Kikwete na Lowassa: Kazi imeanza rasmi!

Kwa chuki alizozizalisha EL wakati wa uongozi wake zimezima ndoto zake zote. Huyu bwana alishaka madaraka na kutumia vibaya sheria dhaifu zilizokuwepo kujiona Mungu Mtu sasa ataisikiaa tu Urais na hata Ubunge astaafu tuu asijeumbuka 2015 atakapoangushwa na vijana.
 
anyway sijui usahihi wa taarifa mdau lakini such a serious matter can not be coordinated na balile
 
Kuna taarifa za chini ya kapeti toka makao makuu ya nchi kuwa bwana mkubwa baada ya kukutana na EL Ughaibuni wamekubaliana kuanzisha mikakati mizito ambayo itapelekea EL aingie madarakani kama rais mwaka 2015, mtoa taarifa wangu ambae ni mmoja wa wana kamati ya mambo ya nje ambae alikuwemo ktk msafara ulioenda Ulaya anapasha kuwa kuwa kati ya mikakati iyo ni pamoja na kutumia vyombo vya habari marafiki na ambavyo tayari EL amevianzisha huku vikisimamiwa na Balile na wahariri wengine na mpango mwingi ni kufanya Lobbying kwa mataifa jirani hasa kenya, Uganda na Congo ambapo mmoja wa watekelezaji wa mpango huo bwana Rostam Aziz tayari ameripotiwa kufanya safari nchini Kenya kwa ajili ya kuwashawishi viongozi wa huko hasa wanaopewa nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi nchini humo. Pia kuna mpango ambao umeanzishwa kwa spidi kubwa kuhakikisha chadema wanaparanganyika kwenye uchaguzi wao wa ndani na kumeguga, mpango huo umeshaanza na unatekelezwa na baadhi ya vyombo vya habari na viongozi wa ccm na watu wengine ambao wako ndani ya cdm wegine ni wabunge.
Kanieleza mambo mengi mengine nahitaji kuyafatilia kabla sijayaleta hapa maana yanahitaji ushahidi.

My take: Chadema inabidi wawe makini sana na nyendo zao na waangaliane vizuri ili kubaini nani anawatumikia hawa mabwana ndani ya chama.
Ndoto za mchana! Mze wa Richmonduli atasubiri kuwa Rais wa Tz mpaka aende mbele ya haki kama hyt Jaramogi Odinga Odinga baba yake Raila kule Kenya, labda EL akajaribu jamhuri ya Kusadikika ya hyt Shaaban Robert!!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom