John Okello
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 459
- 207
Hii ni kuelekea safari ya matumaini
Amiri jeshi mkuu wa jeshi la mafisadi?
Kwanini akamate kwa ukakamavu lengo ni kuonyesha nini?kwani siku zote anakamataje mkono wa raisi,mambo mengine mbona ya kipuuzi sasa akikamata mkono wa raisi kwa ukakamavu ndio inasaidia ama kunapunguza nini,hivi watu wakisema watu wazima mnashindwa kufikiri hata kushindwa kuandika kitu cha maana mtaona mnatukanwa? je mpo na tofauti gani na Masaburi anayesema Pinda ndie anafaa kuwa raisi bila kutupa sababu za msingi za kusema hivyo.

ulitaka kuwasilisha ujumbe gani?
ulitaka kuwasilisha ujumbe gani?
Huyu Lowassa ananguvu za ajabu sana.....!!
Nadhani anajaribu kutuaminisha kwamba boss wake haugui parkinson.ulitaka kuwasilisha ujumbe gani?
Huyu Lowassa ananguvu za ajabu sana.....!!
Mbona inaonekana mstari wa Mbele mkuu wa majeshi kufuatiwa na Raisi, halafu Raisi wa Znz , Halafu Mke wa Raisi , nyuma Yao Ndio anaonekana Lowassa na wengineo
Amiri jeshi mkuu wa jeshi la mafisadi?