Kikwete: Nataka kurithiwa na rais kijana!

Kikwete: Nataka kurithiwa na rais kijana!

Forming the party is one thing grounding and grooming the required people to remain within the created structure and policy is another. Especially in a country of ours where trust between the governor and the governed is non-existent. If the CHADEMA can remain /find a strucuture under which winning or wrestling power from the ruling Chama cha Mapainduzi(CCM) ain't the major goal but offering altruistic opposition at primarily the local levels in the forthcoming elections it would have achieved much.

What we haven't in money we can give by shadowing the ruling party and therefore check their excesses. We must aspire to be a party that the average Tanzania can identify with, apsirants who'd meet their people wherever and whenever we call, people we can risk our lives for by peaceful protest when they call on us to do so.Na ni lazima tuende Mbele zaidi ya hapo!!!
 
Yeah,suala changes ndani ya party system ni very possible isipokuwa utaalamu wa hali ya juu unatakiwa utumike kuhakikisha hakuna interest za individuals zina-dominate public interests philosophically,idiologically and principally ambazo zitakuja kuzaa sera na values za chama kama chama imara kinachojiandaa kuchukua Dola.

Political system and spirit ya vyama vyote vya siasa ni za hatari.Sote tumeshuhudia CCM ilivyochemka kwa sababu ya kutaka kufanya changes lakini haikuwa na watu makini wa kuishauri kufika zaidi ya hapo au ukomo wao ulikuwa umefika mwisho.At the same time walifikia hatua ile baada ya kuona status quo inaenda kuwa challenged......huo ulikuwa ni udhaifu mkubwa sana

The sad reality of the Tanzania situation is that we have only succeeded in creating a monstrous political system where those in leadership positions who ought to be servants of the people have become Lords of the Manor; a system that frowns at the very tenets of democracy. Ours is perhaps the only "democracy" in the world where the people don't matter. It is that special brand of democracy where to win election, all you need to do is to "settle" one or two people rather than earn the trust of the electorate.

Ni kweli kabisa uangalifu na umakini unahitajika lakini ndio ukomavu. Hata mtoto anayejifunza kusimama kuna wakati anajaribu na kugonga kichwa lakini ni kwa kufanya hivyo anajikuta amejifunza.
Kama chama kinachotaraji kuchukua dola hakuna njia ya mkato ila kukabiliana na changamoto. Waswahili wanasema udongo uwahi ungali maji.
CCM walifikia mahali wakaona mabadiliko hayakuwa lazima na yalikuwa yanahitaji umakini sana kutovuruga chama.

Mabadiliko ni jambo linalojitokeza, ni vema ukaliwahi wakati linajitokeza. Ukiacha status quo mabadiliko yanatabia ya kujitokeza yenyewe na hapo nguvu yake huwa ni dhoruba. Ndivyo CCM walivyotokewa, sidhani kama ni ukosefu wa umakini au wataalam bali ni kuachia hali hadi inafikia mahali haizuiliki na hulazimisha.

Moja ya mambo yaliyoipatia CDM umaarufu ni kupita vipindi vya mpito wa madaraka kwa amani, watu wakajua kuwa hawa wanaweza kuyakabili mabadiliko kwa namna yoyote. Sasa sidhani umakini ule umekosekana au labda kuna 'virus' zinazuia ile flawless!!
Lakini pia watu wajiulize kama si leo ni lini na umakini unapatikana wapi. Je ni busara umakini ukipatikana June 2015.
Kama chama tawala kinachoweza kuunda serikali (upinzani ni serikali tarajiwa) ni lazima kiwe tayari kukabiliana na changamoto na mojawapo ni hii.

Ben hiyo paragraph yako ya mwisho ni neno tena zito! thanks
 
Nguruvi, mojawapo ya vitu vinavyosumbua ni watu kudhania kuwa kupingana ndani ya chama na kuacha kupingana huko kuwe waziwazi ndio "demokrasia". Mara nyingi hoja inayotolewa ni kuwa "chama kimeimarisha demokrasia" na hivyo utaona viongozi mbalimbali wanapingana kwenye mambo ya msingi na hata yasiyo na msingi; tena kupingana hadharani kiasi kwamba wametengeneza kambi.

Kambi hizi zimewafanya baadhi ya watu kwenda kumtetea "mtu" wao hata kama anachosema au kusimamia kimepotoka lakini hawako tayari kwenda ku-side na mtu mwingine kwa sababu wakifanya hivyo wataonekana "wasaliti" wa yule mtu wao. Matokeo yake aidha watu wanaamua kukaa kimya au kutochukua msimamo unaopaswa. Kupingana huku kwa hadharani kwenye mambo madogo ndio kunanisumbua mimi zaidi. Wanachama kupingana kwenye mambo makubwa tena hadharani ni kuzuri kwani kunahusisha principle, mitazamo na hata maono. Ni kwa mfano tunavyoona kwenye demokrasia za wenzetu - watatofautiana katika masuala ya kodi, health care, security n.k Haya ni mambo ya msingi ambayo wananchi wanatakiwa kujua viongozi wao wanasimamia vipi.

Uzuri wa tofauti ya mambo ya msingi ni kuwa haivuki na kuwa personal na wanasiasa makini wanaweza kufanya kazi vizuri kabisa na hata kutii mtu mwingine ambaye hawakukubaliana naye katika mambo ya msingi lakini wanaamini maono yake yanawezekana. Ndio sababu ya Reagan kumchukua George H. Bush ambaye alishindana naye kwenye kugombea nafasi ya Urais mwaka 1980 na kumfanya makamu wake na baadaye yeye mwenyewe Bush kuja kushinda baadaye na kuwa Rais wa Marekani. Ni hivi hivi kati ya Obama na Hillary.

Tatizo linakuja kwenye mambo yasiyo na msingi. Sometimes, I woule scream for one of these young leaders to just shut up! Watu wanapingana kuhusu vitu vidogo na wakati mwingine hata kujaribu kudhalilishana. Hivi vitu vidogo ndiyo vinaleta mambo ya mgongano kwa sababu vinakuwa ni personal. Mtu amesema kitu mwingine anakwazika na yeye akipata nafasi anasema kitu na yule mwingine anakwazika na mnyororo wa kukwazana huanza. Na ukija kwenye washabiki nao wanakuwa hivyo hivyo, wanaanza kumchukia mwanasiasa mwingine au kujaribu kumvuruga simply kwa sababu alimpa jibu baya mtu wao.

Nidhamu katika chama ni muhimu sana lakini ni lazima iwe nidhamu ambayo inaita heshima. Hata mnapofikia mahali pa kutokubaliana inakuwa ni kutokubaliana bila kukabana. Utaona tatizo hili kwenye CCM na liko wazi kwenye Chadema vile vile. Na kinachoudhi wanaofanya haya kwenye vyama vyote viwili ni wazee na vijana! Lakini kinachoudhi ni kuwa hawa wazee ukiangalia wameingia kwenye hili wamechelewa, miaka mitano tu iliyopita ilikuwa ngumu kusikia viongozi wa CCM kujibizana hadharani na kupigana vijembe... enter JK na siasa hizo. Matokeo yake Chama chake nusuru kimvunjikie kwa kushindwa kuwa na nidhamu ya kiuongozi. Hili nalo liko Chadema na kama litakavyowasababishia migogoro CCM ndivyo itakavyokuwa ndani ya Chadema vile vile hadi watakapotambua uongozi ni nini hasa.

Ndio maana sisi wengine tunataka kuona viongozi wakionesha uwezo wa kuongoza kwa kushawishi bila kulazimika kutumia njia za mkato, destroying the other au hata kujaribu kuwavuruga wengine ili mtu aje kushika madaraka. Ninaogopa kweli vijana (ndani ya CCM na nje) ambao wanatumia nguvu kubwa kweli kushika madaraka, kupata legitimacy na kuwa juu ya wananchi. I fear them kwa sababu najua nguvu ya madaraka inavyobadilisha watu, na tumeshaona vimadaraka kidogo vinavyowafanya watu waanze kuwa kama wale jamaa wa kwenye Lord of the Rings (kama umeiona) kila walipojaribu kuishika ile pete yenye kutawala pete nyingine zote.

Mwanakijiji,

Forming the party is one thing grounding and grooming the required people to remain within the created structure and policy is another. .

Ni kweli nidhamu ndani ya vyama vya siasa au chama chochote cha siasa ni muhimu kuliko kulipa ada,ni muhimu kuliko kwenda kuweka kura yako katika sanduku la kura,ni muhimu kuliko kuchanga mamilioni kutunisha mfuko wa chama n.k.Kama mwanasiasa naamini hapa unaelewa.

Sasa Nadhani na naendelea kusizitiza kwamba demokrasia yetu imedumaa hata miaka 20 babada ya kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi,honestly we could do better than this.

Lack of Ideological base and values ndicho kitu kinachosababbisha haya.Inawezekana kabisa watu hawajui ni kwanini wako katika vyama vya siasa.Kurithi fikra za chama hatamu na kuzitumia kama mbeleko katika kufanya maamuzi ni jambo ambalo ni la hatari sana kwa vyama vya siasa na hata CCM yenyewe ilipo sasa kwani na yenyewe haiko tena katika ile historia ya kushika hatamu,ni lazima ideologically itumie mbeleko ya Democracy if they want to remain vibrant

Demokrasia yetu tuliyo nayo ni vurugu tupu,ni lazima tuhakikishe values zinajikita katika mioyo ya wafuasi wa chama husika.Values ni zaidi ya kufuata katiba,values ni zaidi ya kunadi au kusimaia ilani ya chama,values ndizo zinazomtofautisha mwanachama wa TLP na wa CUF but again philosophically.

ANC imepitia katika tabu na inapitia katika wakati mgumu hasa pale ambapo values zake zinapokuwa violeted na watu kama akina Julius Malema ,huo ndiyo utovu wa nidhamu unaowatesa lakini kutofautiana kistaarabu si tatizo.Hiyo ndiyo demokrasia yenyewe,watu watajadili kwa hoja kwamba ni za nani zitakazoweza ku-prevail kwa voters na zikawa na positive impact kwa chama,pia ni njia gani bora ya kujenga chama ili kupata supporters wengi ambao hata baada ya kuchukua Dola watakuwa ni Engine ya the aspiring change.

Ni lazima tufikie mahala tuanze kujiuliza ni kwa nini tupo ndani ya vyama vya siasa tulipo kwa sasa.Tukisha fikia hatua hiyo kwa utulivy kabisa ni lazima tutakuwa na nidhamu,values na tutakuwa tayari kwa mabadiliko na kukubali kwamba hatuna monopoly ya the term "CHANGE" .
 
Napata shida kukuelewa kwasababu J.Warioba alikuwa miongoni mwa waliompa Nyerere Ultimatum. Pengine ni kwa kuzingatia hoja zake za upinzani ndiyo maana alikuwa mwanasheria wa serikali akiwa na umri wa miaka 36. Katika umri huo alikiri hatuna haja ya katiba na hata alipokuwa PM alisisitiza hivyo. alipokuwa na miaka 66 akasema tunahitaji katiba. Hapa ujana ulimsaidia vipi.

Dr Salimu A.S alichaguliwa balozi katika umri wa miaka 23 na miaka 35 akagombea ukatibu mkuu UN. Msekwa pia na wengine wengi.
Mnyika amejenga hoja na ni mbunge kama alivyo mkosamali, Zitto, Fikunjombe n.k.
Hawakuchaguliwa kwasababu ya upinzani bali uwezo wao.

Dr Slaa katika umri wake anaongoza mapambano ya kudai katiba kama prof Lipumba n.k wanaongoza vijana wanaopinga mabadiliko haya ndani ya CC iliyo na vijana,tena wanaosema ni kutaka kuvuruga amani.

Ukiangalia utaona umri hauna tija katika uongozi, bali busara, hekima na mtazamo mpana. Sidhani kama yupo anyepinga au kukejeli vijana kuwa viongozi kama nilivyoonyesha hapo juu, lakini ujana usiwe sifa ya uongozi kwasababu tumewahi kuwa nao wadogo zaidi ya hawa tuliona nao na bado tupo hapa tulipo, lakini wapo walioonyesha mafanikio.
For years people wanted to have a black president,it was a fantasy but people were talking about it openly and never considered as racists.Siyo kwa sababu black president ana akili sana au ana uwezo sana,but that was a factor.Kuna wengine walitaka awe mwanamke....no problem.
Tunajua umri sio kila kitu,ila kuna watu wengi tu wamepata mwamko kiaina,we are just thinking loud,January,jussa,zitto/mnyika/mdee...ingawa si rahisi kutokea kwa sababu ya umri wa baadhi yao.
Ukisema uwezo,unamaanisha nini?Wewe unaweza kuona mbowe ana uwezo zaidi,wengine wakaona zitto ana uwezo zaidi thats common ila ni very weird kushikilia kuwa hiyo ndiyo only factor.2005 watu walimuona JK ndiye anayefaa,sasa hivi wanajiuliza.
Kama kweli hamtaki ubishani wa vitu cheap,waambieni tu watu wanaomshambulia Zitto kuwa it's not a big deal,mbona mnarusha tuhuma na vitisho?
Acheni ku-complicate hii issue,most likely hatoweza kugombea 2015...sioni kabisa hoja.
 
Ni kweli kabisa uangalifu na umakini unahitajika lakini ndio ukomavu. Hata mtoto anayejifunza kusimama kuna wakati anajaribu na kugonga kichwa lakini ni kwa kufanya hivyo anajikuta amejifunza.
Kama chama kinachotaraji kuchukua dola hakuna njia ya mkato ila kukabiliana na changamoto. Waswahili wanasema udongo uwahi ungali maji.
CCM walifikia mahali wakaona mabadiliko hayakuwa lazima na yalikuwa yanahitaji umakini sana kutovuruga chama.

Mabadiliko ni jambo linalojitokeza, ni vema ukaliwahi wakati linajitokeza. Ukiacha status quo mabadiliko yanatabia ya kujitokeza yenyewe na hapo nguvu yake huwa ni dhoruba. Ndivyo CCM walivyotokewa, sidhani kama ni ukosefu wa umakini au wataalam bali ni kuachia hali hadi inafikia mahali haizuiliki na hulazimisha.

Moja ya mambo yaliyoipatia CDM umaarufu ni kupita vipindi vya mpito wa madaraka kwa amani, watu wakajua kuwa hawa wanaweza kuyakabili mabadiliko kwa namna yoyote. Sasa sidhani umakini ule umekosekana au labda kuna 'virus' zinazuia ile flawless!!
Lakini pia watu wajiulize kama si leo ni lini na umakini unapatikana wapi. Je ni busara umakini ukipatikana June 2015.
Kama chama tawala kinachoweza kuunda serikali (upinzani ni serikali tarajiwa) ni lazima kiwe tayari kukabiliana na changamoto na mojawapo ni hii.

Ben hiyo paragraphy yako ya mwisho ni neno tena zito! thanks

Nguruvi3,

Asante sana,maneno yako mazito mkuu.I feel a great sense of optimism in spite of the obstacles. That is the power of youth spirit and wise elders. CHADEMA has had its great and low moments, but that is true of all a serious political parties and lands in the world. The energy to draw now from those great moments are embedded in our youth, it is demonstrated in the feat we accomplish when we do great deeds and score remarkable goals

Hata kwenye Management mojawapo ya kitu muhimu ni kuhakikisha unafuatilia kujua kama kuna mgogoro ama la.Taasisi,kampuni au chama chochote cha siasa kisipokuwa na migogoro basi ujue you in a big trouble as a leader.Haiwezekani kusiwe na mgogoro,Human beings are social Animals and agin they are fragile and selfish beings.Vyama vya siasa na taasisi zimeundwa na watu hivyo ni lazima kuwe na migogoro.Kitu muhimu kuliko vyote ni kuhakikisha migogoro hiyo haiendi out of control.cha muhimu ni kujua jinsi ya kukabiliana nayo na kwa muda gani utoke hapo tusonge mbele.na hili ndilo litakalotofautisha taasisi,kampuni,chama cha siasa na vingine

Nakubaliana na wewe na Mwanakijiji kwamba mabadiliko sasa na maamuzi ya kushughulikia mgogoro yafanyike mapema.nimetumia mgogoro kwa sababu hata mabadiliko ni mgogoro kwa sababu it involves the aspiring spirit(Ant-status quo) vs the status quo vinginevyo itazaa defacto.....

From industry, through civil society to the world of research and development, towards the important crucible of leadership, politics and management of development, I call on fellow young Tanzanians today to bury the preoccupation with anger, cynicism and inertia and move in the direction of taking control of the destiny of our nation
 
For years people wanted to have a black president,it was a fantasy but people were talking about it openly and never considered as racists.Siyo kwa sababu black president ana akili sana au ana uwezo sana,but that was a factor.Kuna wengine walitaka awe mwanamke....no problem.
Tunajua umri sio kila kitu,ila kuna watu wengi tu wamepata mwamko kiaina,we are just thinking loud,January,jussa,zitto/mnyika/mdee...ingawa si rahisi kutokea kwa sababu ya umri wa baadhi yao.
Ukisema uwezo,unamaanisha nini?Wewe unaweza kuona mbowe ana uwezo zaidi,wengine wakaona zitto ana uwezo zaidi thats common ila ni very weird kushikilia kuwa hiyo ndiyo only factor.2005 watu walimuona JK ndiye anayefaa,sasa hivi wanajiuliza.
Kama kweli hamtaki ubishani wa vitu cheap,waambieni tu watu wanaomshambulia Zitto kuwa it's not a big deal,mbona mnarusha tuhuma na vitisho? Acheni ku-complicate hii issue,most likely hatoweza kugombea 2015...sioni kabisa hoja.

As usual unapokosa hoja hukawii kuzusha kama si kuwekea watu maneno vinywani. Topic ni juu ya vijana vs uongozi sasa kama Zitto ndiye kijana peke yake hewala.

Uwezo: Kama hutaweza kutofautisha uwezo wa kuongoza kati ya mzee Yusuf makamba na Jaji Warioba sina jinsi nyingine ya kukusaidia kuelewa nini maana ya uwezo.

Hili la JK naishukuru nafsi yangu, nilipinga from day one. Kigezo kikubwa niliuliza historia yake ya utendaji ikoje, uwezo wake ukoje? nikaambiwa ni kijana na ana umbo la kuvutia. Alikuwa askari ni mtu wa amri. Sijui unasemaje kuhusu ujana na personality!!

Hakuna anayesema kijana asichaguliwe, hoja ni kuwa ujana wake usimpe uongozi hata kama ni bubusa. Wala haitakuwa mara yetu ya kwanza kuwa na kijana kiongozi, Malecela, Warioba, Msekwa walikuwa wadogo sana.
Tunataka kiongozi na si umri unasomeka kama namba, bali mawazo yakutuvusha toka hapa tulipokwama.

Na labda mniambie kijana ni umri gani maana miaka 5 iliyopita JK alinadiwa kama kijana.

Kuhusu wanawake si akina Zakia na Makinda ni wanawake tena senior leaders. Imelisaidiaje taifa. Na je wanaume kama pacha tatu wamelisaidiaje taifa. Hatuhitaji jinsia wala umri. Tukianza mwendo huo tutasahau sifa zao na kurudi kwa JK kwa kuangalia personality na si ability.
 
