usiseme hivyo
Mbowe anaaminika 100 percent?
Hafahamu kwamba kila mtu ananunulika; kinachohitajika ni kutafuta bei yake tu....na labda medium of exchange!! Kuna mwingine kwa fedha hanunuliki; lakini kwa madaraka(medium of exchange) ananunulika, tena kirahisi tu.....na kuna mwingine hanunuliki kwa fedha wala madaraka, lakini medium of exchange ikiwa totoz; ndani ya min sket....hapo simpo tu!!