Kikwete: Nataka kurithiwa na rais kijana!

Kikwete: Nataka kurithiwa na rais kijana!

watu kama wewe sina muda wa kupoteza kuwaelimisha, maana jina kivuli, ona unavyoropoka.
Siwezi kuongea na mtu asiye na uwezo wa kujenga hoja, badala yake unakurupuka na kutaja midodono iliyojaa hilani mwako.
uliteuliwa na nani kufanya kazi hii? tafadhali tuheshimiane siko kama unavyotaka niwe.
wanijua kwa jina hata sura, ila mimi sikjui hata kwa ghundeya ujitambulishayo kwayo.
Stay away from my mouth...please.
Mimi pandikizi sio, endelea bt i promis.. i wl knw you, na hapo ndipo nitajibu kwa vitendo...i promis..
Wewe manachama halali endelea kufanya kazi yako, kila la kheri.

we ni pandikizi tu unajulikana.siwezi kununuliwa kama wewe political prostitute
 
Kobello, mfumo wa uchaguzi unachukuliwa na chama husika; siyo vyama vyote vina mfumo wa primaries. Binafsi nilishakosoa hili siyo kwa Chadema tu bali kwa vyama vyote vya upinzani nchini na hata CCM yenyewe kwa sababu vimecopy na kupaste mfumo wa CCM. As a matter of fact, I have already argued that unless Chadema change how it gets its presidential candidate uchaguzi wa 2015 utakuwa ni vuguru match. Hata kuwa na primaries zinaweza kuwa na kugawa sana watu kuliko unavyofikiria hivyo ni lazima kubuni mtindo mzuri zaidi. Fikiria tu vimakundi vidogo vya 2005 ndani ya CCM vilivyodumu hadi leo; fikiria migogoro kidogo tu ya Chadema ilivyotengeneza makundi hadi leo - itakuwaje kwenye kugombea Urais? Tukifuata hata mtindo huo utaona kuwa bado kutakuwa na matatizo mbeleni kwa yule ambaye kundi lake litashindwa usidhani ata "step out" kirahisi hivyo, itakuwa ni mwendelezo wa vinyongo n.k Kwani unafikiri uchaguzi wa mwaka jana haukuwa na makundi? Kama Chadema wangekuwa wote wanataka kweli kushinda na kufanya vizuri zaidi I'm telling you hakuukwa na wakati muafaka kama mwaka jana 2010. Ilikuwa ni golden chance. Sidhani kama 2015 itakuwa na nafasi kama hiyo - japo wapo wanaoamini kuwa Chadema yaweza kufanya vizuri zaidi. Idoubt it. CCM wameanza reform yao mapema zaidi kuliko nilivyotarajia wakati ndani ya Chadema reform yenyewe hata haizungumziki - at least siyo sasa hivi wanasubiri labda mwakani au 2013! Wazee kupiga mbonji na vijana kupiga zogo hakutatui tatizo. Jamani, tumekuwa na vijana wengi tu Bungeni, wengine mnaowaona ni wazee waliingia Bungeni wakiwa vijana wakituahidi mabadiliko mengi tu! Rais hajachallenge uongozi - kauli iliyotolewa ni kauli ya kipuuzi - I really mean it kwa sababu jinsi ilivyo inaonesha kutokuwa na uwezo wa kupima vitu vya kusema. Swali kubwa ni jinsi gani ya kutengeneza mfumo mzuri wa kidemokrasia ambao utakuwa na utaratibu wa kupunguza malalamiko. Sasa hivi, we have enough ingredients vya kuleta mgongano baadaye, tumeona kwenye suala la BAVICHA na Wanawake, na tumeona kwenye UVCCM na hata kwenye UWT. Siamini katika siasa za "Ujana Vs. Uzee".. naamini katika uwezo na vs. kutokuwa na uwezo. That is the only kitu ambacho yatupasa kuangalia. Haya ya kushabikia vijana kama ni panacea ya uongozi wetu tutauziana madudu bure. Kama wapo vijana wanaamini wanafaa kuja kushika uongozi wa taifa letu, waache wajipambanue kwa kuonesha uwezo wao kuongoza. Hili ni jambo gumu sana kutaka? I really don't care kama mtu ana miaka 23 au 30 au 50! I don't kwa sababu kama inavyosema "age is noghing but a number!". Tunataka viongozi wenye uwezo - awe 18, 40 au 90.
Mwanakijiji cdm ilipotoka mpaka hapa ilikuwa vyema kabisa kwa mazingira na siasa za tz.haijakosea kwa kiwango kikubwa.hata mwl Nyerere alifuta vyama vingi si sababu ya udikteta wake! Naamini unajua hilo mkuu.muhimu ni hili cdm kama chama kikuu cha upinzani sasa tuko hapa then tunaendaje mbele zaidi ya hapa? Nafikiri sasa ndio kipindi uongozi uonyeshe ukomavu kuliko wakati wowote.kuhusu 2015 cdm wanayo nafasi kubwa mno ila tu wasicheze ngoma ya ccm kamwe!
 
Kobello, mfumo wa uchaguzi unachukuliwa na chama husika; siyo vyama vyote vina mfumo wa primaries. Binafsi nilishakosoa hili siyo kwa Chadema tu bali kwa vyama vyote vya upinzani nchini na hata CCM yenyewe kwa sababu vimecopy na kupaste mfumo wa CCM. As a matter of fact, I have already argued that unless Chadema change how it gets its presidential candidate uchaguzi wa 2015 utakuwa ni vuguru match. Hata kuwa na primaries zinaweza kuwa na kugawa sana watu kuliko unavyofikiria hivyo ni lazima kubuni mtindo mzuri zaidi. Fikiria tu vimakundi vidogo vya 2005 ndani ya CCM vilivyodumu hadi leo; fikiria migogoro kidogo tu ya Chadema ilivyotengeneza makundi hadi leo - itakuwaje kwenye kugombea Urais? Tukifuata hata mtindo huo utaona kuwa bado kutakuwa na matatizo mbeleni kwa yule ambaye kundi lake litashindwa usidhani ata "step out" kirahisi hivyo, itakuwa ni mwendelezo wa vinyongo n.k

Kwani unafikiri uchaguzi wa mwaka jana haukuwa na makundi? Kama Chadema wangekuwa wote wanataka kweli kushinda na kufanya vizuri zaidi I'm telling you hakuukwa na wakati muafaka kama mwaka jana 2010. Ilikuwa ni golden chance. Sidhani kama 2015 itakuwa na nafasi kama hiyo - japo wapo wanaoamini kuwa Chadema yaweza kufanya vizuri zaidi. Idoubt it. CCM wameanza reform yao mapema zaidi kuliko nilivyotarajia wakati ndani ya Chadema reform yenyewe hata haizungumziki - at least siyo sasa hivi wanasubiri labda mwakani au 2013! Wazee kupiga mbonji na vijana kupiga zogo hakutatui tatizo. Jamani, tumekuwa na vijana wengi tu Bungeni, wengine mnaowaona ni wazee waliingia Bungeni wakiwa vijana wakituahidi mabadiliko mengi tu!

Rais hajachallenge uongozi - kauli iliyotolewa ni kauli ya kipuuzi - I really mean it kwa sababu jinsi ilivyo inaonesha kutokuwa na uwezo wa kupima vitu vya kusema. Swali kubwa ni jinsi gani ya kutengeneza mfumo mzuri wa kidemokrasia ambao utakuwa na utaratibu wa kupunguza malalamiko. Sasa hivi, we have enough ingredients vya kuleta mgongano baadaye, tumeona kwenye suala la BAVICHA na Wanawake, na tumeona kwenye UVCCM na hata kwenye UWT.

Siamini katika siasa za "Ujana Vs. Uzee".. naamini katika uwezo na vs. kutokuwa na uwezo. That is the only kitu ambacho yatupasa kuangalia. Haya ya kushabikia vijana kama ni panacea ya uongozi wetu tutauziana madudu bure. Kama wapo vijana wanaamini wanafaa kuja kushika uongozi wa taifa letu, waache wajipambanue kwa kuonesha uwezo wao kuongoza. Hili ni jambo gumu sana kutaka? I really don't care kama mtu ana miaka 23 au 30 au 50! I don't kwa sababu kama inavyosema "age is noghing but a number!". Tunataka viongozi wenye uwezo - awe 18, 40 au 90.

Mwanakijiji,

Simple! the problem is how to get the process transparent enough so that it's the peoples' choice that will then be reflected in the final results, which, unfortunately we've been unable to do, so far
 
Believe me.. it is not as simple as it sounds. Ni rahisi kuviona vitu rahisi intellectually lakini siyo rahisi hivyo inapokuja kwenye kutekeleza. Kuna mambo ambayo naamini yanaweza kufanyika lakini yatahitaji kuwa tayari kuachilia mambo mbalimbali. Binafsi ningependa Chadema ifanye mabadiliko mapema zaidi lakini sidhani kama wako tayari kwa sababu yatawagharimu, lakini baadhi ya matatizo yaliyopo sasa yangeweza kuwa yamemalizwa kabisa kabla ya mwaka huu na kutoka hapo ni kuelekea ushindi, lakini the status quo is temptingly palatable.

I'm really worried, kiasi kwamba nashawishika sana kuchukua njia ya CCJ safari hii mapema zaidi kama tumaini limepotea na si tumaini tena.
 
Democracy my brother!....2010 CDM ilimteua dr S laa,a very good candidate but how?Kuwepo kwa amani hakumaanishi kuwepo kwa haki,tutazoea tu.Kutofautiana na kufanana kimawazo ni jambo la kawaida as long as the core issues ambazo chama chochote kinasimamia zisichakachuliwe.Mimi binafsi naona new generation ihamasishwe isiwe discouraged,sorry mawazo hayo yametolewa na JK but he's not the only one thinking like that!..let's admit it.
 
Angekuwa ana Dhamira ya dhati angetutolea lile Lizee(Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi)pamoja na Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi(Kiravu) nakuweka vijana.Hii Mijitu ndo imekuwa ikituharibia Uchaguzi coz inajua haina chakupoteza hata ikiiingiza Nchi kwenye machufuko hawana ambitions zozote washarudisha hela hawa(umri).Otherwise I'll call it Hypocricy as Usual.
 
Mimi binafsi naona new generation ihamasishwe isiwe discouraged,sorry mawazo hayo yametolewa na JK but he's not the only one thinking like that!..let's admit it.

I know.. but it is for this reason we oppose him and all others who are engaging in ageism! We will not discriminate people simply because of their age. No we won't. Viongozi watakaomeet minimum constitutional requirement plus Uwezo. Thats it. Nothing less, nothing more.
 
Thats kool,but I know that you know this is not only about age.Ceteris peribus,youth will prevail.
Kama wagombea wote watakuwa na uwezo na kumeet hizo requirements,I'll definately go for a young,energetic leader than an old tired leader with the same quality.....but this convo is about not wanting ZITTO to entertain the thought that a young leader is needed,we did it in 1961,why not now?
Kwani akiwa na tamaa ya uongozi kuna makosa gani?...he's a politician,so? Ain't nobody discriminating against old people brah!
 
Labda uni convince kidogo, young leaders wataleta kitu gani kipya ambacho 'the then young leaders' hawakukileta au walikileta wakati wao.
 
Unafikiri Tanzania inahitaji upinzani zaidi ili iendelee?
Suala sio kuhitaji upinzani,bali kuvumilia na kushirikiana na jumuiya au watu wenye mawazo mbadala badala ya kuwakandamiza na kuwakejeli...we angalia mfano hapa jamvini,wengi wetu hatuna simile na kauli pinzani.Huu ni mtindo wa kizamani mno.
 
Believe me.. it is not as simple as it sounds. Ni rahisi kuviona vitu rahisi intellectually lakini siyo rahisi hivyo inapokuja kwenye kutekeleza. Kuna mambo ambayo naamini yanaweza kufanyika lakini yatahitaji kuwa tayari kuachilia mambo mbalimbali. Binafsi ningependa Chadema ifanye mabadiliko mapema zaidi lakini sidhani kama wako tayari kwa sababu yatawagharimu, lakini baadhi ya matatizo yaliyopo sasa yangeweza kuwa yamemalizwa kabisa kabla ya mwaka huu na kutoka hapo ni kuelekea ushindi, lakini the status quo is temptingly palatable.
I'm really worried, kiasi kwamba nashawishika sana kuchukua njia ya CCJ safari hii mapema zaidi kama tumaini limepotea na si tumaini tena.
Kwa mtazamo wa haraka haraka inaonekana Chadema inaimarika, lakini kwa kuangalia nguzo zake utagundua baadhi zinahitaji marekebisho makubwa. Mimi nadhani chama kinachojiandaa kuchukua dola lazima pia kiwe tayari kufanya mageuzi yatakayokidhi haja iliyo mbeleni.
Ingawaje wengi hawapendi kusikia lakini ukweli ubaki kuwa ukweli. Matukio mengi tu yanaonyesha kuwa ile structure ya chama ina matatizo. Kwa sasa hayaonekani lakini muda ukifika yataonekana.

Maandalizi ya kweli yaanze na mfumo wa chama hasa safu ya uongozi. Chama kijengwe kwa misingi, taratibu na nidhamu. Chama kijenge personalities lakini personalities zi siwe chama. Kwa sasa ni wazi chama kina personalities muhimu sana tatizo ni ku galvanize hizo personalities ziache umimi na zijenge usisi. Nidhamu chafu ndiyo imefikisha ccm hapo ilipo na sioni kama upinzani unajifunza kutokana na hilo.

Matukio kama la kususia hotuba ya bunge, meya Arusha, kususia kampeni za 2010, Shibuda,uchaguzi wa jumuiya za chama n.k ni dalili njema kuwa chama kinasimama kwa personalities na sio principles. Chadema walitakiwa wachukue hatua ili kujenga nidhamu ya kudumu. Haionekani kama hilo ni muhimu.

Kama Chadema wanataka wafanikiwe ni lazima wachukue hatua za awali na za makusudi kuanzia sasa. Kazi za zimamoto zitachochea matatizo ambayo yapo ingawa hayaongelewi.
Chama kitumie njia za mawasiliano na jamii, pundits, strategists, political analysers, na hazina kubwa ya academicians kufanya yafuatayo:
1. Kuweka misingi imara ya chama, chama kiwe chama na si haiba za watu.
2. Kufuata misingi na kanuni za chama kwa uwazi ikiwa ni pamoja na kuweka nidhamu ya hali ya juu
3. Kujenga upya safu ya uongozi na si kuandaa viongozi, kwasababu uongozi ni team work.
4.Kuhakikisha viongozi wanasimamia sera, kanuni na misingi ya chama bila kubabaisha, kubagua au kuoneana haya.
5. Halafu waimarishe base na philosophy zao kuanzia ngazi za taifa hadi vijijini.

Hakuna chama cha kisiasa kisicho na misuguano lakini je kuna 'structure' inayoweza kuhimili misuko suko itokanayo?
ANC ya mandela ilkumbwa na dhoruba lakini mawimbi yamepita kama yale ya Labour ya Tonny Blair. Vyama vimebaki imara kwasababu vinaongozwa na misingi na kanuni imara kwenye nidhamu ya hali ya juu. Mifumo ya vyama hivyo imejengeka kukidhi haja ya chama na si mtu wala watu. Personalities ni kwa ajili ya kutia chachu lakini si vyama.
 
Suala sio kuhitaji upinzani,bali kuvumilia na kushirikiana na jumuiya au watu wenye mawazo mbadala badala ya kuwakandamiza na kuwakejeli

Napata shida kukuelewa kwasababu J.Warioba alikuwa miongoni mwa waliompa Nyerere Ultimatum. Pengine ni kwa kuzingatia hoja zake za upinzani ndiyo maana alikuwa mwanasheria wa serikali akiwa na umri wa miaka 36. Katika umri huo alikiri hatuna haja ya katiba na hata alipokuwa PM alisisitiza hivyo. alipokuwa na miaka 66 akasema tunahitaji katiba. Hapa ujana ulimsaidia vipi.

Dr Salimu A.S alichaguliwa balozi katika umri wa miaka 23 na miaka 35 akagombea ukatibu mkuu UN. Msekwa pia na wengine wengi.
Mnyika amejenga hoja na ni mbunge kama alivyo mkosamali, Zitto, Fikunjombe n.k.
Hawakuchaguliwa kwasababu ya upinzani bali uwezo wao.

Dr Slaa katika umri wake anaongoza mapambano ya kudai katiba kama prof Lipumba n.k wanaongoza vijana wanaopinga mabadiliko haya ndani ya CC iliyo na vijana,tena wanaosema ni kutaka kuvuruga amani.

Ukiangalia utaona umri hauna tija katika uongozi, bali busara, hekima na mtazamo mpana. Sidhani kama yupo anyepinga au kukejeli vijana kuwa viongozi kama nilivyoonyesha hapo juu, lakini ujana usiwe sifa ya uongozi kwasababu tumewahi kuwa nao wadogo zaidi ya hawa tuliona nao na bado tupo hapa tulipo, lakini wapo walioonyesha mafanikio.
 
Nguruvi, mojawapo ya vitu vinavyosumbua ni watu kudhania kuwa kupingana ndani ya chama na kuacha kupingana huko kuwe waziwazi ndio "demokrasia". Mara nyingi hoja inayotolewa ni kuwa "chama kimeimarisha demokrasia" na hivyo utaona viongozi mbalimbali wanapingana kwenye mambo ya msingi na hata yasiyo na msingi; tena kupingana hadharani kiasi kwamba wametengeneza kambi.

Kambi hizi zimewafanya baadhi ya watu kwenda kumtetea "mtu" wao hata kama anachosema au kusimamia kimepotoka lakini hawako tayari kwenda ku-side na mtu mwingine kwa sababu wakifanya hivyo wataonekana "wasaliti" wa yule mtu wao. Matokeo yake aidha watu wanaamua kukaa kimya au kutochukua msimamo unaopaswa. Kupingana huku kwa hadharani kwenye mambo madogo ndio kunanisumbua mimi zaidi. Wanachama kupingana kwenye mambo makubwa tena hadharani ni kuzuri kwani kunahusisha principle, mitazamo na hata maono. Ni kwa mfano tunavyoona kwenye demokrasia za wenzetu - watatofautiana katika masuala ya kodi, health care, security n.k Haya ni mambo ya msingi ambayo wananchi wanatakiwa kujua viongozi wao wanasimamia vipi.

Uzuri wa tofauti ya mambo ya msingi ni kuwa haivuki na kuwa personal na wanasiasa makini wanaweza kufanya kazi vizuri kabisa na hata kutii mtu mwingine ambaye hawakukubaliana naye katika mambo ya msingi lakini wanaamini maono yake yanawezekana. Ndio sababu ya Reagan kumchukua George H. Bush ambaye alishindana naye kwenye kugombea nafasi ya Urais mwaka 1980 na kumfanya makamu wake na baadaye yeye mwenyewe Bush kuja kushinda baadaye na kuwa Rais wa Marekani. Ni hivi hivi kati ya Obama na Hillary.

Tatizo linakuja kwenye mambo yasiyo na msingi. Sometimes, I woule scream for one of these young leaders to just shut up! Watu wanapingana kuhusu vitu vidogo na wakati mwingine hata kujaribu kudhalilishana. Hivi vitu vidogo ndiyo vinaleta mambo ya mgongano kwa sababu vinakuwa ni personal. Mtu amesema kitu mwingine anakwazika na yeye akipata nafasi anasema kitu na yule mwingine anakwazika na mnyororo wa kukwazana huanza. Na ukija kwenye washabiki nao wanakuwa hivyo hivyo, wanaanza kumchukia mwanasiasa mwingine au kujaribu kumvuruga simply kwa sababu alimpa jibu baya mtu wao.

Nidhamu katika chama ni muhimu sana lakini ni lazima iwe nidhamu ambayo inaita heshima. Hata mnapofikia mahali pa kutokubaliana inakuwa ni kutokubaliana bila kukabana. Utaona tatizo hili kwenye CCM na liko wazi kwenye Chadema vile vile. Na kinachoudhi wanaofanya haya kwenye vyama vyote viwili ni wazee na vijana! Lakini kinachoudhi ni kuwa hawa wazee ukiangalia wameingia kwenye hili wamechelewa, miaka mitano tu iliyopita ilikuwa ngumu kusikia viongozi wa CCM kujibizana hadharani na kupigana vijembe... enter JK na siasa hizo. Matokeo yake Chama chake nusuru kimvunjikie kwa kushindwa kuwa na nidhamu ya kiuongozi. Hili nalo liko Chadema na kama litakavyowasababishia migogoro CCM ndivyo itakavyokuwa ndani ya Chadema vile vile hadi watakapotambua uongozi ni nini hasa.

Ndio maana sisi wengine tunataka kuona viongozi wakionesha uwezo wa kuongoza kwa kushawishi bila kulazimika kutumia njia za mkato, destroying the other au hata kujaribu kuwavuruga wengine ili mtu aje kushika madaraka. Ninaogopa kweli vijana (ndani ya CCM na nje) ambao wanatumia nguvu kubwa kweli kushika madaraka, kupata legitimacy na kuwa juu ya wananchi. I fear them kwa sababu najua nguvu ya madaraka inavyobadilisha watu, na tumeshaona vimadaraka kidogo vinavyowafanya watu waanze kuwa kama wale jamaa wa kwenye Lord of the Rings (kama umeiona) kila walipojaribu kuishika ile pete yenye kutawala pete nyingine zote.
 
"Siamini katika siasa za "Ujana Vs. Uzee".. naamini katika uwezo na vs. kutokuwa na uwezo. That is the only kitu ambacho yatupasa kuangalia. Haya ya kushabikia vijana kama ni panacea ya uongozi wetu tutauziana madudu bure. Kama wapo vijana wanaamini wanafaa kuja kushika uongozi wa taifa letu, waache wajipambanue kwa kuonesha uwezo wao kuongoza. Hili ni jambo gumu sana kutaka? I really don't care kama mtu ana miaka 23 au 30 au 50! I don't kwa sababu kama inavyosema "age is noghing but a number!". Tunataka viongozi wenye uwezo - awe 18, 40 au 90."
Mwanakijiji.

Niliposoma hoja ya mada hii sikutaka hata kusoma maoni ya wadau wengine hadi nilichokimbilia kwanza ilikuwa ni kujibu kwa kuwatahadharisha Wadanganyika juu ya hili hili ulilolisema. Kabla ya kujibu nikajikuta ninasoma maoni yako. Umenipunguzia shinikizo na bashasha lililoukumba moyo wangu!! Ninaunga mkono hoja yako kwa asilimia mia. Tunataka viongozi wenye uwezo bila kujali umri, dini, jinsia, rangi, kabila, elimu ya shule, nk. Tukianza siasa za "ujana vs. uzee" ndio twafwa!! Akitokea kijana ana uwezo kuliko mzee, sawa. Akitokea mzee ana uwezo kuliko kijana, sawa. Akitokea mwanmake ana uwezo kuliko mwanamume, sawa. Akitokea mwislamu ana uwezo kuliko mpagani au mkristo, sawa. UWEZO, UWEZO, UWEZO, ndio kiwe kigezooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo.
 
Nguruvi, mojawapo ya vitu vinavyosumbua ni watu kudhania kuwa kupingana ndani ya chama na kuacha kupingana huko kuwe waziwazi ndio "demokrasia". Mara nyingi hoja inayotolewa ni kuwa "chama kimeimarisha demokrasia" na hivyo utaona viongozi mbalimbali wanapingana kwenye mambo ya msingi na hata yasiyo na msingi; tena kupingana hadharani kiasi kwamba wametengeneza kambi.

Kambi hizi zimewafanya baadhi ya watu kwenda kumtetea "mtu" wao hata kama anachosema au kusimamia kimepotoka lakini hawako tayari kwenda ku-side na mtu mwingine kwa sababu wakifanya hivyo wataonekana "wasaliti" wa yule mtu wao. Matokeo yake aidha watu wanaamua kukaa kimya au kutochukua msimamo unaopaswa. Kupingana huku kwa hadharani kwenye mambo madogo ndio kunanisumbua mimi zaidi. Wanachama kupingana kwenye mambo makubwa tena hadharani ni kuzuri kwani kunahusisha principle, mitazamo na hata maono. Ni kwa mfano tunavyoona kwenye demokrasia za wenzetu - watatofautiana katika masuala ya kodi, health care, security n.k Haya ni mambo ya msingi ambayo wananchi wanatakiwa kujua viongozi wao wanasimamia vipi.

Uzuri wa tofauti ya mambo ya msingi ni kuwa haivuki na kuwa personal na wanasiasa makini wanaweza kufanya kazi vizuri kabisa na hata kutii mtu mwingine ambaye hawakukubaliana naye katika mambo ya msingi lakini wanaamini maono yake yanawezekana. Ndio sababu ya Reagan kumchukua George H. Bush ambaye alishindana naye kwenye kugombea nafasi ya Urais mwaka 1980 na kumfanya makamu wake na baadaye yeye mwenyewe Bush kuja kushinda baadaye na kuwa Rais wa Marekani. Ni hivi hivi kati ya Obama na Hillary.

Tatizo linakuja kwenye mambo yasiyo na msingi. Sometimes, I woule scream for one of these young leaders to just shut up! Watu wanapingana kuhusu vitu vidogo na wakati mwingine hata kujaribu kudhalilishana. Hivi vitu vidogo ndiyo vinaleta mambo ya mgongano kwa sababu vinakuwa ni personal. Mtu amesema kitu mwingine anakwazika na yeye akipata nafasi anasema kitu na yule mwingine anakwazika na mnyororo wa kukwazana huanza. Na ukija kwenye washabiki nao wanakuwa hivyo hivyo, wanaanza kumchukia mwanasiasa mwingine au kujaribu kumvuruga simply kwa sababu alimpa jibu baya mtu wao.

Nidhamu katika chama ni muhimu sana lakini ni lazima iwe nidhamu ambayo inaita heshima. Hata mnapofikia mahali pa kutokubaliana inakuwa ni kutokubaliana bila kukabana. Utaona tatizo hili kwenye CCM na liko wazi kwenye Chadema vile vile. Na kinachoudhi wanaofanya haya kwenye vyama vyote viwili ni wazee na vijana! Lakini kinachoudhi ni kuwa hawa wazee ukiangalia wameingia kwenye hili wamechelewa, miaka mitano tu iliyopita ilikuwa ngumu kusikia viongozi wa CCM kujibizana hadharani na kupigana vijembe... enter JK na siasa hizo. Matokeo yake Chama chake nusuru kimvunjikie kwa kushindwa kuwa na nidhamu ya kiuongozi. Hili nalo liko Chadema na kama litakavyowasababishia migogoro CCM ndivyo itakavyokuwa ndani ya Chadema vile vile hadi watakapotambua uongozi ni nini hasa.

Ndio maana sisi wengine tunataka kuona viongozi wakionesha uwezo wa kuongoza kwa kushawishi bila kulazimika kutumia njia za mkato, destroying the other au hata kujaribu kuwavuruga wengine ili mtu aje kushika madaraka. Ninaogopa kweli vijana (ndani ya CCM na nje) ambao wanatumia nguvu kubwa kweli kushika madaraka, kupata legitimacy na kuwa juu ya wananchi. I fear them kwa sababu najua nguvu ya madaraka inavyobadilisha watu, na tumeshaona vimadaraka kidogo vinavyowafanya watu waanze kuwa kama wale jamaa wa kwenye Lord of the Rings (kama umeiona) kila walipojaribu kuishika ile pete yenye kutawala pete nyingine zote.

I can't agree with you more!
Wapo watakao sema ushahidi upo wapi! nitaeleza kidogo. Ndani ya kamati kuu ya Chadema limejadiliwa jambo,kwa vile linaweza kutumika kama silaha mtu wa kwanza kulitoa hadharani ni kiongozi wa CCM!!. Maana yake si kuwa watu wanapingana kwa hoja bali visasi na mmoja akiingia katika anga za mwingine anamkaangaa. Kumkangaa ni pamoja na kutoa habari za chama. Hapo nidhamu ipo wapi.

Pili, kama hawa viongozi wangekuwa na mabishano ya hoja hadharani angalau basi tungesema ni mapambano ya hoja. Sio! mmoja anaposhindwa hukimbilia hoja nyepesi tena hadharani kama ukabila, ukoo n.k Na haya yote yakitokshatokea hakuna anayesema hili si sahihi, hata wenye dhima wanakaa kimya kwasababu wanazo kambi na wangetaka wabaki na utiifu wa kambi zao.

Mfano wa Obama na Hillary ni muafaka. Hawa walikuwa mahasimu wakubwa katika uchaguzi lakini huwezi kuamini Hillary analala ndani ya ndege kutetea hoja za chama chake, visasi na hasira pembeni.
Inapotokea mtu mmoja akauchukua ugonvi binafsi na kuwa wa chama huyo si kiongozi hata kidogo.
Nilidhani wimbi la vijana ndani ya chama cha Chadema lingebadili hali hiyo sioni kama zipo dalili.

Inapotokea 'naibu meya' na madiwani Arusha wakawa na msimamo wao, mbunge msimamo wake,chama wilaya hakijui, chama mkoa hakina habari, BAVICHA kivyao na kamati kuu haijui ,hivi kuna haja ya kujiuliza zaidi kuhusu nidhamu? Jambo lilotikisa taifa kama la Arusha lisingeundiwa tume kana kwamba ni mvua iliyonyesha bila mawingu.
Hapo napo tunaona si wajumbe wa halmashauri kuu au kamati kuu,wazee au vijana wa CDM walikuwa 'on the same page'. Kama siyo nidhamu hafifu ni nini.

Bado narudi pale pale, ili CDM ijiweke sawa kama chama tarajiwa lazima yawepo maamuzi ya haraka na makusudi kujenga upya safu ya uongozi.
Uongozi uzingatie sifa, uadilifu na committment sio umri. Structure iliyopo sina uhakika kama itahimili kishindo likitokea la kutokea.

Off topic: mwenyekiti wa BAVICHA ajitokeze kama ni mwanaJF tubadilishane mawazo.
 
Believe me.. it is not as simple as it sounds. Ni rahisi kuviona vitu rahisi intellectually lakini siyo rahisi hivyo inapokuja kwenye kutekeleza. Kuna mambo ambayo naamini yanaweza kufanyika lakini yatahitaji kuwa tayari kuachilia mambo mbalimbali. Binafsi ningependa Chadema ifanye mabadiliko mapema zaidi lakini sidhani kama wako tayari kwa sababu yatawagharimu, lakini baadhi ya matatizo yaliyopo sasa yangeweza kuwa yamemalizwa kabisa kabla ya mwaka huu na kutoka hapo ni kuelekea ushindi, lakini the status quo is temptingly palatable.

I'm really worried, kiasi kwamba nashawishika sana kuchukua njia ya CCJ safari hii mapema zaidi kama tumaini limepotea na si tumaini tena.

Yeah,suala changes ndani ya party system ni very possible isipokuwa utaalamu wa hali ya juu unatakiwa utumike kuhakikisha hakuna interest za individuals zina-dominate public interests philosophically,idiologically and principally ambazo zitakuja kuzaa sera na values za chama kama chama imara kinachojiandaa kuchukua Dola.

Wenzetu PDP wa Nigeria wameweza,Movement for Democratic change(MDC) ya Zimbabwe wameshindwa na sasa wako weak hadi tayari wanachama wenye kiu ya mabadiliko wanaanza movement ya kumtaka Tendai Biti achukue Nafasi ya Morgan.

Mimi naona CHADEMA bado haijachelewa.Kwa hali ya kisiasa ilivyo na kwa kuzingatia factors mbalimbali tunajikuta tupo katika Mazingira ambayo yanashabihiana na Orange Democratic movement(ODM) Kenya ndiyo maana pamoja na political turmoil zote bado imeweza kufika na akina Najib Balala,Willium Ruto na wengineo hapa ilipo.

Political system and spirit ya vyama vyote vya siasa ni za hatari.Sote tumeshuhudia CCM ilivyochemka kwa sababu ya kutaka kufanya changes lakini haikuwa na watu makini wa kuishauri kufika zaidi ya hapo au ukomo wao ulikuwa umefika mwisho.At the same time walifikia hatua ile baada ya kuona status quo inaenda kuwa challenged......huo ulikuwa ni udhaifu mkubwa sana

The sad reality of the Tanzania situation is that we have only succeeded in creating a monstrous political system where those in leadership positions who ought to be servants of the people have become Lords of the Manor; a system that frowns at the very tenets of democracy. Ours is perhaps the only "democracy" in the world where the people don't matter. It is that special brand of democracy where to win election, all you need to do is to "settle" one or two people rather than earn the trust of the electorate.
 
Baada ya madudu yote aliyoyafanya Kikwete, nikiwa kama mpiga kura nitakuwa na wasiwasi na choice yake ya rais ajaye.

Kwa WALE WALIOPATA UWEZO WA KUMJUA kIKWETE Kuwa ni Dr wa Fitina tayari wameshajua anaanza kupanda FITINA baina ya Zitto na viongozi kwa kuwa tu kesha anzisha zahama la nani anastahili kugombea Urais.

kwa vile yeye kashindwa kuongoza basi basi hata chaguo lake litakuwa kama yeye.
 
Back
Top Bottom