Kikwete: Nataka kurithiwa na rais kijana!

Kikwete: Nataka kurithiwa na rais kijana!

Kikwete usitubabaishe ukafikiri Vijana utawavuta maana Vijana wengi Wameona Ari mpya na kasi mpya na SASA unataka kutuletea Punda mpya
 
Anataka kutuachia rais punda adumishe upunda.sio nchi ya mamake hii.
 
Mleta mada naomba ulete maneno ya JK mwenyewe Quote , unquote ili tujue kama yana ukweli unayosema wewe hapa.
 
Issue sio rais kijana, we need someone who is capable of leading, decision maker, hard worker etc na JK hawezi kuwachagulia Rais waTZ.Ni wananchi wenyewe ndo wataamua nani awaongoze regardless of chama chake provided tu kuwa kutakuwa na tume huru ya uchaguzi!!!
 
JK amesema anataka kuridhiwa na rais kijana. Kauli hii inenishangaza na kunichanganya.

Najiuliza maswalii mengi:
Je, JK anatumia nafsi hii kuanza kupiga mawe rafiki yake EL?!, je, anatumia nafasi hii kumnadi Nape au Zito?!.

Hata hivyo ni aibu kuandaa kampeni kwa kisingizio cha rika, alipoingia kwenye kinyanganyiro cha uraisi ilijinadi kwa sifa ya "kijana" lakini ufanisi wake ni hafifu ni bora kama angewaachia nafasi hiyo wazee kama SAS huenda tungepiga hatua.
maana vijana ni wajuzi kuzidi hata Mugabe-pia wanajua kutumia kompyuta-vilevile wameanza kudrive mapema sana-sio tu hivo urais hausomewi ni kipaji cha kuzaliwa nacho-ni kama ajira nyingine-madingi hawafai kwan wanabana sana-kwa hiyo ukiwa rais kijana ni kubadili katiba kila miaka mi 5 hadi apo utakapokuwa 100+ VIJANA OYEE!
 
Mzazi akitamka neno 'kijana' si lazima libebe generic reference sometimes hubeba specific refence: kwa hiyo huenda kijana akawa Ridhiwan (specific refence), kijana wa zamani Lowasa (specific reference)au mtu yeyote mwenye umri usiopindukia utu uzima (generic ref). Kazi ipo kwa magamba.....tumesikia I see!
 
Anawezaje kusema maneno hayo ya kurithiwa? Hivi ni yeye ndiye anayechagua rais? Kwa hiyo umma ukimtaka mzee yeye atakaa siyo? Mawazo hayo hayana mashiko kabisa na ni aibu kwa kiongozi kuyasema.
 
Tumeshafikia hatua ya kurithishana URAIS?
Kama ndivyo, tumekwisha!
Lakini bado siiaminii kauli hii kwa sababu MZEE Ole Njoolay ameteuliwa kuwa balozi wa Nigeria...
Vijana hawaoni?
 
Tumeshafikia hatua ya kurithishana URAIS?
Kama ndivyo, tumekwisha!
Lakini bado siiaminii kauli hii kwa sababu MZEE Ole Njoolay ameteuliwa kuwa balozi wa Nigeria...
Vijana hawaoni?

naona kawaagiza wale vijana wa bagamoyo wamchague kijana mwenzao awe rais,sharti asitoke kaskazini ili historia yake ya kuwa dhaifu isifutwe
 
JK amesema anataka kuridhiwa na rais kijana. Kauli hii inenishangaza na kunichanganya.

Najiuliza maswalii mengi:
Je, JK anatumia nafsi hii kuanza kupiga mawe rafiki yake EL?!, je, anatumia nafasi hii kumnadi Nape au Zito?!.

Hata hivyo ni aibu kuandaa kampeni kwa kisingizio cha rika, alipoingia kwenye kinyanganyiro cha uraisi ilijinadi kwa sifa ya "kijana" lakini ufanisi wake ni hafifu ni bora kama angewaachia nafasi hiyo wazee kama SAS huenda tungepiga hatua.

Uamuzi wa nani awe Rais baada ya yeye si wa kwake. Rais anayemaliza muda wake hana haki ya kutuchagulia Rais anayefuata. Ina maana yeye aliwekwa na Mkapa?
 
Kijana wa umri gani ati? Manake kwenye chama kubwa hata Kingunge Wa Ngombale anaweza kuwa "defined" kama kijana ili kufikia malengo yanayotarajiwa. Hivi huyu mkulu alivyochaguliwa kwa mara ya kwanza alikuwa na umri gani vile? Nakumbuka moja ya sifa kuu ilikuwa ni ujana wake wakati huo.
 
Kwa kusema hivyo anatengeneza mazingira ya kummpendekeza Hussein Mwinyi kuwa mgombea. Hatutakubali kutawaliwa na mzenji

Tatizo lenu si mzanzibar bali ni muislam.Tumeshawajua mmezoea upendeleo wa kilakitu hivyo mnahofu labda atatenda HAKI.Mmemtisha kikwete mpaka kashindwa kutenda haki kaendeleza upendeleo.Mungu anawasubiri kwa hamu mtaona.
 
Back
Top Bottom