mageuzi1992
JF-Expert Member
- Apr 9, 2010
- 2,503
- 252
Hivi wewe hujui kama CDM ndiyo wanaongoza nchi????, Maana ilani inayotekelezwa ni ya CDM kwa hiyo hata wakikutana mimi sishangai...
JK labda kaona CDM ndiyo inayoweza kumsaidia akamaliza kipindi chake cha miaka mitatu na nusu iliyobaki....
Jk anaogopa upepo wa chadema ndo maana anaaona awe karibu nao. kama mtakumbuka sera kuu ya chadema katiba mpya lakini wao ccm walisema hakuna ulazima wa katiba mpya.ila jk alivyoona upepo mkali wa chadema ikabidi akubali kuwe na mchakato wa katiba (kubaliana na sera ya cdm) tofauti na mtazamo wa chama chake.
Sasa kitendo cha kuumuita Mbowe ni kumuomba ushauri maana maji yashakuwa mazito.