Kikwete na Lowassa: Kazi imeanza rasmi!

usiseme hivyo
Mbowe anaaminika 100 percent?

Hafahamu kwamba kila mtu ananunulika; kinachohitajika ni kutafuta bei yake tu....na labda medium of exchange!! Kuna mwingine kwa fedha hanunuliki; lakini kwa madaraka(medium of exchange) ananunulika, tena kirahisi tu.....na kuna mwingine hanunuliki kwa fedha wala madaraka, lakini medium of exchange ikiwa totoz; ndani ya min sket....hapo simpo tu!!
 
Yaelekea Mzee mzima kajisalimisha kwa Lowassa baada ya EL kukomaa kuwa ana haki ya kugombea urais. Mzee kawatumia akina Msekwa (kushawishi) na Nape (kuponda) ili EL aache kukomalia ugombea. Na Beatrice Sholukindo si alijisalimisha? na bado tutaona magamba kibao wataanza kumnyenyekea zaidi.

Watabaki wabishi akina Sitta, Mwakyembe, Membe na Nape.
Baada ya mkutano mkuu wa kuchagua mgombea wa urais 2015 kupitia CCM, TOT wataimba "Edward Lowassa amechukua ameweka waa!".
Yaani wamekwisha.
Wananchi wanasuburi kuwastaafisha for good.

"Rais" Rostam anamsaidia Raila huko Kenya ili naye Rostam asaidiwe ili mgombea "wake" (yaani EL) asaidiwe kimfia na "Rais" Raila. Hii itamfanya Rostam aendelee kutawala. Ndio ndoto zao hizo.
 
Siku hizi mpaka kenya wakubali ndo tuwe na rais?.
Mwenye thread YOU THINK WE ARE FOOLISH?
 
Rumourmill as usual. Why should we waste time trying to discuss such a political-dead person?EL is nothing but a day dreamer who will end up being toasted by voters if CCM dares to make such sacrilegeous mistake.

You are making a grave mistake by believing that EL is politically dead! he is not, currently he is dormant, This man is dangerous but also very well organized chap! he is is financially well-off and he is very good in making propagandas! he has so many plans once one plan fails he embarks on others! CDM we must be very careful with this man, never under estimate his financial power and influence in Tanzanian politics!
 
Rumourmill as usual. Why should we waste time trying to discuss such a political-dead person?EL is nothing but a day dreamer who will end up being toasted by voters if CCM dares to make such sacrilegeous mistake.


These are serious allegations which have to be taken into consideration by all Tanzanians who want to move this country forward. These people are the epicentre of all grand rootings of our resources. Tanzania's development stagnation and lack of sense of direction will remain unchanged so long these people are still in power. Because of their vested interest and desire to maintain their legacy, clinging to power by using all means (whether legal or illegal or sinful) available is unavoidable. This means that there is huge prize associated with efforts to change existing leadership to a new robust and focussed leadership with a vision of moving this country to the next level.

Tanzanians deserve the best in the coming General Elections. The foundation for bright future hinges on good constitution, visionary leaders guided by values and commitment to serve others, responsible citizens and inclusive societies.
 
Sahihisho:
Dr Slaa alishinda kura za maoni ndani ya CCM mwaka 1995 huko Karatu (kwa maana ya kupata kura nyingi zaidi kuliko wagombea wengine wote), ila hakupitishwa. Akahama na kumbwaga mgombea aliyepitishwa na CCM kwenye uchaguzi wa ubunge. Toka wakati huo hii ni awamu ya nne jimbo lipo CDM.
Uongozi wa CCM wana mtindo huo wa kuengua chaguo la wanachama. Yalitokea pia mfano kwa Hussein Bashe na marehemu Phares Kabuye.
Alimshinda Patric Qorro
 
Naandika nafuta,naandika nafuta!!Hii nidalili ya ugonjwa gani 2015?
 
Nina wasi wasi sana na huyu zitto, inawezekana kabisa akawa anatumiwa

Habari ambazo nimezipata kwa watu waaminifu zinasema leka tutigite ni miongoni mwa mipango kamambe ya kugombea urais kwa mheshimiwa huyu na sasa hivi amekuwa karibu sana na baadhi ya watuhumiwa wa ufisadi na governement system wakimuahidi kumsaidia na vikao vingi vimekuwa vikifanywa kumuandaa na kumpa support tosha kwa kuwa amekuwa ni mtu mwenye tamaa na ana amini kuwa atashinda na kweli watamsaidia katika mikakati yake ndani ya chama ikiwa ni pamoja na kuwachafua wanachama wenzake ili aonekane yeye ndiyo msafi pekee aliomo ndani ya chama chake hivyo atapitishwa kama mgombea, lakini siri asiyeifahamu baada ya kupitishwa watamchinjia Baharini mission itakuwa imekamilika na Rais atatoka chama tawala.
 
Kama kuna mtu anaweza akaisaliti CDM ni Zitto.Ana mtandao wa vijana fulani kanda ya ziwa akiwemo diwani wa Igoma na kajamaa fulani hivi kanadai kalikuwa ka katibu ka Chacha Wangwe,ndio wanaoneza kashfa za Dr. pamoja na Mbowe.Kuna siku moja walinikuta hotel fulani hata hawanijui,wakaeneza propaganda zao,sasa ilipofika kipindi cha maswali na majibu, nililiwapa ukweli baadae wakajifanya kuniomba namba ya simu,hawakunipigia na hicho kiwanja hawajakanyaga tena.

Haya mambo ya ukanda yametoka wapi sasa.
 
ni lowasa tu hatna mwingne,sitta ,mwakyembe sasa kimya,membe wala ajiandae kugombea ubunge huko mtama lindi awasaidie wananchi,lakini membe kuwa rais wa nchi hii hana uwezo wa kuongoza,
 
Rumourmill as usual. Why should we waste time trying to discuss such a political-dead person?EL is nothing but a day dreamer who will end up being toasted by voters if CCM dares to make such sacrilegeous mistake.

CCM ya sasa haina mantiki wanaweza kumuweka huyo EL...haya mambo ya Rostam kuzunguka zunguka haya siyo ya kudharau anaweza kua anatengeneza mazingira ya CCM kufoji na kuhalalisha matokeo ya kimabavu. Hatari sana hawa waroho wa madaraka
 
Lowasa ni heavy weight, wewe mchukue Sitta,Mwakyembe,Anne Kilango, Nape nk waweke upande mmoja upande mwengine akikaa Lowasa uzani unaelemea kwa Lowasa.

heavy weight kwa kua mifuko yake imefura mahela yanamuongezea uzito...
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom