Mimi nasema nyie waropokaji msingekuwa mnaruhusiwa kuendelea kuchangia. Mambo ya mapenzi yanatoka wapi. Hivi huji kukiri kosa ni uungwana. Mzee JK ameonyesha uungwana kukiri kuwa kwenye kilimo hatujafanya vizuri sana. Au kwa sababu mmezoeamuongo hivyo mngependa Mhe. Rais aongope kuwa kwenye kilimo tuko juu wakati sio. Bravo! Mzee JK
wengi wanapenda kile kibabu kilichoenda ulaya kikatutukanisha kwa wazungu sijui kilikuwa kimekula nini kikasema afrika haina viogozi wenye nia kwa afrika, haina sera, haina mfumo wa uongozi bora, wala haina maendeleo sijui alitaka warudi kutuongoza? au kinajikomba kwa wazungu wakipe hela za kampeini?