Dhamira alikuwa nayo. Ila kwa mfumo corrupt kama huu wa kwetu inakuwa ni shida kutimiza mahitaji ya wananchi. Rushwa inakwamisha maendeleo ya nchi nyingimza Afrika. Hiyo inatokea Angola, Malawi, Zambia, Uganda, South Africa nk
we shouldnt equate bumper harvests with lack of hunger. several countries in the middle east that grow almost nothing are hunger free. many european countries import food to satisfy local demands.
when a farmer grows food, he needs to be compensated for the cost he incurred and get a small profit on top.
if a government has no money to buy surplus produce from farmers and redistribute it to those going hungry, then market forces take over and export becomes the only economically sensible option.
those who cant afford to buy food therefore remain hungry no matter how much food the country produces.
Sidhani kama upo sahihi kusema kuwa ameliangamiza taifa. Ila nadhani hajafikia malengo yake ipasavyo. Alifanya jitihada nyingi ila ilikuwa inaonekana ni kama yupo peke yake. Matrekta mengi yameletwa na watu wameshindwa kuyasimamia
haya sawa , sasa tuambiwe ni sekta gani aliyoweza .
hao ni nyoka wenye makengeza!!!
Nashangaa kwanini hawa CCM wachaache waliobakia hawajawasoma tu hawa wajamaa. Au kule kufikiri kwa kutumia matumbo?
Wao ninyoka wenye makengeza!!! waliwapiga kamba wabongo oooh!!maisha bora kwa kila MTZ haya nionyesheni wadau!!! thamani ya shilingi inapolomoka kila uchao...kweli makengeza mtatuua.
Na wewe umetokea wapi ndugu yangu ni kama umekurupushwa na takwimu zako ambazo sijui umezipata wapi. Tulia jenga uchumi wa nchi yako na usikurupuke na maneno ya vijiweni. Umesikia?At least amekubali mapungufu
Lakini haitakiwi kuishia hapo
Kuna mabilioni mengi sana yameibiwa kwa mgongo wa kukuza kilimo...mfano ile kampeni ya kilimo kwanza
Tunahitaji kupata mrejesho
Haiwezekani watu watumie madaraka vibaya alafu waachwe tu...They must be held accountable
Tutafsirie wewe mtaalamu .tuelewe vinginevyo tunawategemea wataalamu kama wewe .tumwagie mama hajat FaizaKingereza ni shida sana kwa Watanzania wengi na unaweza kutafsiri hata kwa kupotosha na utaonekana wa maana.
hahaha!! FaizaFoxy kaona aibu kwa JK kukiri kushindwa. amekuwa akimsifia-sifia hovyo tu akasahau ya kwamba 'every man has a breaking point'. yani anampenda JK kuliko mume wake!Tutafsirie wewe mtaalamu .tuelewe vinginevyo tunawategemea wataalamu kama wewe .tumwagie mama hajat Faiza