CT SCan Mchina
JF-Expert Member
- Mar 13, 2013
- 1,311
- 289
Tutamchagua Lowassa na Richmond yake ili ulimwengu ujue kuwa Tanzania bila CCM inawezekana
LOWASSA ~ MABADILIKO.
~huyu ndiye Anayetufaa.
Tutamchagua Lowassa na Richmond yake ili ulimwengu ujue kuwa Tanzania bila CCM inawezekana
Eti mnasema hata likiwekwa jiwe mtalichagua. Hivi Dr. Slaa siyo bora kuliko jiwe? Au fisadi na jiwe ni bora kuliko Dr. Slaa? Siyo bure mnalaana. Kama mnaweza kuchagua hata jiwe kwa nini hamkumuweka Dr. Slaa agombee kwani angekuwa bora kuliko jiwe na kuliko fisadi. Hamueleweki. Mmeshaingia female toilet
Tutamchagua Lowassa na Richmond yake ili ulimwengu ujue kuwa Tanzania bila CCM inawezekana
Leo ndo kajibu ili apate kuraa...!??atuambie kule monduli kauli yake ya ajali ya kisiasa alimanisha nn..dah watanzania tunaonekana kama hatuna akili walah
Kikwete aweka wazi kuwa waziri mkuu kipindi hicho ndio muhusika mkuu kwenye Richmond, baraza la mawaziri pamoja na yeye walihusika nawalikubaliana kuwa kuna upungufu wa umeme na mitambo ikanunuliwe lakini hakuhusika kampuni gani ya kwenda kuleta hiyo mitambo .
Alisisitiza sheria za manunuzi zifuatwe lakini waziri mkuu wa wakati huo hakufata na aliunda tume ya manunuzi ya kwake mwenyewe .
rais wako wewe peke yako utakayempigia kura na mahaba yako ulipewa mgao au ndio mahaba tu rais ni maguli huyo lowasa ni raisi wa mahaba
Akiongea leo Mwanza kwenye kufunga kampeni za ccm Mh.Jk amesema ni kweli alishiriki kwenye makubaliano ya kutafuta kampuni ya kufua umeme baada ya Mabwawa kukauka nchi, lakini hakushiriki kutafuta kampuni gani ilete umeme, hivyo hahusiki kwa namna yoyote kwa ujio wa Richmond.
Hivyo waziri Mkuu ndio mhusika mkuu wa Richmond!
Kuongozwa na kabila gani siyo tatizo?Huyo mh wenu kwanini asimpeleke mahakamani lowasa
Kuongozwa na wazaramo ndo tatizo