Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

Status
Not open for further replies.

Lowassa kasema kama kuna mtu ana ushahidi kwamba yeye alihusika aende mahakamani!!! (jiulize swali je kuna mtu kaenda, je huyu mkuu wetu kaenda mahakamani???)

Kama rais alikua anajua kuwa lowassa ni muhusika kwanini hakumchukulia hatua mwaka 2008 na mpaka leo anaishia kupiga makelele tu, why anaogopa kumchukulia hatua??? nini kimejificha hapa???

Ikumbukwe kwamba mwaka 2010 kikwete alikua mstari wa mbele kusema lowassa ni mtu safi kwanini sasa anasema tena lowassa ni anahusika na richimond??? hii si ni dalili ya ukigeugeu????

Je ni wapi kama watanzania tulikosea mpaka tukapata rais kama huyu????

kwasasa hamna jinsi tena washachelewa na sisi kama watanzania tushaamua Hata wakimwita jambazi kura zetu twampa lowassa!!! in fact, ni bora mwizi mmoja aliyezungukwa na wema 10000 kuliko mwema mmoja aliyezungukwa na majambazi majizi 1000000!!! viva lowassa RAIS WETU WA JMT viva UKAWA!!!


Rais wako wewe peke yako utakayempigia kura na mahaba yako ulipewa mgao au ndio mahaba tu rais ni maguli huyo lowasa ni raisi wa mahaba
 
Rais mzima unazungumzia jukwaani swala nyeti hv badala ya kuchukua hatua au unamuogopa El
 
Kikwete Big up big Dad!!!

VIVA CCM

MAGUFULI HOYEEEEEEEEEEE

HAPA KAZI TUUUUUU

LOWASSA KWA MAGUFULI HUWEZI.

Lowassa jiandae kwenda kuchunga ng'ombe maake TINGA TINGA LINATINGA IKULU.

Lowassa OUT DK.90 Zuhura Yunus na Mangekimambi msisahau kusiriba mpaka asahau Mshenga na Shehe wake Wa Jangwani

Halafu huyu bwana anasema Serikali haikuipa pesa ($10 milioni) Richmond. Mimi sijamwelewa kabisa. Mbona hajasema spika Sita ndio alimwokoa asiwajibike!
 
Huyu kikweti aache kubabaisha, watanzania tumeamka, Leo ndo kaona aseme
 
Kwa kauli hii ni wazi Tanzania kwa miaka 10 ilikuwa haina Rais na hapa ndipo ninapothibitisha kwa dhati kabisa ile kauli ya Mnyika Bungeni kuwa huyu jamaa ni .....!!!
 
Nini kitatokea endapo lowassa atashinda? Wakati mahasimu wake wanatumia nguvu nyingi kumdhoofisha yeye hata kuanzisha mahakama ya mafisadi na. Majizi
 
Acha kutetea upuuzi wewe,

Kwani wakti Lowassa anaunda chombo chake yeye Kiwete alikuwa wapi????
Hivi unajua maana ya uwajibikaji wewe zezeta? Hakuna kazi yoyote ya kiserikali ifanywe na Waziri Mkuu na Makatibu wakuu peke yao bila kuwa wanatoa taarifa ya hiyo kazi kila siku kwa Rais. Haiwezekani. Kama nchi ilikuwa inaenda kuingia kwenye giza ilikuwa ni jambo la dharura kwa maana hiyo Kiwete kama Rais alikuwa akipewa mrejesho wa kila hatua inayofikiwa ! Kwa maana nyigine Rais alihusika kwa kila hatua.

Kwa watu wenye akili timamu hapa Kiwete amejivua nguo na kwamba kumbe hata yeye aiihusika kwa 100%. Watanzania tulishamjua Kiwete kwamba huwa kigeugeu akiona mambo yanakuwa moto, kwa maana nyingine HE IS A COWARD PRESIDENT!

Kumbuka kilichotokea wakti wa mchakato wa KATIBA MPYA. Rasimu zote 2 alipelekewa na Mzee Warioba na akazikubali kwa 100% kuwa ziendelee mpaka kwenye hatua ya BUNGE MAALUMU LA KATIBA.

Baada ya kutishwa na Mahafidhina wa CCM akabadili rangi kama KINYOGA! This is non-sense. Kiwete is just a chief Hypocratic and a Coward President ever lived in Tanzania!!

Sawa. Sasa kama Kikwete ni dhaifu hebu nieleze uko wapi sasa ujasiri wa Edo wako ili walau tumtofautishe na JK? Yako wapi sasa maamuzi magumu ya Edo maana nilidhani angegoma na angejivua madaraka na leo angekuwa na heshima. Sasa busara zake Edo zilikuwa ni kupoteza ili autetee uwaziri mkuu wake tu. Shiit men! Hastahili kuwa rais kabisa Edo wako huyo kanywe naye chai tu uncle!

Halafu hivi kwani udhaifu wa Kikwete ndiyo uliomtuma Edo akiuke taratibu za manunuzi?
 
Haibu sannaa tanzania imepita miaka 7 sasa rais ndio anadhubutu kusema ivoo leo kwasababu kesho anastafu ni haibu kubwa sanaa ingekuwa nchi inayojitambua hapo prs anahukumiwa
 
Kwa kauli hii ni wazi Tanzania kwa miaka 10 ilikuwa haina Rais na hapa ndipo ninapothibitisha kwa dhati kabisa ile kauli ya Mnyika Bungeni kuwa huyu jamaa ni .....!!!

Yaan ingekuwa nchi inayojitambuwableo walikuwa wanamnyonga rais sema ni tz
 
Wamechelewa,Mwakyembe alisema tena Jana Richmond ilikuwa ni publication company,wakati Mwenyekiti JK anaasema aliensa marekani akaitembealea. Akajiridhisha ina uwezo
 
Kikwete Ni laana kwa taifa hili la Tanzania

Kama mafisadi ndiyo baraka ya taifa hili mbona yalitushit wakafunga midomo yao wakati wakiwa madarakani katu hawakutueleza wananchi kuwa ccm ilikuwa inatuhadaa? Mbona walitusaliti wasituambie ukweli na ikibidi wajivue madaraka? Mbona walikuwa wanatumbua tu na kuuza sera za chama chao? Mbona ni baada tu ya kukatwa ndiyo wameamua kujipendekeza kwa wananchi? Je wasingekatwa?
 
Eti mnasema hata likiwekwa jiwe mtalichagua. Hivi Dr. Slaa siyo bora kuliko jiwe? Au fisadi na jiwe ni bora kuliko Dr. Slaa? Siyo bure mnalaana. Kama mnaweza kuchagua hata jiwe kwa nini hamkumuweka Dr. Slaa agombee kwani angekuwa bora kuliko jiwe na kuliko fisadi. Hamueleweki. Mmeshaingia female toilet
 
Kikwete Big up big Dad!!!

VIVA CCM

MAGUFULI HOYEEEEEEEEEEE

HAPA KAZI TUUUUUU

LOWASSA KWA MAGUFULI HUWEZI.

Lowassa jiandae kwenda kuchunga ng'ombe maake TINGA TINGA LINATINGA IKULU.

Lowassa OUT DK.90 Zuhura Yunus na Mangekimambi msisahau kusiriba mpaka asahau Mshenga na Shehe wake Wa Jangwani

Hopeless
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom