Kikwete na familia yake mstari wa mbele kujiandikisha (sensa)

Status
Not open for further replies.
LIONS%252BPRESIDENT%252BFRANK%252BGOYAYI%252B%25252C%252BFIRST%252BLADY%252BSALMA%252BKIKWETE%252BAND%252BMWANAASHA%252BKIKWETE%252BFOLLOWING%252BTHE%252BEVNT%252BATTENTIVELY.JPG

namuona mwanaasha pembeni ya mama yake
 
katika family lazima kutakuwa na watoto watukutu inaelekea mwanasha mtukutu sana hamsikilizi baba si unajua teenagers keshamaliza form four dunia yote anaona yake .. kuonesha JK ni kiongozi mzuri we angalia picha ya kwanza watoto walivyovaa na kukaa kiheshima...

kudos! rais wangu!
Mbona huyu kanyoa kiduku??

sensa2.jpg
 
kiongozi mzuri my neck!!!

ndio raha ya uhuru wa kujieleza na kuweka wazi maoni yako binafsi! iliyo asisiwa na serikali ya JK ! enzi za mkapa slaa asingeweza kusimama mwembe yanga na kutaja ile cooked list of shame!

kudos! JK!
 
Kaazi kwelikweli. Lakini dini yake inamruhusu japo mungu haruhusu
 
katika family lazima kutakuwa na watoto watukutu inaelekea mwanasha mtukutu sana hamsikilizi baba si unajua teenagers keshamaliza form four dunia yote anaona yake .. kuonesha JK ni kiongozi mzuri we angalia picha ya kwanza watoto walivyovaa na kukaa kiheshima...

kudos! rais wangu!

Wewe kweli ni Njiwa kwani MwanaAsha unataka kutuambia sio mtoto wa Kikwete; je hiyo nguo aliyovaa akionesha matiti nje ni nguo ya heshima? Acha uzombokuku wako ndio maana ukawa njiwa!!
 
Wewe ni wapi nimesema mwanasha sio mtoto wa JK ..? I assume your smack head mother dropped you on your head as a baby... coz unakurupuka rudia kusoma tena post yangu ..
 
No. It is a very big Family, anaonyesha mfano gani sasa? au hujui kama tuko overpopulated? unajua kwamba unalipia matumizi ya hii Familia?[/QUOTE si ukweli kwamba tuko overpopulated...we have enough land and resources tatizo unalifahamu...kuhusu idadi ya watoto kwa huku afrika si ishu sana...Halafu mkuu kwani Mzee wetu JKN alikua na watoto wangapi?..
 
Hivi kumbe anafamilia kubwa hivi tukimpeleka the hague au tukimfanya ka gadafi na watoto wake, hawa vijukuu watenda wap?
 
Mbona mnakua kama sio waafrika kwan lazma wote wawe watoto wake?
 
Wewe ni wapi nimesema mwanasha sio mtoto wa JK ..? I assume your smack head mother dropped you on your head as a baby... coz unakurupuka rudia kusoma tena post yangu ..

Like your father your head is full of saw dust; you do not understand the implications of your statements!! Unaposema watoto wa mkweree wamevaa vizuri, je hao wasiovaa vizuri [ MwanaAsha included]maana yake sio wake? Kwa vile huna akili huwezi kuona tofauti!!
 
You really are a funny little boy. When you grow up, you should become a comedian. Take a break though and come up with some new material, you read like a scratched record...

nimekwambia rudia kusoma nilichoandika

katika family lazima kutakuwa na watoto watukutu inaelekea mwanasha mtukutu sana hamsikilizi baba si unajua teenagers keshamaliza form four dunia yote anaona yake .. kuonesha JK ni kiongozi mzuri we angalia picha ya kwanza watoto walivyovaa na kukaa kiheshima...

kudos! rais wangu!

Like your father your head is full of saw dust; you do not understand the implications of your statements!! Unaposema watoto wa mkweree wamevaa vizuri, je hao wasiovaa vizuri [ MwanaAsha included]maana yake sio wake? Kwa vile huna akili huwezi kuona tofauti!!

Mtoto wa kike ulitaka avae kaniki dar? Hali ya hewa inamruhusu mumwache Eish....Au avae matenge kama wacongoman....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom