Kikwete ndio Rais bora wa wakati wote toka mfumo wa vyama vingi uanzishwe

Kikwete kama binadamu wengine anayo mapungufu lakini ukipima mapungufu yake na kulinganisha na wengine unaona Kikwete alikuwa Rais bora na wa mfano kuliko wote. Hapa sijamuweka huyu aliyepo sasa kwa kuwa muda wa kumpima bado.

Labda tukumbushane tuu machache yanayo kumbukwa wakati wa kikwete.
Kwa upande wa miundo mbinu Kikwete alijenga barabara nyingi na madaraja kuunganisha nchi mkoa na mkoa na alikuwa anaelekea kuunganisha wilaya.

Kwa upande wa uchumi ulikuwa imara na ukikua kwa kasi. Biashara za uhakika ndani na nje ya nchi zilikuwa na uwekezaji wa mitaji ya kigeni ilishamili.

Wakati wa kikwete ndio tulio shuhudia kuanzishwa kwa shule za sekondari za kata na kuongezeka kwa vyuo vikuu vingi kama Udom, na vingine vingi. Udahiri wa wanafunzi uliongezekawengi secondary na vyuo vikuu.

Demokrasia ilikuwa na kufurahisha. Ktk kipindi cha Kikwete uchaguzi ulikuwa na maana walau kwa wananchi. Wakati wa Kikwete tulishudia Chadema na CCM vikiingia ktk uchaguzi wa mbunge wa marudio kule Arumeru mashariki Rais Mstaafu B. Mkapa na vigogo kibao wa CCM wakiwemo mawaziri walipiga kambi kumnadi mgombea wa CCM. Lakini matokeo yaliyo tangazwa ni kuwa kijana Joshua Nasari wa CHADEMA aliibuka mshindi.

Kikwete aliona mapungufu mengi aliyo kumbana nayo yalitoka na mfumo mbovu wa Kikatiba. Akaanzisha mchakato wa Kupata katiba mpya na Jaji warioba akatuletea katiba pendekezwa ya wanachi.

Wenzake wakaogopa Katiba mpya na kuivuruga hapo huwezi mlaumu Kikwete alisha onesha njia.

Maendeleo hayana chamaa.
Marais bora nchi hii ni NYERERE na MKAPA.

Hao ndio MARAI ambao ni SUPER na walikuwa na dhamira ya kweli.

Wlileta mabadiliko ya kimfumo kwa KUJENGA TAASISI kupitia kugusa SKELETON za NCHI.

Taasisi zote nchi hii, zimeanzshwa na MKAPA, TRA, TBS, OSHA, TFDA NK.

Kiwete na Samia, ni waoga mnoo.

Mbinu pekee wanayotumia kuendesha nchi ni "KULA" na kila mpiga kelele ILI akae kimya.
 
Kikwete kama binadamu wengine anayo mapungufu lakini ukipima mapungufu yake na kulinganisha na wengine unaona Kikwete alikuwa Rais bora na wa mfano kuliko wote. Hapa sijamuweka huyu aliyepo sasa kwa kuwa muda wa kumpima bado.

Labda tukumbushane tuu machache yanayo kumbukwa wakati wa kikwete.
Kwa upande wa miundo mbinu Kikwete alijenga barabara nyingi na madaraja kuunganisha nchi mkoa na mkoa na alikuwa anaelekea kuunganisha wilaya.

Kwa upande wa uchumi ulikuwa imara na ukikua kwa kasi. Biashara za uhakika ndani na nje ya nchi zilikuwa na uwekezaji wa mitaji ya kigeni ilishamili.

Wakati wa kikwete ndio tulio shuhudia kuanzishwa kwa shule za sekondari za kata na kuongezeka kwa vyuo vikuu vingi kama Udom, na vingine vingi. Udahiri wa wanafunzi uliongezekawengi secondary na vyuo vikuu.

Demokrasia ilikuwa na kufurahisha. Ktk kipindi cha Kikwete uchaguzi ulikuwa na maana walau kwa wananchi. Wakati wa Kikwete tulishudia Chadema na CCM vikiingia ktk uchaguzi wa mbunge wa marudio kule Arumeru mashariki Rais Mstaafu B. Mkapa na vigogo kibao wa CCM wakiwemo mawaziri walipiga kambi kumnadi mgombea wa CCM. Lakini matokeo yaliyo tangazwa ni kuwa kijana Joshua Nasari wa CHADEMA aliibuka mshindi.

Kikwete aliona mapungufu mengi aliyo kumbana nayo yalitoka na mfumo mbovu wa Kikatiba. Akaanzisha mchakato wa Kupata katiba mpya na Jaji warioba akatuletea katiba pendekezwa ya wanachi.

Wenzake wakaogopa Katiba mpya na kuivuruga hapo huwezi mlaumu Kikwete alisha onesha njia.

Maendeleo hayana chamaa.
Kikwete katika miaka kumi ya utawala wake he almost ground this country to a halt economically! Aliwafuga marafiki zake wahindi na wamamga mafisadi ambao waliibia nchi mpaka ikanuka na
kufilisika!!
Ni enzi ya Kikwete biashara ya madawa ya kulevya iliposhamili .Wakati wa Kikwete ccm ilikuwa inachukiwa kiasi kwamba wanachama wake walikuwa wanazomewa mitaani wakivaa nguo zao za kijana. Iliwabidi kwenda kumtoa Mzee Mangulla kijijini kuja kukiokoa chama kilichokuwa kinakufa.
Ilikuwa ni enzi ya Kikwete Polisi walikuwa wanaua watu hovyo, mfano Polisi walivyompiga risasi na kumua mwandishi wa habari Mwangosi kule Iringa.
Huyu ni Rais peke yake aliyetumia muda mwingi kusafiri kwenda kubembea nchi za nje kuliko Marais wote waliomtangulia; alifanya safari kwenda kuwaona "Boys to Men"!!
He was not a serious president he was just a " playboy "
Kwa misingi hiyo huwezi kumsifia kuwa alikuwa bora kuliko waliomtangulia; worst of all he sabotaged the process of getting the wananchi constitution. He should have been accused of Treason for the constitution sabotage.
mazuri ni yapi?
 
Alikuwa Rais dhaifu kuwai tokea tangu tanganyika kupata uhuru,by Myika voice Chadema cop,Maalimu Sefu Amadi aliwahi sema wakati wa utawala wake kuwa hatutaki Rais wa kuchekacheka kila mala kama mwanamke, Kikwete ndio mwasisi wa ufisadi unaotafuta taifa Sasahivi,kwa kuanzisha makundi ya kununua urais.
 
Top 3 yangu ya muda wote
Mwinyi
Kikwete
Mama samia

Nyerere❌❌❌❌❌❌
Mkapa❌❌❌❌❌❌
Magufuli ❌❌❌❌❌❌

Kwanini iwe waislamu tu!! Wenye imani zao watakua washaelewa
 
Raisi alieitisha mkutano wa wazee wa Dar na waandishi wa habari kuwaambia pesa za Escrow sio za Tanesco agaist audit recommendation za CAG na maazimio ya Bunge...alikua teyari ku side na marafiki zake wachache against maslahi makubwa ya uma wa watanzania zaidi ya 55m by then.
EPA, Meremeta, IPTL, Richmomd, Mwagosi, Kubenea, Mvungi, Katiba are one of his worse side of Legacy.
 
mfuate kuzimu huyo shetani wako sisi hatujaona alichofanya zaidi ya kupasua nchi vipande vipande, mbaguzi, kuua raia bila hatia, kunyanyanyasa watanzania, kutesa watanzania wengine wanateseka mpaka leo kwa kutokua na ajira. Mwamba Kikwete alikuwa anaajiri kila mwaka, maisha yalikuwa mazuri. Alijenga barabara nyingi sana na madaraja. Tuambie huyo kima wako alijenga barabara ipi mpya zaidi ya kuwa msimamizi wa barabara za Kikwete. Mwenyenzi Mungu ampe maisha marefu baba Kikwete maana bado anahitajika hata kwa mawazo mazuri kusaidia watanzania.
Waliokosa ajira wamesomea nini na soko la ajira ipo kwenye nini. Ukosefu wa ajira ni matokeo ya shule nyingi na vyuo vya kikwete
 
Code:
Unasahau 2015 nusuru CCM iondoke madarakani kwa uongozi wake. JK alishindwa kuendesha Nchi na CCM.
Mada inahusu Ubaba wa Demokrasia kwa JK,wewe ulipoleta hicho hapo juu,ulihusianisha nini na nini ukizingatia mada ya uzi?.

"Kikwete ndio Rais bora wa wakati wote toka mfumo wa vyama vingi uanzishwe". Rais bora ???​

Kikwete katika miaka kumi ya utawala wake he almost ground this country to a halt economically! Aliwafuga marafiki zake wahindi na wamamga mafisadi ambao waliibia nchi mpaka ikanuka na
kufilisika!!
Ni enzi ya Kikwete biashara ya madawa ya kulevya iliposhamili .Wakati wa Kikwete ccm ilikuwa inachukiwa kiasi kwamba wanachama wake walikuwa wanazomewa mitaani wakivaa nguo zao za kijana. Iliwabidi kwenda kumtoa Mzee Mangulla kijijini kuja kukiokoa chama kilichokuwa kinakufa.
Ilikuwa ni enzi ya Kikwete Polisi walikuwa wanaua watu hovyo, mfano Polisi walivyompiga risasi na kumua mwandishi wa habari Mwangosi kule Iringa.
Huyu ni Rais peke yake aliyetumia muda mwingi kusafiri kwenda kubembea nchi za nje kuliko Marais wote waliomtangulia; alifanya safari kwenda kuwaona "Boys to Men"!!
He was not a serious president he was just a " playboy "
Kwa misingi hiyo huwezi kumsifia kuwa alikuwa bora kuliko waliomtangulia; worst of all he sabotaged the process of getting the wananchi constitution. He should have been accused of Treason for the constitution sabotage.
Yaani hiki kiswali nacho ni kigumu ama!?.
 
Alikuwa Rais dhaifu kuwai tokea tangu tanganyika kupata uhuru,by Myika voice Chadema cop,Maalimu Sefu Amadi aliwahi sema wakati wa utawala wake kuwa hatutaki Rais wa kuchekacheka kila mala kama mwanamke, Kikwete ndio mwasisi wa ufisadi unaotafuta taifa Sasahivi,kwa kuanzisha makundi ya kununua urais.
Hivi lile Kasri halilogoma kwenda kulifungua Madiba South Africa,lilikuwa la Kikwete kumbe!?
 
Back
Top Bottom