swissme
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 13,663
- 19,906
Go back to madrassa elimu duni.Kingereza ni shida sana kwa Watanzania wengi na unaweza kutafsiri hata kwa kupotosha na utaonekana wa maana.
Swissme
Go back to madrassa elimu duni.Kingereza ni shida sana kwa Watanzania wengi na unaweza kutafsiri hata kwa kupotosha na utaonekana wa maana.
tuuuuuDhamira alikuwa nayo. Ila kwa mfumo corrupt kama huu wa kwetu inakuwa ni shida kutimiza mahitaji ya wananchi. Rushwa inakwamisha maendeleo ya nchi nyingimza Afrika. Hiyo inatokea Angola, Malawi, Zambia, Uganda, South Africa nk
Ameshindwa kila sekta elimu, afya, maji safi, umeme wa uhakika, usafiri wa uhakika na salama, ufisadi, rushwa, uchumi, ajira, deni la Taifa, thamani ya shilingi, Matanuzi ndani ya Ikulu na Serikali kwa ujumla, kutetea maslahi ya Tanzania na Watanzani n.k. Hakustahili kuiongoza Tanzania huyu.
Mara zote JK ni muungwana.
Dhamira alikuwa nayo. Ila kwa mfumo corrupt kama huu wa kwetu inakuwa ni shida kutimiza mahitaji ya wananchi. Rushwa inakwamisha maendeleo ya nchi nyingimza Afrika. Hiyo inatokea Angola, Malawi, Zambia, Uganda, South Africa nk
Na hawa wanaoahidi sasahivi ni waungwana pia
Na watakuja kufanya uungwana baada ya kushindwa kwa miaka mingine kumi...watasema tumefeli
idoyo
Hizi Takwimu za FAO zina mashaka. Kenya wanaomba chakula kwetu na sisi tunazalisha chakula kingi kuliko mahitaji ya nchi.