Kikwete na Lowassa kunani tena?

Mkiangalia vizuri hii picha, Lowasa hayuko front row, yuko row ya pili. worry not guys!
 
Hakuna kinachoshindikana chini ya jua kwenye utawala wa Kikwete - Hata FaizaFoxy anaweza kuteuliwa kua balozi wa Tanzania nyumba 10/10 nchini China!

Da ungejua.............kweli usilojua ni sawa na usiku wa giza !!!Waswahili walisema wakati mwingine kutokujua ni kuzuri, kwa kuwa inategemea una kifua gani cha kumeza...kama ukoo /kizazi chako akijapta kuwa na mambo mengi hivyo ukarithi uwezo wa kuwa na mapana kwenye kifua basi ni heri usijuee......next tim ndoto yako!!
 
PHOTO SHOP nzuri imesimama manake kama walio wengi wameipitisha ni kweli basi lengo limetimia sometimes ukiona respond ya jamii ndio kama hivi basi HURUMA dhidi yao UNAWEKA KANDO tembeza bakora ya kichapo mpaka pale kitakapo ibuka kizazi chenye ufahamu faster.
 
Utakaa sana na usisubiri kuhadithiwa kua hili tukio ni Photo shop - hembu ingia hapa halafu ukisharizika niandalie Tusker 2 bariiiiid
MICHUZI BLOG: Maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara yafana jijini Dar leo
 
Ukitaka kujua kuwa Lowasa yupo mstari mmoja na akina Kamanda Ndomba na Msekwa angalia mkono wa Mkuu wa Majeshi umefunika koti la Lowasa kwa maana ya kuwa yupo nyuma yake. Acha kutatapa nyie magamba
Ni protocol ipi iliyoandaa kiti pembeni ya Raisi akae pembeni na Lowassa? - Kumbuka ule usemi wa Lowassa MIMI NA KIKWETE HATUJAKUTANA BARABARANI!

 
Ni protocol ipi iliyoandaa kiti pembeni ya Raisi akae pembeni na Lowassa? - Kumbuka ule usemi wa Lowassa MIMI NA KIKWETE HATUJAKUTANA BARABARANI!


Lowasa yuko Nyuma ya Mwamunyange, aliyeacha kiti chake wazi. Tazama vizuri.
 

Hana miguu....inaelekea aliingia kijini hapo karibu na mkulu au photoshop?
 
Utakaa sana na usisubiri kuhadithiwa kua hili tukio ni Photo shop - hembu ingia hapa halafu ukisharizika niandalie Tusker 2 bariiiiid
MICHUZI BLOG: Maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara yafana jijini Dar leo

Mie sina tatizo na concept nzima,uenda mwandaaji ana maana yake na ndio maana kama MwanaGT nikasema kama wale baadhi yetu humu wanajiita MAGT na kwa concept hiyo walio wengi wamekubali basi wazo lake llimefanikiwa. Tatizo ni watu wa aina yako eti nawe unajiita GT aaahaa aibu utetezi gani huo sasa!!Mbwembwe nyingiiii zisizo na maana.

Hivi ITIFAKI [Protocol] ya Viongozi Ikoje Nani Wa Kwanza Kuingia na Nani Wa Mwisho Kuingia, Kwenye Maadhimisho kama hayo Nani anapaswa kuwa Mkono wa Kulia Wa Mkuu Wa Majeshi!!!!

Katika akili ndogo sana tu siku ukiona Maafisa Wa Kijeshi wawili wanatembea pamoja ALIYE MKONO WA KULIA WA MWENZIE tambua huyo ni SENIOR OFFICER kwa mwenzie walie pamoja.

Sembuse AMIRI JESHI MKUU....wa VIKOSI VYOTE VYA ULINZI....aibu sana sana kuwa na GT wa aina yako...ila ata mimi najifunza pia kuwa kumbe wanafanya haya kwa kuwa tuna hopeless minds nyingi sana...na nitatizo kwa mustakabali kwa TAIFA.
 
kWA KUPENDA GWARIDE NA NGOMA ZA KIENYEJI ,JANA NILITIMIA KAMA DK 50 KUANGALIA SHERHE ZA KUZALIWA KWA TANGANYIKA ! KAMA KAWAIDA WAKATI WA NGOAM VIONGOZI WALIKUWA WANAFURAHIA AUA KULZIMISHA KUONEKANA WANAFURAHIA BURUDANI HIYO ...LAKINI mH LOWASA ALAIKUWA AMETULIA KIMYA! SIKUELEWA USIRIASI HUO ULIKWA WA NINI ...LAKINI KWA NAMNA ALIVYOKUWA ANAONEKANA ALIKUWA HAFURAHII SANA LILE TUKIO NA ALISHINDWA KABISA KUFICHA HIYO HALI ,NYIE WACHAMBUZI WA SIAS MTUMBIA TAFSIRI YA HALI HII
 
Reactions: bdo
Watanzania tumekuwa na tabia ya kuwaponda wabunge wetu kwa kuacha kujadili mambo ya msingi na badala yake kujadili mambo yasiyo na msingi kwa nchi yetu.

Kwa mfano,tumekuwa tukimponda sana Lusinde,Asumpta Mshana na wengine kwa kutojadili mambo ya msingi na si katika bunge la juzi tu,bali hata katika vikao vya siku za nyuma kabla ya Escrow scandle.

Sasa naomba niwaulize;

Hivi sisi watanzania(including myself) kupitia mitandao mbalimbali kujadili kitendo cha Lowassa na Kikwete kuonekana kukaa pamoja tuna tofauti na hawa wabunge wetu?.

Je,hatuna mambo mengine ya msingi kuyajadili katika kipindi hiki cha uchaguzi wa serikali za mitaa?

Hivi mtu kama Lowassa anatuonaje?

Binafsi, nimechangi hii mada ila nakiri ni utoto kabisa kama sio ujinga.
 
Reactions: DSN
EL Hana miguu kwa sababu yuko mstari wa nyuma. Kuna mtu aliwekewa kiti Kati ya JK na Mwamunyange na hukutokea hivyo kufanya picha ya EL kuonekana kana kwamba alikuwa sambamba na JK.
 

Hivi mna uhakika hii picha ni ya jana 9/12/2014???
 
Nilikua namtafuta Mtu anaitwa William LUKUVI katika Jamii Forum lakini namshukuru Mungu nimekupata - Stay Tune!
 
 
Hivi mtu Jambazi aliyejiuzulu kwa kashfa anawezaje kuwa karibu namna hii na rais wa nchi? ... .... .. .Utagundua kwamba Tanzania bado sana kuamka haiwezekani jambazi lililokubuhu likae karibu na rais wa nchi ambaye anatakiwa kulinda maslahi na rasilimali za nchi. It will never happen in any developed country.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…