total population
2014-16: 21.2 %

Number of people undernourished (millions)

1990-92: 7.9 (millions)
2000-02: 10.4 (millions)
2005-07: 10.4 (millions)
2010-12: 10.0 (millions)
2014-16: 9.9 (millions)

FAO4.png

The Hunger Map, 2014

Ukilinganisha takwimu hizi za FAO, inaonekana 'proportion' ya watu wenye njaa Tanzania inaongezeka ukilinganisha na 2013 ambapo Kenya na Tanzania zilikuwa zinalingana (angalau) kwa 'proportions' za watu wenye njaa katika 'population'! Kenya wamekuwa wakinunua chakula kutoka Tanzania yenye njaa (ni kituko uh)

ed9ea3bfa2.jpg

The Hunger Map, 2013

Huna jipya ndugu yangu zaidi ya kukati na kupesti. Lete hoja yako. Lakini imeonyesha jinsi ulivyomzuri kwenye kudesa. Unadesa hadi jina!
 
raisi anahitaji kupongezwa kwa kuongea ukweli na sio kubeba propaganda ambazo wengi kwenye siasa huwa wanadhani propaganda ndio mtaji kumbe ni mtaji wa umasikini maana wakati mwingine zinaficha mapungufu na watu wanaendelea kukumbatia mapungufu ili propaganda zionekane ziko sahihi.

tunahitaji anayekuja na sera ya kilimo aseme atafanya nini na kufeli alikokusema kusitumiwe na matapeli wa siasa kama ngazi wakati hata wao hawana mipango.

tunahitaji kuona anayesema ana tiba ya kilimo atafanya nini
 
Wewe kikwete acha kutuaibisha kwa mizungu bwana, wao hawana ndizi,maembe,matunda kwao ni yale ya baridi. Ungeenda kuomba soko la mazao mfano hayo mbona wanatoa ndizi south America mfano Colombia,costa Rica ungeomba soko sio kujidharirisha kwa kupewa ki divai na chias. Wenzako wakija wanalengo narudia omba soko la mazao hasa matunda hawana kabisaaa.
Wee mrungwa hajatudhalilisha bali amesema ukweli si ajabu anakaribisha wawekezaji kwenye sekta ya kilimo. Tatizo ninyi mtu akisema ukweli mnasema katudhalilisha. Mlitaka aseme uongo! Asante Mhe. Kikwete kwa kusema ukweli kwa maana imenenwa You shall know the truth and the the truth wili set you free.
 
hakuna sekta aliyofanikiwa ameshindwa kuleta maisha bora akiwa rais hataweza akiwa hana uongozi ametulaghai .tumeghaili, ametufedhehesha ameshindwa secta zote ccm ,haina dhamira ya dhati kuondoa umaskini kwa kuwa inakumbatia wezi na wala rushwa mfumo na mikakati yao ni dhaifu .
 
Kwa kauli hii ya Rais ni wazj anaunga mkono ile kauli ya Lowassa kuwa serikali ilishindwa implementation ya kilimo kwanza...

These 2 are still Boys II Men na wanaungana mkono kiaina
 
sio umeshinda umefanya ulipofikia panatosha wengine wataendelea ulipofikia,cha msingi tulete rais mchapakazi bac ndo chaguo letu kwa maendeleo ya taifa letu.
 
Wee mrungwa hajatudhalilisha bali amesema ukweli si ajabu anakaribisha wawekezaji kwenye sekta ya kilimo. Tatizo ninyi mtu akisema ukweli mnasema katudhalilisha. Mlitaka aseme uongo! Asante Mhe. Kikwete kwa kusema ukweli kwa maana imenenwa You shall know the truth and the the truth wili set you free.

Suala ni soko na uwezeshwaji katika sekta ya kilimo.hivi wewe huwezi kuwekeza kwenye nchi yako mwenyewe hadi mwingine aje. Wawezeshe wazawa na omba soko,wawekezaji ni wazalendo. Wazungu hatuwataki wao wanunue vyetu, kwani wakija kulima kwetu kuondoka wataondoka na vitu vingine mfano kobe,tembo nk. Kobe China ni €70 ambapo ni laki 1 na 60. Lakini akija wewe kwa soko la home ni elf 1. Wapi na wapi,sisi hatutaki waje bali tunaakili kama wao na hata ukikaa nao darasani utawashinda sema hatujielewi na kuacha kuwezesha wananchi wazawa kimasoko.
 
Bajeti hewa inawamaliza,na halmashauri kurudisha 40%kwake mwenye kuteua,ndo maana tunasema Katiba mpya ingetusaidia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom