Kikwete: Nataka kurithiwa na rais kijana!

Kikwete: Nataka kurithiwa na rais kijana!

kwenye kamati kuu ya CCM akiulizwa kwanini ulisema rais ajaye awe kijana..atajibu..mlininukuu vibaya..kumbuka aliposema hazitaki kura za wafanyakazi..!!
 
JK amesema anataka kuridhiwa na rais kijana. Kauli hii inenishangaza na kunichanganya. Najiuliza maswalii mengi: je, JK anatumia nafsi hii kuanza kupiga mawe rafiki yake EL?!, je, anatumia nafasi hii kumnadi Nape au Zito?!. Hata hivyo ni aibu kuandaa kampeni kwa kisingizio cha rika, alipoingia kwenye kinyanganyiro cha uraisi ilijinadi kwa sifa ya "kijana" lakini ufanisi wake ni hafifu ni bora kama angewaachia nafasi hiyo wazee kama SAS huenda tungepiga hatua.

Hapo Hussein Mwinyi anaandaliwa ulaji kilainiiiiiiiiiiii
 
kikwete hana uwezo wa kutuchagulia rais ajaye,kwanza keshatuharibia nchi,angekuwa amefanya kazi ya kukumbukwa angekuwa na uwezo huo,sana sana hapo anataka kuendeleza udini aliouanzisha mwenyewe,ovyo!!!!!

Kwanza Kikwete kuchagua mrithi itakuwa ni hatari, kwa kuwa urais wake unaweza kuwa kama wa kwake, rais atakaye fuata nyayp zake atakuwa nightmare. Lakini vilevile sisi watanzania safari hii tutachagua mrithi wake.
 
Nilishasemaga humu anachoongeaga JK reflects an outright case of mental breakdown. Seriously, he should be hospitalized at Mirembe.
 
kwenye kamati kuu ya CCM akiulizwa kwanini ulisema rais ajaye awe kijana..atajibu..mlininukuu vibaya..kumbuka aliposema hazitaki kura za wafanyakazi..!!

Sasa hiki ndicho wanachostahili kumuhoji watakapokutana hivi karibuni.
 
Rais namjua mimi na kura yangu na Si kikwete na serekali yake.
 
Zitto Kabwe, ambaye ameweka wazi kuwa anataka kuwa Rais wa Tanzania anasema kuwa Jakaya Kikwete amemwambia yeye na Mbunge wa NCCR Mageuzi, David Kafulila, kuwa anapendelea Rais wa 2015 awe kijana. Kikwete amewataka Zitto, Kafulila na vijana wengine wajiandae kumrithi.

Source: Post ya Zitto kwenye account ya JF ya kwenye facebook yenyewe hii hapa:

"Msikubali atakayenirithi awe wa rika langu. Kizazi chenu sasa kijiandae"-JK to David Kafulila and I when launching construction of Malagarasi Bridge.

Katika unafiki wako umeongelea ZITTO NA KAFULILA, lakini katika michango mingi KAFULILA amesahaulika? Kazi kwelikweli, CHADEMA bado sana , mpaka ambapo this "MAFIA and DIKTETA BOY" wili be out of CDM otherwise hakuna rais kupitia CDM atayoka nje ya KILI. Mnajifanya hamtaki kusikia hiki kitu, but believe or not what is facing Dr. SLAA now days inside CDM. tunza kumbukumbu sahihi ya contribution yangu hii then one day u'll ask me how didi I know this. The man is not after the majorities, He is making bussiness.
 
Zitto Kabwe, ambaye ameweka wazi kuwa anataka kuwa Rais wa Tanzania anasema kuwa Jakaya Kikwete amemwambia yeye na Mbunge wa NCCR Mageuzi, David Kafulila, kuwa anapendelea Rais wa 2015 awe kijana. Kikwete amewataka Zitto, Kafulila na vijana wengine wajiandae kumrithi.

Source: Post ya Zitto kwenye account ya JF ya kwenye facebook yenyewe hii hapa:

"Msikubali atakayenirithi awe wa rika langu. Kizazi chenu sasa kijiandae"-JK to David Kafulila and I when launching construction of Malagarasi Bridge.

Too much talks about people. "IRON BOYS", ZITTO,KAFULILA, SITTA, LEMA etc, For what. Kweli tutajenga nchi hii kwa mwendo huu?
 
Mojawapo ya disqualification kwangu ni kwamba RAIS ajaye ASITOKE CCM, because CCM ya
sasa hakuna msafi hata mmoja!
 
Unfortunately mimi sifagilii sana vijana kuwa na uongozi wa ngazi za juu katika dunia ya leo hii hapa Tanzania kwa sababu:

(a) Bado wana safari ndefu katika maisha yo na hivyo katika mazingira ya Tanzania leo, watapenda kutumia madaraka hayo ili kujineemesha zaidi mbele ya safari yao. Ingawa kuna baadhi ya vijana wenye ku-sacrifice prospects za maisha yao ya baadaye kwa ajili ya Taifa, kama walivyofanya generation ya waasisi wengi wa TANU, katika dunia ya leo kuna wachache sana wa aina hiyo waliobaki.

(b) Age is just a number, kiongozi aliyeleta maendeleo sana huko China, Deng Xiaoping alikuwa ni mtu mzee sana wakati anafanya hivyo. Kwa hiyo umeri wa mtu unaweza usiwe kigezo cha uongozi.

Ni kweli kuna nafasi nyingi za uongozi zinazotaka nguvu (dynamism) ambazo si vizuri kutwaliwa na wazee, bali zinatakiwa ziwe za vijana. Hata hivyo nafasi zinazohitaji hekima na busara zinatakiwa ziendelee kushikwa na watu hao wenye hekima na busara bila kujali umri wao.
 
Wakati yeye kikwete anagombea urais nani alimpanga umri? Atuache rais tumtakae tutajichagulia wenyewe. Kama ni ujana hata Nape ni kijana sasa hebu fikiria unakuwa na "President Nape" si tutaishia kupewe mipasho tu?
 
Nakumbuka mwaka 2008 JK alisema kwamba kwenye serikali yake ya awmu ya pili hakutakuwa na waziri yeyote ambaye angemzidi umri! Sina hakika hali ikoje
 
Tatizo rika kama la akina Zitto ndio wapo watu kama hawa.......
  1. Nape Nnauye
  2. Benno Malisa
  3. Kingwangala
  4. Chigela
  5. Nchemba
  6. MBUNGE WA MTERA
  7. Ridhiwani
  8. Philikunjombe
  9. Bashe
endeleza list........unategemea kwa list hii nchi itakuwaje?
 
Zitto Kabwe, ambaye ameweka wazi kuwa anataka kuwa Rais wa Tanzania anasema kuwa Jakaya Kikwete amemwambia yeye na Mbunge wa NCCR Mageuzi, David Kafulila, kuwa anapendelea Rais wa 2015 awe kijana. Kikwete amewataka Zitto, Kafulila na vijana wengine wajiandae kumrithi.

Source: Post ya Zitto kwenye account ya JF ya kwenye facebook yenyewe hii hapa:

"Msikubali atakayenirithi awe wa rika langu. Kizazi chenu sasa kijiandae"-JK to David Kafulila and I when launching construction of Malagarasi Bridge.

Rais Kikwete ana mpango wa kumtosa Dikiteta Slaa, kwani anaaminika kuwa ni mtu hatari sana asiyeamini Demokrasia. CCM wanaamini kuwa bila Dikiteta Slaa, CHADEMA inamaendeleo mazuri kwani inahitaji marekebisho ambayo huyu Dikiteta hawezi kuyafanya.

Hivyo kwa kauli yake inamaanisha kuwa umri wa huyu Dikiteta ni wa kustaafu katika kugombea Urais.
 
Wakati yeye kikwete anagombea urais nani alimpanga umri? Atuache rais tumtakae tutajichagulia wenyewe. Kama ni ujana hata Nape ni kijana sasa hebu fikiria unakuwa na "President Nape" si tutaishia kupewe mipasho tu?
Je.. Siku ikitokea tukapewa Riz One je?
 
Back
Top Bottom