Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,370
- 11,089
Wabunge na UVCCM si lolote kwenye kura za wajumbe wa Mkutano Mkuu Taifa wa CCM wenye zaidi ya wajumbe 1800 yaani watafunikwa kuanzia hukohuko kwenye majimbo maana hawafiki 360 nadani ya Ukumbi wakati wa kupiga kura.
Kikwete mwacheni amalize muda wake, km wanashida Ikulu iko wazi kwa majadiliano katiba, au kuhama Chama kuvua gamba hata km walimwita mwizi wa kura yeye yeyeto ruksa kumwona
Kikwete mwacheni amalize muda wake, km wanashida Ikulu iko wazi kwa majadiliano katiba, au kuhama Chama kuvua gamba hata km walimwita mwizi wa kura yeye yeyeto ruksa kumwona
Hakika kama ni kwa stye hii,basi ni kweli huyu mwenyekiti wao yuko mashakani,ukiunganisha na wale tunaowasikia kuwa ni mahasimu wake basi kuna kimbembe cha kufa mtu na si mchezo.Vinginevyo walipane hivyo hivyo kinyemela uku akiwa na mtihani wa kujibu umma pindi ukicharuka au adinde kiume na kufanya maamuzi kama ya ben kuwaibukia Bungeni na kuwapa bonge ya karipio la kitisho.