Kikwete na Mbowe wakutana tena faragha

Kikwete na Mbowe wakutana tena faragha

mkuu mmeshamaliza kuchoma makanisa yote? Au mnasubiria tena mhadhara mwingine?!

Mkuu mbona unapandikiza chuki kwa waumini wa dini hizi wanaoishi kwa amani utulivu na kuvumiliana? Mimi nilisoma na Wagala kibao darasani na tulishirikiana vyema katika masomo.
 
Nyie wanaCDM mtaishia kulalama tu!
Hanjui mambo yaliyomo kwenye chama chenu:-

1. Signatory wa Cheque ya Account ya chama.
2. Income statement ya Account yenu.
3. Budget ya pesa za chama
4. Utajiri wa viongozi wenu.

unasema utajiri wa viongozi wa chama kwani ss tuliwasaidia kuvuna hizo mali? Budget ya chama muulize shibuda.
 
Hizi TE.TE.SI. kama ulivyosema zimekuwepo kwa muda sasa, vikao vya siri vimekuwa vikifanyika wala sio magogoni, ni mahali fulani (jina kapuni) maeneo ya Mbezi Beach. Mazungumzo yao ni ya siri sana! Tetesi hizi zinasema kuna kijana mmoja wa chadema (jina lake nalo kapuni) anawapa taabu kweli, yaani pande zote mbili wanamuona noma. Kijana huyu anayajua haya mazungumzo ya siri na amekuwa akiyapinga mara zote. Namna ya kumshughulikia hawajaipata. Muda utatupa ufunuo.
 
Dogo nitake Radhi,sasa matusi ya nini,hizi ni tetesi hebu tuache wenye taarifa watatupa. Inaonekana Huyo MUkama na wewe hamna tofauti... kama huna hoja nyamaza usiwe kama wajinga

Pole hujatukanwa ila umeambiwa hali halisi ya uelewa wako kichwani, Tukubali rangi ya mkaa ni nyeusi si vinginevyo ha ha ha
 
Mkuu mbona unapandikiza chuki kwa waumini wa dini hizi wanaoishi kwa amani utulivu na kuvumiliana? Mimi nilisoma na Wagala kibao darasani na tulishirikiana vyema katika masomo.

chuki gani mkuu na wakati hata mama yangu ni muislamu, ila nachouliza kuhusu chama chenu cha Uamsho maana nasikia ww upo sekretariet kuu ya uamsho sasa nashangaa unavyojifanya mwana CDM.
 
Jamani kuna nini huko,mbona nimepata hizi tetesi kwa watu wazito au si kweli maana Tz kwa majungu HATARItunaomba wenye data mtupe na sisi habari..
Lkn napata wasi wasi Mwenyekiti wa CCM na Mwenyekiti wa Chadema kukutana siri mara kwa mara,hizi siri mimi ndio naziogopa,chupu chupu niachane na Cuf na siasa kabisa, wakati Maalim seif na Nyerere walipokutana na halafu akakutana na salmin...
TUJUZENI WENYE TAARIFA

Anawapa mbinu ya kuishinda CCM 2015.
 
Kwani kuna tatizo gani? Pro cdm mna matatizo kweli. Hii ni ishara kuwa hamna imani na mwenyekiti wenu.
 
Taarifa zilizopo ni kwamba JK anajua 2015 Chadema wakichukua nchi ataishia Lupango, hivyo ameanza kujiweka karibu na mbowe ili asifikishwe Jela kwa ufisadi anaoufanya kupitia mwanawe Riz1.

this is exactly what is happening....planning for exit strategy, ambayo haitam-embarrass mkulu na dependants wake
 
Sina wasiwasi na kukutana kwao, kwani hata Lema alikutana naye na akamchomolea. Anamwomba awapooze wabunge wa CDM wasiwe mbogo kwenye bajeti. Hahaha, kama namwona Tundu Lisu na Halima Mdee wanavosubiria Bunge lianze, patachimbika.
 
Taarifa zilizopo ni kwamba JK anajua 2015 Chadema wakichukua nchi ataishia Lupango, hivyo ameanza kujiweka karibu na mbowe ili asifikishwe Jela kwa ufisadi anaoufanya kupitia mwanawe Riz1.

Thanks!!:coffee:
 
unasema utajiri wa viongozi wa chama kwani ss tuliwasaidia kuvuna hizo mali? Budget ya chama muulize shibuda.
Kama tunataka vitu kuwa wazi lazima kila kitu kiwe wazi. Viongozi watoe mali zao hadharani. pili Unasema nikamuulize inamaana huna taarifa.
 
Ni kweli wamekutana ila haikuwa kwa siri. Ilikuwa ktk msiba wa Mzee Makani ambapo Jk aliwapa CHADEMA pole kwa msiba huo na kuwapongeza kwa juhudi zao za kulikomboa taifa hili tajiri.

Msako unaendelea
 
Mbowe kasaliti chama chetu.Wapenzi na wadau wa chadema tumuundieni TUME huyu mtu

We mwehu kweli.. inakuhusu haya ni mambo ya CDM tuachie wana CDM tuyajadili ya CCM yamekushinda nn! Vipi yale maandamano ya uamsho yamefikia wapi ? mpo kimya kweli.
 
Back
Top Bottom