Kila mwaka tunapoteza mabilioni kwa sherehe za Uhuru wa Tanganyika, mapinduzi ya zanzibar, sherehe za muungano? Kwanini sherehe hizi zisifanyike kila baada ya miaka 5 au kumi ili ku save pesa za watoa jasho na kuingizwa katika maendeleo? Umasikini tulionao watanganyika na wazanzibari kwa upumbavu huu kila siku?
Nilikaa jukwaa kuu leo sherehe inaanza hadi mwisho,hakuna eneo ambalo JK na EL waliweza kusimama karibu hivyo Zaidi ya salamu tu - tena JK alitaka kumpita EL bila kumpa Mkono isipokuwa alifanya kulazimishwa, anyway angalieni hiyo Picha yenu vizuri mbona EL hana miguu?
Halafu ukiangalia kwa haraka haraka unaweza kudhani kwamba Lowassa ndiye Raisi wa Tanzania halafu Kikwete ndiye makamu wa Raisi halafu Dr. Shein anabaki kuwa Raisi wa Zanzibar na mkuu wa majeshi anabaki kuwa Mwamunyange!Hii picha ukiangalia haraka haraka unaweza kudhani kwamba EL yupo pembeni ya JK lakini ukiiangalia kwa makini, utagundua kwamba EL yupo kiti cha nyuma...second row. UKitaka kugungua, angalia mguu wa kushoto wa JK ambao ni kulia kwako... JK hapo anaonekana yupo mbele ya kiti wakati EL yupo nyuma ya kiti... kwahiyo hawajakaa kwenye same row hao, EL yupo viti vya vyuma!
inamaana kuwa karibu na baba riz kwa style hii ndio ameisogelea nyumba kubwa?