So long katiba itabadilishwa na mamlaka ya Rais kuwa regulated Rais anaweza kuwa Kijana au Mzee ili mradi amafuata sheria na hayuko juu ya sheria, ERARE EST HUMANUM
 
Rais kijana!!!!!!ndio nini?si bora uwe mzee na mawazo ya ujana,kuliko uwe kijana lakini ukawa na mawazo ya kikongwe,jk magamba je??kawa rais akiwa mzee??mawazo yake ,matendo yake looooh puu,puu .
 
haya ni maneno mepesi sana kwa kiongozi wa nchi kuyatoa kwasasa na kwani atoe sasa? vile vile haya nimaneno yenye walakini kwa viongozi waliyo kuwa wanaamini kuwa ni makini kuanza kuyashabikia ni aibu kubwa sana tena sana. ukikaa na kutafakari utagudua kunawatu wanataka watumie kigezo ujana kujipatia wanachotaka na kutuacha kwenye mataa hata kama ni wazuri ila walikuwa huku nyuma nasiyo sasa, wamekwisha tuonyesha sura zao halisi kuwa wakipata madaraka ni watu waaina gani.

vile vile kwa JK hana huwo wema hata kidogo kutoa maneno hayo kwa vijana wataifa hili bali ni kuchonganisha taifa na kuliacha kwenye msiba mkubwa kuliko watu wanao chukulia kauli hizo kirahisi rahisi na kuona JK anapenda vijana. wenye uchu wamadaraka wamekwisha anzajionyesha dhahiri na hoja zao zimeonekana ni watu wenye hoja nyepesi mno kuliko tulivyokuwa tukiwafikiria huko nyuma.

wengi ni wasanii wanataka kufanya sanaa za maigizo kwenye maisha ya Mtanzania kwa kigezo cha neno vijana, hii ni kauli tata sana kwa mkuu wa nchi kuitoa itawagawa vijana vipande vipande 2015 kitu ambacho kwa vijana makini hatutaki hata kidogo, wanao taka kuungana na upuuzi wa kauli hiyo waendelee na upuuzi huwo hadi hapo watakapo baini ukweli.

Tanzania tunahitaji kiongozi makini na mzalendo mwenye uwezo wa kupambana na changamoto zinazowakabili wananchi na sikiongozi kwa neno rika, ni hoja nyepesi mno kwa taifa lenye uhuru wa miaka 50 lenye watu zaidi 42ml kutolewa na kiongozi wanchi. JK hawezi wala hatakaa aweze kutupangia kiongozi wakuiongoza tanzania , na 2015 nikati ya wataka madaraka na wazalendo.
 
As usual unapokosa hoja hukawii kuzusha kama si kuwekea watu maneno vinywani. Topic ni juu ya vijana vs uongozi sasa kama Zitto ndiye kijana peke yake hewala.

Uwezo: Kama hutaweza kutofautisha uwezo wa kuongoza kati ya mzee Yusuf makamba na Jaji Warioba sina jinsi nyingine ya kukusaidia kuelewa nini maana ya uwezo.

Hili la JK naishukuru nafsi yangu, nilipinga from day one. Kigezo kikubwa niliuliza historia yake ya utendaji ikoje, uwezo wake ukoje? nikaambiwa ni kijana na ana umbo la kuvutia. Alikuwa askari ni mtu wa amri. Sijui unasemaje kuhusu ujana na personality!!

Hakuna anayesema kijana asichaguliwe, hoja ni kuwa ujana wake usimpe uongozi hata kama ni bubusa. Wala haitakuwa mara yetu ya kwanza kuwa na kijana kiongozi, Malecela, Warioba, Msekwa walikuwa wadogo sana.
Tunataka kiongozi na si umri unasomeka kama namba, bali mawazo yakutuvusha toka hapa tulipokwama.

Na labda mniambie kijana ni umri gani maana miaka 5 iliyopita JK alinadiwa kama kijana.

Kuhusu wanawake si akina Zakia na Makinda ni wanawake tena senior leaders. Imelisaidiaje taifa. Na je wanaume kama pacha tatu wamelisaidiaje taifa. Hatuhitaji jinsia wala umri. Tukianza mwendo huo tutasahau sifa zao na kurudi kwa JK kwa kuangalia personality na si ability.
Mkuu hapa unaua kete nyingi ili uingie kingi.
Hapo kwenye bold labda ujiulize JK na Mbowe nani alikuwa kijana?....
Jinsi unasvyojieleza utadhani kuwa ujana ndio factor pekee ambayo imezungumziwa,kuna factors nyingi and of course personality is one of them!
Vitu vingine mbona ni rahisi sana?
 
Hiyo daganya toto tu ili wasigombee ubunge..
 
haya ni maneno mepesi sana kwa kiongozi wa nchi kuyatoa kwasasa na kwani atoe sasa? vile vile haya nimaneno yenye walakini kwa viongozi waliyo kuwa wanaamini kuwa ni makini kuanza kuyashabikia ni aibu kubwa sana tena sana. ukikaa na kutafakari utagudua kunawatu wanataka watumie kigezo ujana kujipatia wanachotaka na kutuacha kwenye mataa hata kama ni wazuri ila walikuwa huku nyuma nasiyo sasa, wamekwisha tuonyesha sura zao halisi kuwa wakipata madaraka ni watu waaina gani.

vile vile kwa JK hana huwo wema hata kidogo kutoa maneno hayo kwa vijana wataifa hili bali ni kuchonganisha taifa na kuliacha kwenye msiba mkubwa kuliko watu wanao chukulia kauli hizo kirahisi rahisi na kuona JK anapenda vijana. wenye uchu wamadaraka wamekwisha anzajionyesha dhahiri na hoja zao zimeonekana ni watu wenye hoja nyepesi mno kuliko tulivyokuwa tukiwafikiria huko nyuma.

wengi ni wasanii wanataka kufanya sanaa za maigizo kwenye maisha ya Mtanzania kwa kigezo cha neno vijana, hii ni kauli tata sana kwa mkuu wa nchi kuitoa itawagawa vijana vipande vipande 2015 kitu ambacho kwa vijana makini hatutaki hata kidogo, wanao taka kuungana na upuuzi wa kauli hiyo waendelee na upuuzi huwo hadi hapo watakapo baini ukweli.

Tanzania tunahitaji kiongozi makini na mzalendo mwenye uwezo wa kupambana na changamoto zinazowakabili wananchi na sikiongozi kwa neno rika, ni hoja nyepesi mno kwa taifa lenye uhuru wa miaka 50 lenye watu zaidi 42ml kutolewa na kiongozi wanchi. JK hawezi wala hatakaa aweze kutupangia kiongozi wakuiongoza tanzania , na 2015 nikati ya wataka madaraka na wazalendo.

Mkuu nakuunga mkono kabisa unachosema kina uhalisia, hapa kuna watu wanataka kutumia hoja ya ujana kutuingiza mkenge.Tumesha sema sana hapa na tutaendelea kusema.
Is jst a matter of time watajipambanua wazi
 
Rais Kikwete hajakosea,na pia jukumu la kuchagua viongozi au jukumu la kujua ni kiongozi gani anahitajika linabaki kwa wapiga kura.Suala pia si la kijana tu,kijana mwenye uwezo ili tusijetukaburuzwa na ride ya ujana au jinsia tu kama ilivyokuwa 2005,people voted for "beauty" not for "Duty",ha ha ha! loh

Ila sasa anaposema msikubali anamaanisha nini?inaonekana sasa yeye atatumia udikteta ndani ya chama chake kukataza mtu asigombee? Kwenye hoja ya ujana hajakosea,ni wazo zuri

It will be unfair to deny /ask somebody not to contest and will be infringing on his constitutional right. It is a right given to him by the Constitution which he has a sole discretion to exercise.
Tanzanians at this stage should be talking of credible elections and free participation. Credible people should be allowed to participate in the election

Again,It would be unfair for anyone to ask anymember of a political party not to run for presidency on the basis of an unconstitutional arrangement by a political party.

Upepo unaanza kumuelekea January Makamba, kipenzi cha siri cha Kikwete
 
Mkuu nakuunga mkono kabisa unachosema kina uhalisia, hapa kuna watu wanataka kutumia hoja ya ujana kutuingiza mkenge.Tumesha sema sana hapa na tutaendelea kusema.
Is jst a matter of time watajipambanua wazi

mkuu usiogope maana haki na ukweli havijawahi kushindwa tuwaombee ilituwaone watakavyojikanyaga
 
Duh.. lugha yetu ngumu. Ninasema, tukiweka mfumo kwamba mtu mzima ni yule wa kuanzia miaka 18 na ya kwamba mtu huyo (akiwa na miaka 18) anaweza kugombea uongozi wowote (Ubunge kwa mfano) sioni sababu kwanini mtu huyo huyo mzima asiwe na haki ya kugombea nafasi ya juu kabisa? Hatuchagui mfalme sisi bali Rais na kama wananchi katika haki yao wameamua kumchagua mtu wa miaka 25 kuwa Rais kwa sababu wanaamaini ana uwezo na atawaongoza vizuri kuliko walio wakubwa wake kiumri, why not?

sasa ugumu wa lugha wapi? Si nimesema hicho hicho!hahaha...which means rais tunaweza kuwa na rais wa miaka 18! anyway...nadhani lugha ngumu...
 
Nguruvi3,

Asante sana,maneno yako mazito mkuu.I feel a great sense of optimism in spite of the obstacles. That is the power of youth spirit and wise elders. CHADEMA has had its great and low moments, but that is true of all a serious political parties and lands in the world. The energy to draw now from those great moments are embedded in our youth, it is demonstrated in the feat we accomplish when we do great deeds and score remarkable goals

Hata kwenye Management mojawapo ya kitu muhimu ni kuhakikisha unafuatilia kujua kama kuna mgogoro ama la.Taasisi,kampuni au chama chochote cha siasa kisipokuwa na migogoro basi ujue you in a big trouble as a leader.Haiwezekani kusiwe na mgogoro,Human beings are social Animals and agin they are fragile and selfish beings.Vyama vya siasa na taasisi zimeundwa na watu hivyo ni lazima kuwe na migogoro.Kitu muhimu kuliko vyote ni kuhakikisha migogoro hiyo haiendi out of control.cha muhimu ni kujua jinsi ya kukabiliana nayo na kwa muda gani utoke hapo tusonge mbele.na hili ndilo litakalotofautisha taasisi,kampuni,chama cha siasa na vingine

Nakubaliana na wewe na Mwanakijiji kwamba mabadiliko sasa na maamuzi ya kushughulikia mgogoro yafanyike mapema.nimetumia mgogoro kwa sababu hata mabadiliko ni mgogoro kwa sababu it involves the aspiring spirit(Ant-status quo) vs the status quo vinginevyo itazaa defacto.....

From industry, through civil society to the world of research and development, towards the important crucible of leadership, politics and management of development, I call on fellow young Tanzanians today to bury the preoccupation with anger, cynicism and inertia and move in the direction of taking control of the destiny of our nation

Ila msipokuwa makini mtawagawa vijana.mnachotakiwa sasa hivi kama mnajua yote haya ni kwa nini msiunganishe nguvu tumuweke mgombea urais slaa/mbowe ambaye anakubalika? ni matumaini yangu kama unaelewa yote ambayo umeongea page ya 12& 13 ukiwajibu Mwanakijiji,nguruvi3,kobello yanaonyesha wewe ni mwelewa na unajua kupambanua mambo sasa sijui ni kipi tatizo au ni jeuri na uroho wa madaraka tu unawasumbua.nilitarajia ushawishi wenu Ben Saanane,Mnyika,Zitto,kitila makae chini na vijana wengine mlisaidie baraza la vijana kubuni mikakati kababmbe ya kuwaunganisha vijana kwa ajili ya uchaguzi mkuu.Ben kama hamtaweza kufanya hivyo ni bora mtoke mapema ndani ya chama ili tufanye mabadiliko kwani mabadiliko hayawahusu ninyi wasaliti wakubwa
Zitto namuona amekomalia huko facebook utadhani kaachiwa laana ya uroho wa madaraka na wewe huku kuanzia ukurasa wa kwanza nakuona umesimama kwenye lindo lenu kwa mikuki na sime utadhani umeachiwa wosia.kama mliwekeana maagano mnaogopa kuyavunja nendeni pia kwa TB Joshua huwa anasafisha laana kwa wanasiasa.SoB .group of corrupt people.
 
unasema unamfahamu Ben Nyakarungu,Zitto nina wasiwasi unaweza ukawa Usalama wa Taifa uko kazini kuharibu Vijana wa Chadema unasema unawafahamu wenyewe wanasema hakujui nimeangalia posts zako sidhani wewe ni mmoja wao wewe ni mvurugaji zaidi kwa maoni yangu unawachonganisha vijana na uongozi
 
Hawa vijana kama wanakufahamu ni vizuri wakakuexpose,post zako nyingi nimesoma kama unawaattack Zitto ,Ben,na Nyakarungu ,unasema unawafahamu Nyakarungu anasema hakujui ,mimi naona uko kazini ,unaposti kwa ujanja sana lakini nadhani uko kazini watu tumekuelewa ,ukweli unawachonganisha vijana na viongozi huna nia njema
 
Ila msipokuwa makini mtawagawa vijana.mnachotakiwa sasa hivi kama mnajua yote haya ni kwa nini msiunganishe nguvu tumuweke mgombea urais slaa/mbowe ambaye anakubalika? ni matumaini yangu kama unaelewa yote ambayo umeongea page ya 12& 13 ukiwajibu Mwanakijiji,nguruvi3,kobello yanaonyesha wewe ni mwelewa na unajua kupambanua mambo sasa sijui ni kipi tatizo au ni jeuri na uroho wa madaraka tu unawasumbua.nilitarajia ushawishi wenu Ben Saanane,Mnyika,Zitto,kitila makae chini na vijana wengine mlisaidie baraza la vijana kubuni mikakati kababmbe ya kuwaunganisha vijana kwa ajili ya uchaguzi mkuu.Ben kama hamtaweza kufanya hivyo ni bora mtoke mapema ndani ya chama ili tufanye mabadiliko kwani mabadiliko hayawahusu ninyi wasaliti wakubwa
Zitto namuona amekomalia huko facebook utadhani kaachiwa laana ya uroho wa madaraka na wewe huku kuanzia ukurasa wa kwanza nakuona umesimama kwenye lindo lenu kwa mikuki na sime utadhani umeachiwa wosia.kama mliwekeana maagano mnaogopa kuyavunja nendeni pia kwa TB Joshua huwa anasafisha laana kwa wanasiasa.SoB .group of corrupt people.

Jamii Forums is descending into anarchy; insults are thrown at people for discussing their ideologies. Hapo kwenye Red,too low.Just be diplomatic and civilized. Tafadhali behave!
Hayo mengine sijui umeyatoa wapi,Nimesharudia several time na unajifanya huelewi au inawezekana kweli hauelewi au hausomi post za wenzako,siungi mtu mkono,huwa naunga mkono hoja na ajenda.CHADEMA haijachagua mgombea Urais sasa sijui nguvu kubwa unayotumia ni ya nini.
Kuhusu mgogoro,kwani hujui migogoro ni muhimu?sasa kama hujui pamoja na maelezo yote tuliyotoa hapo juu basi kazi ni pevu tunahitaji kutenga siku nzima
Kuhusu mabadiliko unadhani ni kubadilisha watu tu.Haya mawazo ndiyo yanatufanya wananchi tuteseke kila siku na wakiona mawazo kama haya kutoka kwa mtu makini(pressumed) basi wanafurahi.we are doing exactly what they want us to do.Tujadili watu,makabila,dini nk.Na siku hizi kuna scramble ya Vijana kuingia mtego wa kusujudia ukabila na udini we even outdo our ancestors and our great grandparents
It's obvious our brutal rulers won't want things to work, 'cause they know if it does our perception will change and will in turn change our political ideaology.

