Kikwete na Lowassa: Kazi imeanza rasmi!

Eti wana mpango wa kukisambaratisha cdm.. Ccm watajisambaratisha wenyewe.. Kila mwanachama wao wa ngazi ya juu anataka kua rais lazima wapeane sumu wapate ajali wengine watekwe nyara yetu macho
 
kwamba lowasa atasimamishwa na ccm 2015 sina shaka. kwamba atashinda?????????????????
 
ni kweli baadhi ya magazeti yameshaanza kazi sasa mf,gazeti moja liliandika ukurasa wa mbele .mkutano wa mnyika badala ya mkutano wa chadema ,wamelenga mtu mmoja mmoja
my hasa safari ,makazi na wahudumu wa ndani na ofisini ni wa kuchunga sana
 
"Kuparaganyika" kwa CDM kunakongojewa na wanaCCM wanaompigia debe EL awe Rais 2015 kunadhihirisha hawa ni kama yule Fisi aliyekuwa anamfuata binadamu aliyekuwa anatembea, akitupa mikono, fisi eti akamfuata, akamfuata, akitarajia mkono mmoja ungeanguka apate mlo wa siku. !!!!!
 
Hafahamu kwamba kila mtu ananunulika; kinachohitajika ni kutafuta bei yake tu....na labda medium of exchange!! Kuna mwingine kwa fedha hanunuliki; lakini kwa madaraka(medium of exchange) ananunulika, tena kirahisi tu.....na kuna mwingine hanunuliki kwa fedha wala madaraka, lakini medium of exchange ikiwa totoz; ndani ya min sket....hapo simpo tu!!

Chifu NasDaz, hakika ni kweli. Kwa sababu unaweza kuta mtu ni mpambanaji kweli wa kudai haki za wananchi n.k. Lakini cha ajabu mbele ya totoz ni dhaifu zaidi ya DHAIFU; hapo wabaya wake ndiyo wanatumia mwanya huu kumnunua na kummaliza kabisa. Hii ipo hata katika wapambanaji wengi wa haki za binadamu duniani akina Che, Malcom, Bob, Marcus n.k. wote hawa walikuwa wadhaifu sana kwa totoz; ingawa siyo wote walioangamizwa kwa kutumia udhaifu huo.

Mbaya zaidi inakuwa pale mpambanaji huo anapochukulia suala hilo kama siyo udhaifu; hapo ndipo wabaya wake wanakuwa kama wanamsukuma mlevi vile.

Hivyo ushauri wangu kwa wapambanaji wote hapa Tanzania (iwe wabunge na viongozi wa CHADEMA na wapambanaji wengine) ni vyema kufahamu udhaifu wako kama binadamu ili uweze kuwa na mikakati ya mapema ya kujiandaa na namna gani ya kuepuka vishawishi na uwezekano wa wabaya wako kutumia udhaifu wako katika kukumaliza.
 
Last edited by a moderator:
Kuna taarifa za chini ya kapeti toka makao makuu ya nchi kuwa bwana mkubwa baada ya kukutana na EL Ughaibuni wamekubaliana kuanzisha mikakati mizito ambayo itapelekea EL aingie madarakani kama rais mwaka 2015, mtoa taarifa wangu ambae ni mmoja wa wana kamati ya mambo ya nje ambae alikuwemo ktk msafara ulioenda Ulaya anapasha kuwa kuwa kati ya mikakati iyo ni pamoja na kutumia vyombo vya habari marafiki na ambavyo tayari EL amevianzisha huku vikisimamiwa na Balile na wahariri wengine na mpango mwingi ni kufanya Lobbying kwa mataifa jirani hasa kenya, Uganda na Congo ambapo mmoja wa watekelezaji wa mpango huo bwana Rostam Aziz tayari ameripotiwa kufanya safari nchini Kenya kwa ajili ya kuwashawishi viongozi wa huko hasa wanaopewa nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi nchini humo. Pia kuna mpango ambao umeanzishwa kwa spidi kubwa kuhakikisha chadema wanaparanganyika kwenye uchaguzi wao wa ndani na kumeguga, mpango huo umeshaanza na unatekelezwa na baadhi ya vyombo vya habari na viongozi wa ccm na watu wengine ambao wako ndani ya cdm wegine ni wabunge.
Kanieleza mambo mengi mengine nahitaji kuyafatilia kabla sijayaleta hapa maana yanahitaji ushahidi.

My take: Chadema inabidi wawe makini sana na nyendo zao na waangaliane vizuri ili kubaini nani anawatumikia hawa mabwana ndani ya chama.
Hizi ndio siasa, popote duniani mambo haya yapo, ukiwa na khofu huwezi kushinda, Politics is about fighiting for power, hakuna ustaaraabu kwemye siasa, baba na mwanae hugombana. CCM imetawala miaka mingi haitakuwa tayari kuondoka kirahisi hata kama imechokwa na watu, wapinzani wao wa karibu ni CDM kwa vyovyote CCM itafanya kila hila waivuruge CDM. La kusikitisha ni kusikia wapo viongozi wa CDM wanaweza kutumika katika mpango wa CCM kuiharibu CDM. Wait to see!
 
Hii ni ndoto; JK kumnadi EL ni kujivunjia hadhi yake; hilo haliwezekani. 2015 Urais ni wa CCM bali si Lowasa, Membe wala Sitta. We ngoja tu utaona.
 
Zitto siyo mtu mzuri hakika..Najua hilo muda mrefu, ataigharimu Chadema, afadhali hata Shibuda maana hana mvuto.
Mie nimemfuatilia kwa karibu sana huyu bwana na nimegundua kuwa kwanza alikuwa mpinzani wa ukweli lakini kuna kitu lazima atakuwa amepewa na CCM kuja kuivuruga chadema, huyu siyo mpinzani wa kweli bali anajenga umaarufu na anaweza kutumia umaarufu wake kuivuruga chadema kwa sababu tayari atakuwa na wafuasi wengi. Fuatilia vizuri ile ishu ya sahihi 70 unadhani ilitoka wapi kama sio kwa kikwete mwenyewe. inawezekana kabisa Kikwete hayuko comfortable kufanya kazi na Pinda kwa sababu siyo muisilamu mwenzake na inabidi amkubali ka kuogopa machafuko ya kidini. Unadhani waziri mkuu angekuwa muisilamu Zitto angeshika bango? Mnajua kuwa baada ya sahihi sabini alikwenda marekani wakakutana na kikwete huko??
WATCH THIS SPACE!
 
Kikubwa kila tmu inawaandaa wachezaji wake,sisi CDM tunaandaa timu yetu nanyi magamba endeleeni kuiandaa,kikubwa tusubiri mechi uwanjani,juzi tumepiga friend mechi hapo arumeru pamoja na refa na malenzimen kuwabeba lakini tulitupia kunyavu na mwisho gemu likaisha kwa ushindi wa CDM,sasa tujiandaeni japo wenzetu tunaona maandalizi mnayofanya si ya kimpira,hivi mpira nao ni wa kufanya mazoezi ya ku-crawl?na hizo silaha za nini uwanja wa mpira tena wachezaji?anyway tusubiri kipenga kitakapolia
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom