Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

Status
Not open for further replies.
Swala sio kuelimika

mzaramo wenu ni tatizo hayo ya kuelimika go back to school
Wewe umesema ni tatizo kuongozwa na Wazaramo.

Mimi nimetaka kufahamu, ni kabila gani tulichague ambalo siyo tatizo katika kutuongoza. Sitaki tena nifanye kosa.

Shule siyo lazima kuingia kwenye majengo. Ukinielimisha utakuwa umenifundisha! Hii ni sawa na kwenda darasani!
 
Kikwete bhana, mahakama si zipo? Aache porojo na taarabu na aende
 
Watanzania hatutaki maneno wala mbwembwe,Rais mwaka 2010 alimnadi Lowasa huko Monduli kuwa ni mtu safi bali alipata ajali ya kisiasa,sasa iweje leo asema si msafi? Na kama hivyo ndivyo kwanini hakuchukuwa hatua za kisheria? uwajibikaji hapo upo wapi? sasa kwa sisi wataalam wa saikolojia tunasema hakuna jipya hapo hawezi kututania ktk mambo ya msingi. ti huo hakufata na aliunda tume ya manunuzi ya kwake mwenyewe .[/QUOTE]
 
Kama mafisadi ndiyo baraka ya taifa hili mbona yalitushit wakafunga midomo yao wakati wakiwa madarakani katu hawakutueleza wananchi kuwa ccm ilikuwa inatuhadaa? Mbona walitusaliti wasituambie ukweli na ikibidi wajivue madaraka? Mbona walikuwa wanatumbua tu na kuuza sera za chama chao? Mbona ni baada tu ya kukatwa ndiyo wameamua kujipendekeza kwa wananchi? Je wasingekatwa?

Acha kujitoa ufahamu kuwa hujui nani alijivua madaraka kwa maslahi ya taifa.Vinginevyo,useme ndiyo wiki hii umepona kichwa.
 
Kikwete aweka wazi kuwa waziri mkuu kipindi hicho ndio muhusika mkuu kwenye Richmond, baraza la mawaziri pamoja na yeye walihusika nawalikubaliana kuwa kuna upungufu wa umeme na mitambo ikanunuliwe lakini hakuhusika kampuni gani ya kwenda kuleta hiyo mitambo .

Alisisitiza sheria za manunuzi zifuatwe lakini waziri mkuu wa wakati huo hakufata na aliunda tume ya manunuzi ya kwake mwenyewe .

Mkuu wa nchi hakupaswa kuongea jana yale maneno kwa sababu uko nyuma aliwahi kumtetea na kusema hakuwa na tatizo ila ilikuwa ajali ya kisiasa. Iweje leo baada ya miaka minane ndio aseme yale aliyosema.huo ni udhaifu mkubwa sana.Vipi kuhusu vyombo vyetu vya ulinzi navyo havikujua hayo aliyosema bosi wao na walichukua hatua gani.Je Lowasa alikuwa anaogopwa na kila mtu kiasi kwamba tusubiri uchaguzi ndio tuseme
 
Pamoja na yote kapigeni kura leo.Naweza pata u DC kabla ya Rais mpya kuapishwa au Mkurugenzi wa National Archives
 
Impunity nchini imedhihirishwa jana na kiongozi mkuu wa nchi kwa kutuambia Lowasa alikuwa hakamatiki anaogopwa na kila mtu kiasi kwamba tunasubiri uchaguzi ndio tumshitaki kwa wananchi.Kwa maoni yangu ni kwamba hotuba ya jana imemjenga zaidi Lowasa kuliko kumbomoa. Atapata kura nyingi leo kwa sababu wenye akili wanajua viongozi wetu wanaogopana.
 
Kwa ujinga huu wa ccm na Mwenyekiti wao "nachinja" diwani na mbunge wao, kisha navunja makufuli na kuwamwagia pombe zote..!!
Kikwete ameiharibia ccm kila kitu... Kama Richmond ilikuwa hivyo mbona hajasema Escrow ilikuwaje..??
 
Mkuu wa nchi hakupaswa kuongea jana yale maneno kwa sababu uko nyuma aliwahi kumtetea na kusema hakuwa na tatizo ila ilikuwa ajali ya kisiasa. Iweje leo baada ya miaka minane ndio aseme yale aliyosema.huo ni udhaifu mkubwa sana.Vipi kuhusu vyombo vyetu vya ulinzi navyo havikujua hayo aliyosema bosi wao na walichukua hatua gani.Je Lowasa alikuwa anaogopwa na kila mtu kiasi kwamba tusubiri uchaguzi ndio tuseme

Dunia nzima inajua Lowasa ni FISADI wewe kwa Mahaba huko huwezi kubadilisha hiyo.

Tambua kwamba FISADI hawezi kua Rais wa nchi hii Watanzania ni Werevu hawawezi kucheza KAMARI ya SIASA kama alivyocheza Mbowe.
 
Kukaa kimya kwa Raisi siku zote haiondoi ukweli kuwa Waziri mkuu alivunja sheria ya manunuzi ya umma kwa kuipa tenda kampuni feki ya Richmond, kampuni isiyo na uwezo!
 
Mbona akutwambia mapema na akujitokeza kwenye vyombo vya habari kujibu hizo tuhuma mda mrefu sasa now watu wameisha badilika utawarudisha vp
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom