Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,898
Kumbe babu Jakaya anavyo vitegemezi vichanga vingi? Je vyote hivyo vimezaliwa na Salma au ni yale yale ya kusanya kusanya kama alivyofanya kwa akima Miraj na Ridhiwan? Ajabu babu huyu eti alikwenda kwenye mkutano wa kupanga uzazi na uzazi bora!
Baba V uwe na adabu ingawa umenichekesha. Kikwete can't be father of all. If he is a father out of his family he thus is the father of fisadis and magambas. Anyway thanks for your insight and observation.
No offence mkuu Father of All, that was just a little joke to start a day with, we know KJ, nahisi alipoenda kuhudhuria mkutano wa uzazi wa mpango alikuwa serious though very late!
nimependa watoto wa kike walivyojistiri ... kumbe JK ni kiongozi mzuri hadi kwenye ngazi ya family yake
hamfikii Dr Silaa!

Ana familia kubwa sana huyu mzee..