Kikwete ndio Rais bora wa wakati wote toka mfumo wa vyama vingi uanzishwe

Kikwete kama binadamu wengine anayo mapungufu lakini ukipima mapungufu yake na kulinganisha na wengine unaona Kikwete alikuwa Rais bora na wa mfano kuliko wote. Hapa sijamuweka huyu aliyepo sasa kwa kuwa muda wa kumpima bado.

Labda tukumbushane tuu machache yanayo kumbukwa wakati wa kikwete.
Kwa upande wa miundo mbinu Kikwete alijenga barabara nyingi na madaraja kuunganisha nchi mkoa na mkoa na alikuwa anaelekea kuunganisha wilaya.

Kwa upande wa uchumi ulikuwa imara na ukikua kwa kasi. Biashara za uhakika ndani na nje ya nchi zilikuwa na uwekezaji wa mitaji ya kigeni ilishamili.

Wakati wa kikwete ndio tulio shuhudia kuanzishwa kwa shule za sekondari za kata na kuongezeka kwa vyuo vikuu vingi kama Udom, na vingine vingi. Udahiri wa wanafunzi uliongezekawengi secondary na vyuo vikuu.

Demokrasia ilikuwa na kufurahisha. Ktk kipindi cha Kikwete uchaguzi ulikuwa na maana walau kwa wananchi. Wakati wa Kikwete tulishudia Chadema na CCM vikiingia ktk uchaguzi wa mbunge wa marudio kule Arumeru mashariki Rais Mstaafu B. Mkapa na vigogo kibao wa CCM wakiwemo mawaziri walipiga kambi kumnadi mgombea wa CCM. Lakini matokeo yaliyo tangazwa ni kuwa kijana Joshua Nasari wa CHADEMA aliibuka mshindi.

Kikwete aliona mapungufu mengi aliyo kumbana nayo yalitoka na mfumo mbovu wa Kikatiba. Akaanzisha mchakato wa Kupata katiba mpya na Jaji warioba akatuletea katiba pendekezwa ya wanachi.

Wenzake wakaogopa Katiba mpya na kuivuruga hapo huwezi mlaumu Kikwete alisha onesha njia.

Maendeleo hayana chamaa.
Mzee Kikwete alikua na utu sana unlike yule bwana jiwe
 
top 3 yako imekaa kimlengo wa dini na kwa taarifa yako hao watu wako wote walikuwa ni wavurundaji namba moja wa nchi hii,kuongoza nchi walishindwa na hata sasa tunashuhudia wanavyoshindwa
Sisi matajiri wa nchi tunawakubali Rais wa 2,Mwinyi,Kikwete na huyu wa sasa.Wengine wote waliongozwa na roho za wivu na uchoyo wa kimaskini.
 
MBONA SIYAONI WINGI WAKE?N HATA MACHACHE ALIYOJARIBU KAYAACHA YAKIWA KATIKA HATUA IKIZIDI SANA NI 30% KAMA HAKUNA KAMA YEYE..! WANAOMALIZIA 70% TUWAPE SIFA YA KIWANGO GANI?.
 
Kikwete kama binadamu wengine anayo mapungufu lakini ukipima mapungufu yake na kulinganisha na wengine unaona Kikwete alikuwa Rais bora na wa mfano kuliko wote. Hapa sijamuweka huyu aliyepo sasa kwa kuwa muda wa kumpima bado.

Labda tukumbushane tuu machache yanayo kumbukwa wakati wa kikwete.
Kwa upande wa miundo mbinu Kikwete alijenga barabara nyingi na madaraja kuunganisha nchi mkoa na mkoa na alikuwa anaelekea kuunganisha wilaya.

Kwa upande wa uchumi ulikuwa imara na ukikua kwa kasi. Biashara za uhakika ndani na nje ya nchi zilikuwa na uwekezaji wa mitaji ya kigeni ilishamili.

Wakati wa kikwete ndio tulio shuhudia kuanzishwa kwa shule za sekondari za kata na kuongezeka kwa vyuo vikuu vingi kama Udom, na vingine vingi. Udahiri wa wanafunzi uliongezekawengi secondary na vyuo vikuu.

Demokrasia ilikuwa na kufurahisha. Ktk kipindi cha Kikwete uchaguzi ulikuwa na maana walau kwa wananchi. Wakati wa Kikwete tulishudia Chadema na CCM vikiingia ktk uchaguzi wa mbunge wa marudio kule Arumeru mashariki Rais Mstaafu B. Mkapa na vigogo kibao wa CCM wakiwemo mawaziri walipiga kambi kumnadi mgombea wa CCM. Lakini matokeo yaliyo tangazwa ni kuwa kijana Joshua Nasari wa CHADEMA aliibuka mshindi.

Kikwete aliona mapungufu mengi aliyo kumbana nayo yalitoka na mfumo mbovu wa Kikatiba. Akaanzisha mchakato wa Kupata katiba mpya na Jaji warioba akatuletea katiba pendekezwa ya wanachi.

Wenzake wakaogopa Katiba mpya na kuivuruga hapo huwezi mlaumu Kikwete alisha onesha njia.

Maendeleo hayana chamaa.
Nakuunga mkono kwa asilimia zote
 
Back
Top Bottom