Tanzania system is made to bread low/poverty driven thinkers, that's why someone can prefer to take 2000 Shillings or more to vote their conscience away to the devil; no deeper thought on how decisions made today affect their grand kids in future; and that's why you could apologise to a uniform man/woman that has gone beyond his/her constitutional limit towards you.

The world is moving on the fast lane, but as a nation, Tanzania still taking a nap. By the time we wake up, the rest of the world would have left us behind. We need a change! The nations with whom we began the race for greatness have all gone so far ahead of us that we are unlikely to ever meet up with them

The question still remains however, as to whether we have the political and moral will to respond to these calls and follow through with transformative actions that will lift our nation? Will our leaders do what is necessary to sustain the process?

Will our own prophet emerge to call Tanzania back to conscious life and effective actions, so that the labours of our heroes' past will not be in vain?

Miss parliament,Tuache kufikiria ndani ya box na kushusha dhana nzima ya change katika level ya watu. Context ya mabadiliko tuyatakayo Tanzania ni lazima yaonyeshwe kwa dhamira ya dhati na vyama vya siasa ambayo itatoa reflection ya serikali itakayoundwa na zote vision,mission and Ideologies of political partie and that of the nation must be consistent.As a Nation We need changes in all the basic systems of society. The human society stands on a tripod of three systems, namely, the religious system, the political system, and the economic system.

For the society to run effectively each of this system must be made to function well. Where any of the systems is not functioning well, the society will malfunction. Where the three of them malfunction, the society is doomed to imminent collapse unless the right things are done. Our society, regrettably, happened to fall into the category of the societies where the three systems are tottering. If we do not change our direction, we are likely to end up where we are headed.

Sasa nijikite kwenye political system ambayo ndiyo tatizo letu hapa sasa(the engine of decision makers on the political landscape).In this System means the ways and means a given people agree to make decisions about their common life.

Politics, essentially, is the agreed-upon means by which a society orders its life through the making of public and private decisions. This is done through one of several ways a nation can choose to express its political identity such as monarchy, diarchy, democracy etc. We have chosen democracy in , which is that form of political self-expression of a nation that allows people to make decision through their elected representative. For democracy work, the electoral process must be ordered such that the will of the people is sovereign.

So Miss Parliament,Dada yangu we should reason bearing in mind concept ya change ni pana kuliko watu.so dont expect me to discuss/argue katika line hiyo

Hawa vijana kama wanakufahamu ni vizuri wakakuexpose,post zako nyingi nimesoma kama unawaattack Zitto ,Ben,na Nyakarungu ,unasema unawafahamu Nyakarungu anasema hakujui ,mimi naona uko kazini ,unaposti kwa ujanja sana lakini nadhani uko kazini watu tumekuelewa ,ukweli unawachonganisha vijana na viongozi huna nia njema

Froida,

Hujajua tu ? Ni muda mrefu sana.......! Tukaze mwendo watu wa aina hii watachoka tu walikuwepo na watakuwepo
.
 
Kwanza kabisa JK anataka kama nani? Pili madiliko tunayoyataka si ya Umri wa mtu, tunataka madiriko ya kisera na utekelezaji wake, tunataka mtazo mpya juu ya msitakabali wa nchi yetu. Tunataka watu wanaoweza kubadirisha mtazamo wa watanzania kwamba inawezekana kujiondoa kwenye matatizo tuliyonayo.

Sifa ya ujana haina maana kwani hata kikwete aligombea kwa jina la kijana, akina Ngeleja ni vijana. Walioko madarakani nani hakuwahi kuwa kijana? Mbona matendo yao yanasaliti ujana wao wa zamani?. Rais anatumia fumbo kuwakilisha mawazo yake Akimlenga Dk. Slaa, Lowasa, Sita n.k ili wasigombee. Lakini kwa kusema hivyo sio kwamba anamtaka Zitto au Kafulila.

Kuhusu Zitto kuonyesha nia ya kuwania urais si tatizo kwani ni haki yake ya kikatiba lakini kufaa kwake na kutofaa kwake kunapimwa na mwenendo wake toka ameingia kwenye siasa.

Watanzania inabidi tuwe makini sana na vitu vichache vinavyofanywa na wanasiasa ili kutupumbaza wakati wanaamaua kugombea ngazi za juu za uongozi. Ikumbukwe rais wa sasa alijijengea umaarufu kipindi kile akiwa waziri wa fedha alipofunga account ya Kigoma Mariama, watu wakaweka kwenye kumbukumbu kwamba huyu ana uchungu na fedha za umma kumbe ilikuwa unatafutwa mtaji; mbona sasa hatuoni akifanya hivyo?
 
Back
Top Bottom