Kikwete kuondolewa uenyekiti CCM

Status
Not open for further replies.
Ndoto za alinacha, gamba gumu kuliko yote ni la JK. Huwezi kufaulu mtihani kwa kuanza na maswali magumu
 
Mpango kabambe wa kumvua kikwete kofia ya chama umeiva, mpango huu unaongozwa na vijana. Wana CCM tegemeeni mabadiliko makubwa
Chonde chonde wanaCCM msimvue wadhifa huyu Mwenyekiti ili amalizie kazi aliyonayo ya kuwakomboa Watanzania kwa kuiulia mbali hii CCM iliyogeuka janga baya kabisa nchini mwetu. Tafadhalini nikakupeni rai!
 
Ngoja tuone

Tatizo siyo KIKWETE NA UENYEKITI WAKE,tatizo ni mfumo,kama baadhi ya wabunge(pr.majimarefu) wake wanashabikia utekwaji na uteswaji wa watu(dr ulimboka),na mfumo uleule unakaa na kuchekelea,ni dalili kuwa huwa hawana mpangilio mzuri wa mambo,hata hili nalo wamekurupuka tu,hakuna kitakachotokea,wakifika kwenye mkutano wa kujadili suala hilo,wote watafyata mkia na badala yake watajitokeza watu wakujipendekeza na kumweleza mpango mzima kabla ya kikao,naye atawakoromea na hoja hiyo itakufa au itapindishwa maudhui yake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom