Kikwete: Nataka kurithiwa na rais kijana!

JK anahusisha kufeli kwake na umri wake..hili si sahihi kilichomfelisha ni kutoa vyeo kishemeji,kishikaji nk..kiasi cha kumfanya awe na aibu ama woga kuwawajibisha viongozi hao wanapofanya ndivyo sivyo..Kile kiti cha Ikulu si cha kukikalia kama haujajua joto lake!
 
Inasikitisha kuona wabunge vijana kama hao wanakubali usemi kama huo na kibaya zaidi wamesoma! Inaelekea hawaijui CCM kabisa hawa Ndugu zangu wa kambi ya pili! Inapashwa wawasikilize zaidi wenyeviti wao na si Mwenyekiti wa CCM sababu CCM kama chama kina taratibu zake na wakati wa mtu mmoja kuteua anayemtaka sasa umekishwa infact uliisha baada ya Baba wa Taifa hili kutangulia mbele ya haki.
 
Sifa ya ujana peke yake haitoshi, Nafikiri tuongeze sifa zingine za ziada
 
Hii ni turufu ya JK kuivuruga CDM kwa sababu anajua vijana wake wengine ni waroho wa madaraka
 
Nashukuru kwa watu kujadili mustakabali wa nchi yao mara baada ya sera nzuri kufeli kuleta suluhu kutokana na uongozi mbovu wa Rais wetu,.Lakini nakerwa na tabia ya watanzania kutaka kumshambulia zitto juu ya kauli na mtazamo wa kikwete juu ya rais ajaye,pili kuna watu wana imani za kijinga kutaka kumpinga zitto kwa hoja ya kwamba vijana hawaaminiki.,wakiimarisha kauli ya kikwete kutowagawa vijana eti kwasababu vijana ni mtaji wa wanasiasa!

Acheni kuwalimbikiza vijana kuwa mtaaji wa kupigia kura,zaidi waheshimuni mchango wao katika taifa kwa maana ya kwamba ni wazalishaji wakubwa katika Taifa lakini pia ni walinzi wakubwa wa raslimali za Taifa,kwanini muendelee kuwaheshimu kinafiki kama wapiga kura tuu!!kwanini siyo ktk medani za maamuzi makubwa ya kisiasa?? kivipi muwape ubunge,ulinzi kwa maana ya asasi nyeti za kitaifa,kijijini wakiwa nguvu kazi stahiki.Inapokuja nafasi kubwa za maamuzi eti hawaaminiki! kama hawa aminiki hawa ndiyo baado wazee wetu wa kesho,etii vijana hawaaminiki kwa hyo kizazi hiki tarajiwa cha wazee wa kesho hawaji kutoa uongozi mkubwa wa kitaifa kwasababu kama hatukuwaamini vijana kwasasa hatuwezi kuwaamini uzeeni!! kwa maana hiyo mara baada ya sisi kuwa wazee!! ,watoto wetu ktk ujana wao itabidi ndiyo waje kuwa marais wa Taifa hili na historia itawaonesha kwamba Baba na Mama zao hawakuwa waaminifu!!

kwa maana hyo kizazi chetu kitakufa kwa kukiuka baadhi ya nadharia mbalimbali za kwamba EVERY GENERATION HAS GOT ITS OWN MISSION!!!Kwa maana hiyo hiki ni kichekesho cha asubuhi! Itakuwaje kizazi kisichoaminika kikazaa kizazi cha kuaminika!!.Wito wangu kwa watanzania wote wajue kwamba,CHADEMA ni chama chenye katiba yake inayoelekeza nini wajibu wa mwanachama wake,pia hakuna kipengele kinachomkataza kijana ambaye ni mwanachama hai kutoka upande wowote wa Tz kuomba nafasi ya uteuzi ktk medani za uongozi.,wala hakuna mwiko wa mtu kutangaza ama kuto tangaza nia ya kuomba uteuzi..,Mfano mh Dr slaa hakutangaza na watanzania hawakujua ni nani atateuliwa kugombea! lakini CHADEMA kikamteua Dr slaa.,Kumbukeni 2005 tulipo mteua Mh Mbowe,mbona hatukumwekea sheria kwamba ni lazima agombee 2010?

CHADEMA ni ya wanachadema na watanzania wengine wanaolipa kodi kuendesha vyama vya siasa,CHADEMA itaamua nani apeperushe bendera kama ilivyoamua 2005 tukaiamini na chama kikajulikana,mwaka2010 tukaamini na chama kikatanuka.Hivo kila rika kwa kila mwanachama anaye kidhi vigezo vya kikatiba ya CHADEMA na ya Jamhuri anakaribishwa kuwania nafasi za mchakato wa kiuteuzi ndani ya chama.

Nijuavyo mpaka sasa CHADEMA haijamtangaza mgombea urais,kwasababu hakuna uteuzi uliofanyika.Viongozi wetu wote ndani ya chama chetu wameshiriki kikamilifu kujenga na kuimarisha chama,pia watanzania na wanachama kwa namna mbalimbali wamekipa uhalali chama kukubalika,kwa hiyo hapa siyo hoja ya Mbowe,pengine Dr Slaa au Zitto na wengine wengi,angekuwa Mbowe peke yake au Zitto peke yake, Hata Dr peke yake CHAMA hiki kingekuwa kama UDP au TLP.Tuache kupuuza michango ya viongozi ama wanachama ktk kuijenga CHADEMA.Naamini kama michezo hii itaendelea watakao iua CHADEMA siyo CCM ni wanachadema wenyewe kwa kupandikiza roho za kibaguzi kwa kuwagombanisha viongozi wa CHADEMA.

Viongozi wa CHADEMA wote wanajua na wanaheshimu katiba na taratibu za uteuzi wa nafasi za kiuongozi kwa kuheshimu misingi yote ya DEMMOKRASIA ikiwa ni pamoja na uhuru wa kutoa maoni.KARIBU
 
Duh mjadala mzuri sana.Mwakajila asante sana kwa post yako.Endelea kutoa mawazo huru na yasiyo ya kishabiki.

Sijui akina Mkandara,Waberoya,Field Marshal ES,Kiranga,Willium Malecela na wakuu wengine wa rational arguinments mko wapi.

NB: Mwakajila hoja yako nitachangia baadae nikiwa na muda ingawa kuna sehemu ndogo tu nitakupinga! By the way,Mwenyekiti wangu wa vijana mkoa wa Mbeya(BAVICHA-Mbeya) ni lini tutapanga Ratiba ya kuhamasisha vijana mkoani Mbeya? Mkoa wa mageuzi ule,tupange ratiba uniandikie PM..... Anyaway,karibu tule Imbalagha.Again,thanks alot
 
Ninapo soma thread yako nafarijika sana kuona ndani ya cdm still kuna vijana wenye upeo wa kuchambua hoja,na kutoa solutions hili ni jambo lenye afya sana kwa chama.
Ingawa masikitiko yangu ni kwamba kuna ugonjwa mkubwa kwa wana chama na mashabiki wa chama kuendeshwa na wimbi kubwa ya ushabiki wa wa watu na hoja zao,kwao suala si HOJA gani imetolewa bali ni NANI katoa hoja.Aina hii ya wafuasi ni pending crisis ya chama,haileti afya katika chama,zaidi ina create gaps ambazo hamtaweza kusiziba,wapo watakao jiona wao ndo chama chenyewe na wengine wata hisi wapo exiled.

Nasikitika baadhi ya viongozi wa chama wanafurahia hali hii kwa kua tu wapo advantaged kwa sasa.lakiini kwa maono yangu chama hakipaswi kuendeshwa na personality za watu,ingawa sipingi umuhimu wake katika hadhi ya chama.
welcome

Nashukuru kwa watu kujadili mustakabali wa nchi yao mara baada ya sera nzuri kufeli kuleta suluhu kutokana na uongozi mbovu wa Rais wetu,.Lakini nakerwa na tabia ya watanzania kutaka kumshambulia zitto juu ya kauli na mtazamo wa kikwete juu ya rais ajaye,pili kuna watu wana imani za kijinga kutaka kumpinga zitto kwa hoja ya kwamba vijana hawaaminiki.,wakiimarisha kauli ya kikwete kutowagawa vijana eti kwasababu vijana ni mtaji wa wanasiasa!

Acheni kuwalimbikiza vijana kuwa mtaaji wa kupigia kura,zaidi waheshimuni mchango wao katika taifa kwa maana ya kwamba ni wazalishaji wakubwa katika Taifa lakini pia ni walinzi wakubwa wa raslimali za Taifa,kwanini muendelee kuwaheshimu kinafiki kama wapiga kura tuu!!kwanini siyo ktk medani za maamuzi makubwa ya kisiasa?? kivipi muwape ubunge,ulinzi kwa maana ya asasi nyeti za kitaifa,kijijini wakiwa nguvu kazi stahiki.Inapokuja nafasi kubwa za maamuzi eti hawaaminiki! kama hawa aminiki hawa ndiyo baado wazee wetu wa kesho,etii vijana hawaaminiki kwa hyo kizazi hiki tarajiwa cha wazee wa kesho hawaji kutoa uongozi mkubwa wa kitaifa kwasababu kama hatukuwaamini vijana kwasasa hatuwezi kuwaamini uzeeni!! kwa maana hiyo mara baada ya sisi kuwa wazee!! ,watoto wetu ktk ujana wao itabidi ndiyo waje kuwa marais wa Taifa hili na historia itawaonesha kwamba Baba na Mama zao hawakuwa waaminifu!!

kwa maana hyo kizazi chetu kitakufa kwa kukiuka baadhi ya nadharia mbalimbali za kwamba EVERY GENERATION HAS GOT ITS OWN MISSION!!!Kwa maana hiyo hiki ni kichekesho cha asubuhi! Itakuwaje kizazi kisichoaminika kikazaa kizazi cha kuaminika!!.Wito wangu kwa watanzania wote wajue kwamba,CHADEMA ni chama chenye katiba yake inayoelekeza nini wajibu wa mwanachama wake,pia hakuna kipengele kinachomkataza kijana ambaye ni mwanachama hai kutoka upande wowote wa Tz kuomba nafasi ya uteuzi ktk medani za uongozi.,wala hakuna mwiko wa mtu kutangaza ama kuto tangaza nia ya kuomba uteuzi..,Mfano mh Dr slaa hakutangaza na watanzania hawakujua ni nani atateuliwa kugombea! lakini CHADEMA kikamteua Dr slaa.,Kumbukeni 2005 tulipo mteua Mh Mbowe,mbona hatukumwekea sheria kwamba ni lazima agombee 2010?

CHADEMA ni ya wanachadema na watanzania wengine wanaolipa kodi kuendesha vyama vya siasa,CHADEMA itaamua nani apeperushe bendera kama ilivyoamua 2005 tukaiamini na chama kikajulikana,mwaka2010 tukaamini na chama kikatanuka.Hivo kila rika kwa kila mwanachama anaye kidhi vigezo vya kikatiba ya CHADEMA na ya Jamhuri anakaribishwa kuwania nafasi za mchakato wa kiuteuzi ndani ya chama.

Nijuavyo mpaka sasa CHADEMA haijamtangaza mgombea urais,kwasababu hakuna uteuzi uliofanyika.Viongozi wetu wote ndani ya chama chetu wameshiriki kikamilifu kujenga na kuimarisha chama,pia watanzania na wanachama kwa namna mbalimbali wamekipa uhalali chama kukubalika,kwa hiyo hapa siyo hoja ya Mbowe,pengine Dr Slaa au Zitto na wengine wengi,angekuwa Mbowe peke yake au Zitto peke yake, Hata Dr peke yake CHAMA hiki kingekuwa kama UDP au TLP.Tuache kupuuza michango ya viongozi ama wanachama ktk kuijenga CHADEMA.Naamini kama michezo hii itaendelea watakao iua CHADEMA siyo CCM ni wanachadema wenyewe kwa kupandikiza roho za kibaguzi kwa kuwagombanisha viongozi wa CHADEMA.

Viongozi wa CHADEMA wote wanajua na wanaheshimu katiba na taratibu za uteuzi wa nafasi za kiuongozi kwa kuheshimu misingi yote ya DEMMOKRASIA ikiwa ni pamoja na uhuru wa kutoa maoni.KARIBU
 
unasema unamfahamu Ben Nyakarungu,Zitto nina wasiwasi unaweza ukawa Usalama wa Taifa uko kazini kuharibu Vijana wa Chadema unasema unawafahamu wenyewe wanasema hakujui nimeangalia posts zako sidhani wewe ni mmoja wao wewe ni mvurugaji zaidi kwa maoni yangu unawachonganisha vijana na uongozi

Hili ndio tatizo lakuzungumza mambo ya vyama vyenu kwenye mitandao. Jamani si mnavikao vyenu? Hizi discussion ni nzuri lakini mahali husika zaidi ya hapo mnachanganyana wenyewe kwa wenyewe without knowing who is who. Hii hoja itakua na mantiki either CDM or CCM pale itakapozungumzwa kwenye vikao halali.
 
Hayo ya kuangalia umri tu ni sawa nayale ya kuangalia jinsi tu matokeo yake tunaye Mhe. Saana Madam Supika Anne Makinda
 
Ninapo soma thread yako nafarijika sana kuona ndani ya cdm still kuna vijana wenye upeo wa kuchambua hoja,na kutoa solutions hili ni jambo lenye afya sana kwa chama.
Ingawa masikitiko yangu ni kwamba kuna ugonjwa mkubwa kwa wana chama na mashabiki wa chama kuendeshwa na wimbi kubwa ya ushabiki wa wa watu na hoja zao,kwao suala si HOJA gani imetolewa bali ni NANI katoa hoja.Aina hii ya wafuasi ni pending crisis ya chama,haileti afya katika chama,zaidi ina create gaps ambazo hamtaweza kusiziba,wapo watakao jiona wao ndo chama chenyewe na wengine wata hisi wapo exiled.

Nasikitika baadhi ya viongozi wa chama wanafurahia hali hii kwa kua tu wapo advantaged kwa sasa.lakiini kwa maono yangu chama hakipaswi kuendeshwa na personality za watu,ingawa sipingi umuhimu wake katika hadhi ya chama.
welcome

Fringe,

You have nailed buddy! Bravo Comrade!

Ni wachache sana ambao ni makini na wenye uwezo wa kuwa huru kutoa mawazo yao kwa hoja.Ushabiki ndiyo silaha pekee na mbeleko ya wanasiasa au vijana wanafiki na wasiojiamini.Tusonge mbele kwa ujasiri,Thanks alot
 
Mkuu mbona huyo jamaa katoa mipasho na wewe unashangilia, ni viongozi wepi hao? hapa ni jamii forum tunaongea kwa majina!!!!!
mwanachama ni mwanachama no matter hana ukomavu gani kisiasa
au ana mlengo hupi?
post zako nyngi hata wewe binafsi unaonekana wazi huko upande wa zitto na hakuna anayepinga hilo sasa wewe kama unataka kuwa mfano mbona na wewe ni shabiki
hache kujadili wanancha nje ya chama ni kujenga makundi , kumbuka uliwai kutuumiwa kufanya hivyo india hapa unatudhiilishia tusiokujua
 
Duh! Kaazi kweli kweli.Mkuu mimi nimeunga mkono kwa sababu ameongea rationaly.Sasa ati nimeongea nje ya chama?hebu nithibitishie angalao kwa hoja nzito nzito au ulete post yoyote ambayo nimemuunga mkono Zitto au mtu mwingine>Mimi sio mwanasiasa wa hovyo kiasi hicho.Siku nitakapofikia hapo nitakuwa nimefikia mwisho wa kuamini katika Demokrasia

Muda ambao chama kitatangaza watu kugombea nafasi za uongozi ukifika,mimi nitatangaza hadharani kwamba namuunga nani mkono na nitampigia kampeni bila kificho bila kuaharibu haki yangu ya kikatiba>Siogopi,iam always Transparent

Kwa sasa tunajenga chama kwanza jamani,naendelea kusizitiza,ushabiki mwiko kama tunataka kulikomboa hili taifa.Turudi kwenye hoja iliyoko mezani.Thanks alot and have a Goodnight! ! !
 
---msingi mzima wa hii hoja ni kikwete kusema vijana ndio wanapashwa kurithi kiti cha uraisi, comment zako ziko wazi wewe ni wa upande gani? hayo ya ushahidi mzito ni wewe ndiye unapashwa kutuletea hapa ni nini tatizo la umri katika kugombea urais.
hisitoshe kama wewe ni mwana chadema mzuri kama unavyosema na kama una maslahi binafsi na hii hoja husingeishadadi kiasi hiki.
una post nyingi kiliko mtu yeyote katika hi hoja na unaongea yale yale na kutumia maneno ya kubeza wanaopinga unachosema.
kama husingekuwa mwana siasa wa hovyo hovyo kwa sasa ungetulia na kuacha muda ukifika chama kita hamu, sio kupiga kelele za nani kuwa raisi 2015,
una ajenda ya wazi wala ujajificha huko wazi kabisa kuna Dr slaa sio chaguo lako, unapiga kelele za umri hapa kutimiza malengo hayo.
kila la heri na siasa zako zisizo za hovyo hovyo lakini una majibu ya hovyo hovyo
 
Thanx mkuu kwa kuona hili, jamaa naandika post zake kijanja sana bt always maandishi hayadanganyi nimeshamwambia hilo japo amekataa but ukweli tunauoa kuwa ana suport hoja ya ujana hapa and the same time zitto amekomalia hili huko facebook hii ni dhahiri hawa wana advantages binafsi na kama sivyo why watumie nguvu kubwa kuelezea hii ishu tena kwa post ndeefu na kila aina ya maelezo?. Ina onyesha wazi wana adantages zao binafsi kuhusu huu mjadala

kuna group facebook tumemwalika zitto tangu mwaka jana na hajawahi kupost chochote kile alikua kama dormant member but juzi katuwekea hiyo ishu ya Jk karema rais ajaye awe kijana.
najiuliza kuna nini nyuma ya hii ishu? Inakuaje asipost kitu kwa mwaka mzima ila juz tu?na kwa nn iwe juu ya urais tu?

Mwenye macho haambiwi tazama

Ben na Nyakarungu Mbona kuna thread kibao tu hapa Jamvini abt cdm na hamchangii?
Mfano hai kuna thread moja inasema ''Mbowe ni tatizo chadema'' na mtoa thread ametoa lawama kuwa cdm chama cha kikabila, Mbowe dictator,fisadi,ana endesha chama kibabe, n.k sasa hapo simuoni Ben wala Nyakarungu wakitoa maoni yao.

Kama thread hii juu ya Urais kijana wanachangia na kuelezea juu ya ishu nzima ya ujana na umuhimu ktk uongozi na wanatoa maoni yao kujenga chama mbona kwenye thread hiyo ya tuhuma ''Mbowe ni tatizo cdm'' siwaoni wakachangia nakutoa maoni kujenga chama?

Kwa kuwa thread juu ya tuhuma za Mbowe chadema zinawapa advantages wao hawachangii wala kutetea chama na kwenye thread wameonekana wapo online wakiangalia mwenyekiti akishushiwa tuhuma huku wakishuhudia kabisa Ben,Zito,Nyakarungu.
Vijana sisi hasa wasomi tunawajibu mkubwa sana kwa maendeleo ya chama chetu but kwa hapa naona hawa wanatumia elimu yao vibaya.

Is just a matter of time watajipambanua tu na wasioona ndipo watakapo ona.

Special thanx to Miss Parliament kwa kuwaeleza ukweli bila kuficha.

Pamoja wanaharakati.
 
Mr president the next presidential election watz tutafuta raisi mwenye uwezo na kazi hiyo irrespective of his or her age.
 
Nashukuru kwa watu kujadili mustakabali wa nchi yao mara baada ya sera nzuri kufeli kuleta suluhu kutokana na uongozi mbovu wa Rais wetu,.Lakini nakerwa na tabia ya watanzania kutaka kumshambulia zitto juu ya kauli na mtazamo wa kikwete juu ya rais ajaye,pili kuna watu wana imani za kijinga kutaka kumpinga zitto kwa hoja ya kwamba vijana hawaaminiki.,wakiimarisha kauli ya kikwete kutowagawa vijana eti kwasababu vijana ni mtaji wa wanasiasa!

Acheni kuwalimbikiza vijana kuwa mtaaji wa kupigia kura,zaidi waheshimuni mchango wao katika taifa kwa maana ya kwamba ni wazalishaji wakubwa katika Taifa lakini pia ni walinzi wakubwa wa raslimali za Taifa,kwanini muendelee kuwaheshimu kinafiki kama wapiga kura tuu!!kwanini siyo ktk medani za maamuzi makubwa ya kisiasa?? kivipi muwape ubunge,ulinzi kwa maana ya asasi nyeti za kitaifa,kijijini wakiwa nguvu kazi stahiki.Inapokuja nafasi kubwa za maamuzi eti hawaaminiki! kama hawa aminiki hawa ndiyo baado wazee wetu wa kesho,etii vijana hawaaminiki kwa hyo kizazi hiki tarajiwa cha wazee wa kesho hawaji kutoa uongozi mkubwa wa kitaifa kwasababu kama hatukuwaamini vijana kwasasa hatuwezi kuwaamini uzeeni!! kwa maana hiyo mara baada ya sisi kuwa wazee!! ,watoto wetu ktk ujana wao itabidi ndiyo waje kuwa marais wa Taifa hili na historia itawaonesha kwamba Baba na Mama zao hawakuwa waaminifu!!

kwa maana hyo kizazi chetu kitakufa kwa kukiuka baadhi ya nadharia mbalimbali za kwamba EVERY GENERATION HAS GOT ITS OWN MISSION!!!Kwa maana hiyo hiki ni kichekesho cha asubuhi! Itakuwaje kizazi kisichoaminika kikazaa kizazi cha kuaminika!!.Wito wangu kwa watanzania wote wajue kwamba,CHADEMA ni chama chenye katiba yake inayoelekeza nini wajibu wa mwanachama wake,pia hakuna kipengele kinachomkataza kijana ambaye ni mwanachama hai kutoka upande wowote wa Tz kuomba nafasi ya uteuzi ktk medani za uongozi.,wala hakuna mwiko wa mtu kutangaza ama kuto tangaza nia ya kuomba uteuzi..,Mfano mh Dr slaa hakutangaza na watanzania hawakujua ni nani atateuliwa kugombea! lakini CHADEMA kikamteua Dr slaa.,Kumbukeni 2005 tulipo mteua Mh Mbowe,mbona hatukumwekea sheria kwamba ni lazima agombee 2010?

CHADEMA ni ya wanachadema na watanzania wengine wanaolipa kodi kuendesha vyama vya siasa,CHADEMA itaamua nani apeperushe bendera kama ilivyoamua 2005 tukaiamini na chama kikajulikana,mwaka2010 tukaamini na chama kikatanuka.Hivo kila rika kwa kila mwanachama anaye kidhi vigezo vya kikatiba ya CHADEMA na ya Jamhuri anakaribishwa kuwania nafasi za mchakato wa kiuteuzi ndani ya chama.

Nijuavyo mpaka sasa CHADEMA haijamtangaza mgombea urais,kwasababu hakuna uteuzi uliofanyika.Viongozi wetu wote ndani ya chama chetu wameshiriki kikamilifu kujenga na kuimarisha chama,pia watanzania na wanachama kwa namna mbalimbali wamekipa uhalali chama kukubalika,kwa hiyo hapa siyo hoja ya Mbowe,pengine Dr Slaa au Zitto na wengine wengi,angekuwa Mbowe peke yake au Zitto peke yake, Hata Dr peke yake CHAMA hiki kingekuwa kama UDP au TLP.Tuache kupuuza michango ya viongozi ama wanachama ktk kuijenga CHADEMA.Naamini kama michezo hii itaendelea watakao iua CHADEMA siyo CCM ni wanachadema wenyewe kwa kupandikiza roho za kibaguzi kwa kuwagombanisha viongozi wa CHADEMA.

Viongozi wa CHADEMA wote wanajua na wanaheshimu katiba na taratibu za uteuzi wa nafasi za kiuongozi kwa kuheshimu misingi yote ya DEMMOKRASIA ikiwa ni pamoja na uhuru wa kutoa maoni.KARIBU

mwakajila

achakupotosha watu humu: hamna mtu hata mmoja ukifuatilia comment zote aliyesema kuwa vijana wawe mtaji wa kupiga kura au aliyeonyesha dalili hizo. watu wanapinga akuli ya JK wengine wanakubali kauli ya JK, huwo ndiyo mjadala uliyopo. sasa wenye kudandia dandia magari kwa mbele naona wanakushabikia kwakuwa umegusa maslahi yao.

walahatuwezi kupata viongozi eti kisa vizazi hii hoja yako haina mashiko kabisa, nimekushangaa sana kwa upupu huu wa hovyo kabisa kuushusha humu. jamani siyo lazima mchangie mijadala mingine mnaweza iacha maana mnaonyesha pumba zenu na watu huwadharau na kukidharau chama kinacho jipambanua kuwa na vijana makini.

Hamna mtu humu aliyesema chadema ni ya mtu binafsi ila sasa ulikuwa unaibua yako unayofikiri siku zote kwenye akili zako nyepesi mno, ndiyo utuambia sasa maana umetaka kuyasema ila ukasita.

hamna mtu humu aliyesema viongozi wa chadema hawakushiriki kikamilifu kukijenga chama hayo yote yanadhihirisha jinsi mnavyokurupukia hoja *msizo zijua uhalisia wake. acheni wenye uwezo wakuchambua wachambue mnaweza baki kama watazamaji tu siyolazima mchangie jamani, kumbe weupe hiviiiii?
 
Napata picha hapa ya mtu kufilisika kiakili na kimawazo, inakuwaje mtu achaguliwe kwa kigezo kimoja tu, tena cha ujana. Huu ni upuuzi na hata wale wanaoshabikia hii statement hawawezi kukwepa kuwa katika lile kundi la wapuuzi.

Tanzania tunahitaji Kiongozi, awe kijana au mzee sawa; Sifa kubwa ni kwamba awe ni Mtanzania, ambaye anauchungu na nchi yake na anayafahamu matatizo ya Watanzania, amethubutu kupigania masilahi ya Tanzania na historia inatuambia hivyo.

Msituletee sifa nyepesi nyepesi za wagombea urais hapa, hatutafuti kijana wa kumpatia binti yetu ili aoe..... Kwa kweli hii statement, ikiwa kweli imetolewa......., napata wasiwasi na vision ya aliyeitoa na wale wanaoishabikia, itakuwa ni kwa maslahi binafisi na waTanzania wanatakiwa kuikataa.

Tunataka Rais Mtanzania, mwadilifu, mchapakazi, asiyeyumba, kiongozi bora, huyu atuongoze katika vita dhidi ya Umaskini, Ujinga, Maradhi, ufisadi na Matumizi mabaya ya rasilimali za Tanzania.
 
  • amani waungwana nimefuatilia sana mjadala huu lakini kama kijana nasisitiza kuwa tatizo sio umri tatizo ni uzalendo wa mtu,udilifu wamtu,na utendaji makini wenye maadili tatizo sio umri kabisaa napinga ushauri wa jk.na napenda kaka zitto uniondoe wasiwasi uliaminiwa sana na vijana na siku moja ukasema siasa sio chaguo lako nahofu kuwa ukiwa miongoni mwa hao vijana unaweza kuwasaliti wananchi naomba usipaniki kaka kwa kauli yangu naomba ufafanuzi kiongozi maana haya yanasemwa katika jamii
    22 hours ago*·*Like

  • http://www.facebook.com/zittokabwe/posts/230467983640573?ref=notif&notif_t=feed_comment_reply#

    Martin Malima*Ukiona Kiongozi wa wa wananchi anazungumzia masula ya 2015 wakati wananchi wanamatatizo yamsingi yanayoitaji utatuzi wa leo na kesho basi kuwa na shaka nae.ukiona kiongozi mwingine anamuunga mkono basi kuwa na mashaka nao kwa sababu wanaonesha kuwa maswaibu ya wanainchi waliyonayo kwa wakati huo sio ya msingi kwao. Sina hakika kama kati ya yote aliyoongea JK siku ya tukio hilo suala lililoletwa na Mhe Zito ndo la msingi...na si siamini kama hoja ya Zitto inamashika kwa wananchi wa Wilaya ya Kigoma (V). kuna haja ya wanasiasa wetu kufikilia kwa kina kabla ya ku-post kitu kwenye FB.
    4 minutes ago*·*Like

  • Martin Malima*Tukilirejea utekelezaji wa Ilani aliyosimamia JK 2005 na Maagizo ambayo ameyatoa tangu aingie madarakakani 2015 tunanaweza pata njia ya kufahamu kama kauli yake kuhusu umri alimaanisha na kama itatekelezeka.about a minute ago*·*Like

Back
Top Bottom