Kikwete ndio Rais bora wa wakati wote toka mfumo wa vyama vingi uanzishwe

Demokrasia ilikua na kufurahisha. Ktk kipindi cha Kikwete uchaguzi ulikuwa na maana walau kwa wananchi. Wakati wa Kikwete tulishudia Chadema na CCM vikiingia ktk uchaguzi wa mbunge wa marudio kule Arumeru mashariki Rais Mstaafu B. Mkapa na vigogo kibao wa CCM wakiwemo mawaziri walipiga kambi kumnadi mgombea wa CCM. Lakini matokeo yaliyo tangazwa ni kuwa kijana Joshua Nasari wa CHADEMA aliibuka mshindi.

Kikwete aliona mapungufu mengi aliyo kumbana nayo yalitoka na mfumo mbovu wa Kikatiba. Akaanzisha mchakato wa Kupata katiba mpya na Jaji warioba akatuletea katiba pendekezwa ya wanachi.

Wenzake wakaogopa Katiba mpya na kuivuruga hapo huwezi mlaumu Kikwete alisha onesha njia.


Kwa hiyo wewe hukuona hayo ya ndani ya Uzi siyo?.
Sikiliza hiyo nchi haijawahi kuwa na demokrasia la sivyo Seif angekuwa Rais wa Zanzibar. Mtu anashinda zaidi ya asimilia 70 hapewi ushindi halafu unaniambia viti vichache vya ubunge. Halafu ukiwa Rais wa Tanzania hamna mtu anaweza kukuzia kufanya jambo lako.
 
Watanzania gani unao waeleza ndugu yangu? Ni wale waliotekwa kupotezwa na kuuawa au ninyi akina Sabaya na Makonda?
Kwani kipindi cha kikwete hakuna watanzania waliotekwa tuambie dk ulimboka hakutekwa,daudi Mwangosi aliuawa,dk Mvungi kuuawa umesahau, waandishi wa habari kumwagiwa tindikali,makanisa kuchomwa Zanzibar na ma padre kuuawa Zanzibar watu, police, viongozi wa CCM kuawa kibiti
 
mfuate kuzimu huyo shetani wako sisi hatujaona alichofanya zaidi ya kupasua nchi vipande vipande, mbaguzi, kuua raia bila hatia, kunyanyanyasa watanzania, kutesa watanzania wengine wanateseka mpaka leo kwa kutokua na ajira. Mwamba Kikwete alikuwa anaajiri kila mwaka, maisha yalikuwa mazuri. Alijenga barabara nyingi sana na madaraja. Tuambie huyo kima wako alijenga barabara ipi mpya zaidi ya kuwa msimamizi wa barabara za Kikwete. Mwenyenzi Mungu ampe maisha marefu baba Kikwete maana bado anahitajika hata kwa mawazo mazuri kusaidia watanzania.
Mtanzania yupi aliuawa na Magufuli tunaomba ushahidi mmezidi kutunga vikashfa vya kijinga mkiona jina la Magufuli watu waliuawa mara waliotekwa tuwekeeni ushahidi pasipo shaka na awamu zingine watu hawakuuawa,hawakutekwa?
 
Ndo kipindi ambacho tulishuhudia ufisadi wa Tegeta Escro, Richmond, Watumishi hewa, madawa ya kulevya, kutekwa kwa magari maporini, baa kufunguliwa saa moja asubuhi n.k

Kwenye upande wa siasa ni kipindi ambacho mtumbwi wa CCM ulitaka kuzama. Wamshukuru Magufuli kwa kutumia unable.
Mkuu mgao wa umeme siku mbili au tatu hakuna jamani Zanzibar walikatiwa umeme miezi mitatu mji mzima ni mwendo wa majenereta.
 
MUNGU, na huyohuyo MUNGU kamfyeka, katufundisha tusiwe kiburi
Hata wewe ipo siku Mungu atakufyeka endelea kufurahia vifo vya wengine utafikiri kifo hakikihusu endelea kuwa na kiburi cha uzima kwa hiyo hata watu waliokufa kama watoto wachanga, vijana na wazee walikuwa na kiburi gani?hadi vifo vikawafyeka?
 
Ndo kipindi ambacho tulishuhudia ufisadi wa Tegeta Escro, Richmond, Watumishi hewa, madawa ya kulevya, kutekwa kwa magari maporini, baa kufunguliwa saa moja asubuhi n.k

Kwenye upande wa siasa ni kipindi ambacho mtumbwi wa CCM ulitaka kuzama. Wamshukuru Magufuli kwa kutumia unable.
Hakika mkuu
 
Top 3 yangu ya muda wote
Mwinyi
Kikwete
Mama samia

Nyerere❌❌❌❌❌❌
Mkapa❌❌❌❌❌❌
Magufuli ❌❌❌❌❌❌

Kwanini iwe waislamu tu!! Wenye imani zao watakua washaelewa
top 3 yako imekaa kimlengo wa dini na kwa taarifa yako hao watu wako wote walikuwa ni wavurundaji namba moja wa nchi hii,kuongoza nchi walishindwa na hata sasa tunashuhudia wanavyoshindwa
 
Kwani kipindi cha kikwete hakuna watanzania waliotekwa tuambie dk ulimboka hakutekwa,daudi Mwangosi aliuawa,dk Mvungi kuuawa umesahau, waandishi wa habari kumwagiwa tindikali,makanisa kuchomwa Zanzibar na ma padre kuuawa Zanzibar watu, police, viongozi wa CCM kuawa kibiti
Na kigamboni kutaka kuuzwa Hadi wananchi wakaingiwa na hofu wakaanza kuuza viwanja bei rahisi.
 
Wale mashehe walikuwa wanahusika kuuliwa mapadri na kuchoma moto makanisa Zanzibar wametoka kipindi Cha mama yao.
 
Mtaimba nyimbo za Kila aina.



Ila Watanzania huwambii chochote Kuhusu MAGUFULI




Magufuli kafanya mambo yasosahaulika ,kaacha alama, hamnaa Rais ( Ukimtoa Nyerere) , hamnaaaaa, ALOFANYA mazuri kama JPM, na huenda, Asipatikane Tena Rais Bora kama JPM.
Rais mwizi na muuaji hatakiwi tena Tanzania,ashukuriwe Mungu wa mbinguni kutuonea huruma Watanzania kwa kutuondolea dhalimu nchini.
 
Huwa tunawaambia hapa, the two best presidents of our country ni:
• Mwl Julius Kambarage Nyerere (Baba wa Taifa)
• Mwl John Pombe Magufuli (Baba wa Uchumi)
1.Mzee Jlius Kambarage Nyerere(Baba wa Taifa)
2.Bwana William Benjamin Mkapa(Baba wa Demokrasia,Uchumi na Maendeleo)
 
Back
Top Bottom